Udhalilishaji: Video ya PNC akimuomba msamaha Ostaz Juma na Musoma

Udhalilishaji: Video ya PNC akimuomba msamaha Ostaz Juma na Musoma

mweeee yan kaomba msamaha had huruma
Unajua ni upuuzi tu mtu anaependa kuabudiwa namna hii huwa kichwa chake kina tatizo kidogo. Kulikua na haja gani kuchukua video na mapicha , hii kitu iko kwa ajili ya kudhalilishana. Najua kuomba msamaha sio jambo baya lkn ikiwekwa namna hii inakua haikai vizuri..
 
Kwanza huyo ustadh juma boya tu eti kuombwa msamaha mpaka atangazwe kwenye media
 
Hivi jiwe sio sanamu ? kuna watu kutwa mara tano wanasujudia jiwe fulani liko Mecca linaitwa ka'aba.

Ha ha ha km nyie mnaoamini Mzungu aliyevaa Nep
i ImageUploadedByJamiiForums1393665607.408358.jpg
 
Bado nasimamia pointi yangu ndugu......tuifute hii dhana ya kuwa kuomba msamaha ni kujidhalilisha....

kwani bila hiyo video jamii mngejua vipi labda kuna vitendo vingi vya (udhalilishaji kama mnavyoita) vinaendelea kwa mitindo kama hiyo.......

kwa hiyo mnaridhika kudhani mambo ni sawa kwa kuwa tu huwa hamjui/hamtaki kujua yanayoendelea nyuma ya pazia kwa wasanii au wafanyakazi wa kada nyingine kama hseboys na hsegirls ?

Hamuoni kwa kupitia video hii mmegundua kitu ?

Ndio maana nimehoji kujua ni lipi haswa lilikuwa lengo la kutoa hiyo video...coz sifahamu....je ni stunt ama ?......ila kama lengo la ustaadhi Juma ilikuwa ni kumdhalilisha pnc, basi kwa matazamo wangu amebugi...

Nadhani ndio kwanza amempa dogo chati a.k.a boost, kwani sympath iliyojengeka ndani ya jamii juu ya pnc kwa video hii. , pnc aitumia kama FURSA kurudi kwenye game.

Its okay,Uo ni mtazamo wako Kijana, maana hata kwenye maelezo yako unajichanganya!
Vizuri, ila Mimi nawewe tu tofauti kimitazamo
 
Its okay,Uo ni mtazamo wako Kijana, maana hata kwenye maelezo yako unajichanganya!
Vizuri, ila Mimi nawewe tu tofauti kimitazamo

Nakiri hapo nimejichanganya, coz nilikuwa fasta fasta, na nilikuwa nahangaika ku summarise.

Ila ninachopinga hapa, ni hoja ya kuona suala la kuomba msamaha ni udhalili....na pia sijafahamu lengo la aliyepachika video hiyo......alifanya stunt au alidhamiria kudhalilisha ?.....

Na kwa vile tofauti na mie, wengi wenu mnaona hiyo video ni udhalili....ndio then nikahoji kuwa sasa bila ya hiyo video mngejua vipi hayo ya kuombana misamaha kwa kupiga magoti ? (jambo ambalo kwa mtazamo wenu ni udhalili) ndio yanayoendelea kati ya wasanii na mameneja wao ?

Nikimaanisha kuwa ni vipi kama kuna wengi ambao tunawaona ni bora kwa kuwa tu wanayoyafanya hatujawahi kuyaona na yanaishia nyuma ya pazia, na yawezekana ni udhalili uliopindukia badala ya kuona tu hili la kuomba msamaha ?
 
Huyo PIENITHI wakati hii video inarekodiwa alijua ama hakujua?Kama alijua na akaendelea kufanya hivyo ni mjinga!Kama hakujua kuwa anarekodiwa anaweza kufungua mashtaka ya kudhalilishwa na kuingiliwa faragha yake!
 
Huyu ngedere Ostaz Juma na Musoma kwa hili anataka Watu wote, haswa Wanaume, wajue kwamba yeye ni "dume la mbegu" aka "Alpha Male" or "Silver Back". Hapo anataka kuonyesha yeye ni dominant male au kidume mbabe, na hii siyo tofauti na Nyani dume au Gorilla dume wanavyofanya msituni. Hii ni ni sawa na unyama, lakini siyo ajabu kwa jamii ya binadamu, sababu binadamu nao essentially ni Wanyama.
 
Halafu wanaume dizaini hii ndiyo huwa wanakufa mapema kwa pressure, na wengi wanaacha utajiri mkubwa, lakini wanaofaidi ni wengine.
 
Andiko please! Sio kuniandikia utumbo mkavu.
Nipa andiko wapi watu waliambiwa wakasijudie mawe huko mecca

Anae sujudia jiwe au sanamu ya mzungu aliovaa nepi wote hao ni watu wa jahanamu ya moto!


Do you mean that for the naked and obvious ones to be true they should be in writing ?
 
Nijuavyo mimi ni kuwa mtu huomba msamaha baada ya kukosea, na mleta uzi hajatuambia kosa la pnc ni nini....so mtu unavyochangia tu kwa kumshutumu ostaz/ustaadhi Juma sidhani kama ni sahihi sana.

Inabidi tujue kuwa pia hawa wanaowekeza kwa wasanii wana michango yao kuifikisha game hapa ilipo.....na msidhani kudili na wasanii ni jambo rahisi....inataka moyo, mapenzi na kujitolea sana wandugu....

Hebu muwaulize kina Fela, babu Tale na wengine.

Juzi juzi tu tumesikia jinsi Mr Nice alivyoshindwana na aliyetaka kumsimamia pale Kenya....pia tumesikia Mb Dog alivyorudi kwa babu Tale.[/QUOTE
loooooh ndo apige na magoti....???? hlf jamaa anajiona DON kinoma....choka mbaya tu....cjaupenda udhalilishaji wake.. unajua mtu kuoiga goti nako kunataka guts sana, sasa mtu kajishusha namna hyo we unaenda kumweka hadharani....mxuuuuuuuuu kanikera mie
 
Back
Top Bottom