NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Kumbe idd amini ana ndugu tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Nijuavyo mimi ni kuwa mtu huomba msamaha baada ya kukosea, na mleta uzi hajatuambia kosa la pnc ni nini....so mtu unavyochangia tu kwa kumshutumu ostaz/ustaadhi Juma sidhani kama ni sahihi sana.
Inabidi tujue kuwa pia hawa wanaowekeza kwa wasanii wana michango yao kuifikisha game hapa ilipo.....na msidhani kudili na wasanii ni jambo rahisi....inataka moyo, mapenzi na kujitolea sana wandugu....
Hebu muwaulize kina Fela, babu Tale na wengine.
Juzi juzi tu tumesikia jinsi Mr Nice alivyoshindwana na aliyetaka kumsimamia pale Kenya....pia tumesikia Mb Dog alivyorudi kwa babu Tale.
Sasa kiongozi diamond ameingiaje tena Hapo?Huyu kweli bado ana jiita Ustadh kabisa? Huyu ni mjinga sana. Kumdhalilisha mwenzie kiasi hiki kisa ana shida.
Kitendo alicho kifanya huyu jamaa Ustadh ni cha kulaaniwa na kukemewa.
Huyu ustadh ana akili kama za diaomond. Mpuuzi sana.
Hawa wasanii nao muda mwingine ni wajinga sana.
Nijuavyo mimi ni kuwa mtu huomba msamaha baada ya kukosea, na mleta uzi hajatuambia kosa la pnc ni nini....so mtu unavyochangia tu kwa kumshutumu ostaz/ustaadhi Juma sidhani kama ni sahihi sana.
Inabidi tujue kuwa pia hawa wanaowekeza kwa wasanii wana michango yao kuifikisha game hapa ilipo.....na msidhani kudili na wasanii ni jambo rahisi....inataka moyo, mapenzi na kujitolea sana wandugu....
Hebu muwaulize kina Fela, babu Tale na wengine.
Juzi juzi tu tumesikia jinsi Mr Nice alivyoshindwana na aliyetaka kumsimamia pale Kenya....pia tumesikia Mb Dog alivyorudi kwa babu Tale.
Nimemfananisha Diamond na Ustadh Juma maana matukio waliyo fanya yana fanana na wote ni wa dhalilishaji.Sasa kiongozi diamond ameingiaje tena Hapo?
Ina sikitisha sana wasanii kudhalilishwa namna hii.ushauri wa bure pnc km muziki umekushinda rudi mwanza ukalime au ufanye biz nyingine hayo c maisha ndg yangu mtu umemwomba msamaha y airushe mitandao km si kudharilisha tu..
cc kahtaan... huyu ostaadhi na haram imekuaje!??