Udhalilishaji: Video ya PNC akimuomba msamaha Ostaz Juma na Musoma

Udhalilishaji: Video ya PNC akimuomba msamaha Ostaz Juma na Musoma

Daah !! Watu wanampigia magoti MUNGU ..Wewe unampigia binadamu mwenzako..!!!!!
 
ImageUploadedByJamiiForums1393437988.916674.jpg
D
Wakati mbele mbele huko mameneja wanapanga foleni kwny milango ya wasanii wapate kazi huku bongo msanii anapiga magoti kwl hawako serious kbs wataburuzwa na hawa watu daily njaa mby sn uyu kipaji chake kinamsaidia nn ss uyu mwngne anaeaminika katoboa nae kaazima gari si aibu hii nasubiri video ya Chief Kiumbe ss najua hawezi kukubali Ostaz Juma amkimbize kwny social networks KIMENUKAA...!
 
Nijuavyo mimi ni kuwa mtu huomba msamaha baada ya kukosea, na mleta uzi hajatuambia kosa la pnc ni nini....so mtu unavyochangia tu kwa kumshutumu ostaz/ustaadhi Juma sidhani kama ni sahihi sana.

Inabidi tujue kuwa pia hawa wanaowekeza kwa wasanii wana michango yao kuifikisha game hapa ilipo.....na msidhani kudili na wasanii ni jambo rahisi....inataka moyo, mapenzi na kujitolea sana wandugu....

Hebu muwaulize kina Fela, babu Tale na wengine.

Juzi juzi tu tumesikia jinsi Mr Nice alivyoshindwana na aliyetaka kumsimamia pale Kenya....pia tumesikia Mb Dog alivyorudi kwa babu Tale.

Kaka umeLONGA,jamaa aliwekeza sana kwa huyu PNC,SUMA MNAZALETI,alaf walivotusua wakamzingua,hasira zake huwez kujua..
 
Ila hawa wasanii siyo kabisa.wakati mwingine unamtoa msanii unampa kila kitu unamlipia lakin hakipata jina anakukimbia wakat we umewekeza sana.

Angemlukisha na kichura chura kabisa
 
Huyu kweli bado ana jiita Ustadh kabisa? Huyu ni mjinga sana. Kumdhalilisha mwenzie kiasi hiki kisa ana shida.
Kitendo alicho kifanya huyu jamaa Ustadh ni cha kulaaniwa na kukemewa.
Huyu ustadh ana akili kama za diaomond. Mpuuzi sana.

Hawa wasanii nao muda mwingine ni wajinga sana.
 
Sasa kiongozi diamond ameingiaje tena Hapo?
 
Nijuavyo mimi ni kuwa mtu huomba msamaha baada ya kukosea, na mleta uzi hajatuambia kosa la pnc ni nini....so mtu unavyochangia tu kwa kumshutumu ostaz/ustaadhi Juma sidhani kama ni sahihi sana.

Inabidi tujue kuwa pia hawa wanaowekeza kwa wasanii wana michango yao kuifikisha game hapa ilipo.....na msidhani kudili na wasanii ni jambo rahisi....inataka moyo, mapenzi na kujitolea sana wandugu....

Hebu muwaulize kina Fela, babu Tale na wengine.

Juzi juzi tu tumesikia jinsi Mr Nice alivyoshindwana na aliyetaka kumsimamia pale Kenya....pia tumesikia Mb Dog alivyorudi kwa babu Tale.

Mkuu bado iyo hai JUSTIFY kumrekodi na kutupia kwenye social N/W, hata kama huwa wanawasaidia mamilioni ya mipesa, ki busara wangeombana huko kimya kimya bila ku recordiana video, sasa wali record ili iweje??? Hivi uyo jamaa PNC si tayari watu washamzarau, Nangojea videmu vyake vione hii, lazima vimuhisi hata TIGO anatoa
 
ushauri wa bure pnc km muziki umekushinda rudi mwanza ukalime au ufanye biz nyingine hayo c maisha ndg yangu mtu umemwomba msamaha y airushe mitandao km si kudharilisha tu..
 
Sasa kiongozi diamond ameingiaje tena Hapo?
Nimemfananisha Diamond na Ustadh Juma maana matukio waliyo fanya yana fanana na wote ni wa dhalilishaji.
hata Diamond alisha mrekodi Wema na kuweka sauti yake kwenye mitandao.
Hivyo basi haya Mambo ya kitoto haya kuanzia kwa Ustadh pekee hata Diamond.
Hawa wote ni wapuuzi kabisa na hakuna mzima kati yao.
 
ushauri wa bure pnc km muziki umekushinda rudi mwanza ukalime au ufanye biz nyingine hayo c maisha ndg yangu mtu umemwomba msamaha y airushe mitandao km si kudharilisha tu..
Ina sikitisha sana wasanii kudhalilishwa namna hii.
 
Kwa namna hii ndio tutegemee muziki wetu na wanamuziki kusonga mbele? Hata miaka 1000 bado sana
 
kwa staili hii pnc akiombwa mtandao pendwa sidhani kama atakataa mtamlaumu bure tu
 
cc kahtaan... huyu ostaadhi na haram imekuaje!??

Haramu ni kuabudu sanamu la mzungu! Na picha yake!

Muziki ni ktk matendo yaliyokatazwa ktk uislamu na mwenye kutafanya hastahili kuitwa Ustadh!

Lkn all in all HAKUNA HARAMU KUBWA KAMA KUABUDU SANAMU NA PICHA YA MZUNGU!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom