Unajua ni upuuzi tu mtu anaependa kuabudiwa namna hii huwa kichwa chake kina tatizo kidogo. Kulikua na haja gani kuchukua video na mapicha , hii kitu iko kwa ajili ya kudhalilishana. Najua kuomba msamaha sio jambo baya lkn ikiwekwa namna hii inakua haikai vizuri..mweeee yan kaomba msamaha had huruma
Bado nasimamia pointi yangu ndugu......tuifute hii dhana ya kuwa kuomba msamaha ni kujidhalilisha....
kwani bila hiyo video jamii mngejua vipi labda kuna vitendo vingi vya (udhalilishaji kama mnavyoita) vinaendelea kwa mitindo kama hiyo.......
kwa hiyo mnaridhika kudhani mambo ni sawa kwa kuwa tu huwa hamjui/hamtaki kujua yanayoendelea nyuma ya pazia kwa wasanii au wafanyakazi wa kada nyingine kama hseboys na hsegirls ?
Hamuoni kwa kupitia video hii mmegundua kitu ?
Ndio maana nimehoji kujua ni lipi haswa lilikuwa lengo la kutoa hiyo video...coz sifahamu....je ni stunt ama ?......ila kama lengo la ustaadhi Juma ilikuwa ni kumdhalilisha pnc, basi kwa matazamo wangu amebugi...
Nadhani ndio kwanza amempa dogo chati a.k.a boost, kwani sympath iliyojengeka ndani ya jamii juu ya pnc kwa video hii. , pnc aitumia kama FURSA kurudi kwenye game.
Its okay,Uo ni mtazamo wako Kijana, maana hata kwenye maelezo yako unajichanganya!
Vizuri, ila Mimi nawewe tu tofauti kimitazamo
Andiko please! Sio kuniandikia utumbo mkavu.
Nipa andiko wapi watu waliambiwa wakasijudie mawe huko mecca
Anae sujudia jiwe au sanamu ya mzungu aliovaa nepi wote hao ni watu wa jahanamu ya moto!
Do you mean that for the naked and obvious ones to be true they should be writing ?
Nijuavyo mimi ni kuwa mtu huomba msamaha baada ya kukosea, na mleta uzi hajatuambia kosa la pnc ni nini....so mtu unavyochangia tu kwa kumshutumu ostaz/ustaadhi Juma sidhani kama ni sahihi sana.
Inabidi tujue kuwa pia hawa wanaowekeza kwa wasanii wana michango yao kuifikisha game hapa ilipo.....na msidhani kudili na wasanii ni jambo rahisi....inataka moyo, mapenzi na kujitolea sana wandugu....
Hebu muwaulize kina Fela, babu Tale na wengine.
Juzi juzi tu tumesikia jinsi Mr Nice alivyoshindwana na aliyetaka kumsimamia pale Kenya....pia tumesikia Mb Dog alivyorudi kwa babu Tale.[/QUOTE
loooooh ndo apige na magoti....???? hlf jamaa anajiona DON kinoma....choka mbaya tu....cjaupenda udhalilishaji wake.. unajua mtu kuoiga goti nako kunataka guts sana, sasa mtu kajishusha namna hyo we unaenda kumweka hadharani....mxuuuuuuuuu kanikera mie
Sura mbaya kama Ostadhi Juma wa Musoma,"mi sipigi magoti wala nini ana sura mbayaa kweli