Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
ustaadh ndo anachunga kondoo hivi kweli?
ama kweli njia ni nyembamba...
ama kweli njia ni nyembamba...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anamwomba msamaha amefanya nini?
Huyu kweli bado ana jiita Ustadh kabisa? Huyu ni mjinga sana. Kumdhalilisha mwenzie kiasi hiki kisa ana shida.
Kitendo alicho kifanya huyu jamaa Ustadh ni cha kulaaniwa na kukemewa.
Huyu ustadh ana akili kama za diaomond. Mpuuzi sana.
Hawa wasanii nao muda mwingine ni wajinga sana.
bora boss wangu anaendesha mambo yake kisasa..meneja yupo chin yake siyo yeye awe chini ya meneja..
yeye ndio kamwajiri meneja..si wa kumpelekesha pelekeshan kinjaa njaa
Sijasema naunga mkono kwa video hii kuwekwa hadharani, la hasha....mimi nimepingana na wanaombeza ustaadhi kwa jukumu alilojipa la kudili na wasanii.
Ingawa pia nashawishika kuhoji ni mazingira/sababu gani haswa zilizopelekea video hii kuwepo hapa.
Kwa uzoefu wangu juu ya wasanii wetu, huwa kweli wana tabia za "kisanii", kwa mfano....kufanya jambo fulani nyuma ya pazia na anapokuja hadharani (kwenye media) anaongea ya kwake..hasa kwa lengo la kuonekana yeye ni msafi na meneja ndio tatizo.....kwa mtindo huu hata wewe na mimi sidhani kama linapendeza....na wasanii kama kina Dogo janja ni mfano mzuri wa wakoroga mambo kwa mtindo huo....
Pili, ni hulka tuliyojijengea kuwa kuomba msamaha ni kujidhalilisha.....hizi ni hisia potofu ndio maana mnaona pnc amedhalilishwa/amejidhalilisha.......mimi sioni hivyo, na hii video haina tatizo lolote.
Anayempiga mwenzake picha ya uchi kwa maridhianao na baadae kuiweka mtandaoni, kwangu huo ndio udhalilishaji....lakini mtu kuomba msamaha ni jambo la kawaida.
Wasanii wetu bado hawajitambui.
Sina wivu na Diamond na sina sababu hiyo.Asa hapa diamond kaingiaje!!kwani bila ya kutajwa domo story hainogi nn....acheni wivu wa kijinga
Mtu kama huyo akiombwa 0713 atakataa kweli???
huyu Ostaz Juma sijui anajiskiaje huko aliko....sijui hata alikua anawaza nn kupost picha na video hiyo
Hawezi kukataa