Udhalilishaji: Video ya PNC akimuomba msamaha Ostaz Juma na Musoma

Udhalilishaji: Video ya PNC akimuomba msamaha Ostaz Juma na Musoma

Haramu ni kuabudu sanamu la mzungu! Na picha yake!

Muziki ni ktk matendo yaliyokatazwa ktk uislamu na mwenye kutafanya hastahili kuitwa Ustadh!

Lkn all in all HAKUNA HARAMU KUBWA KAMA KUABUDU SANAMU NA PICHA YA MZUNGU!

We umepotea jukwaa,umekariri dinidini kila wakat unataka kubishana,hapo unataka kuleta habar za kuabudu sanam n.k fanya maisha wewe hizo dini uliletewa
 
Mdogo wangu PNC yan pamoj na kukaa dsm miaka zaidi ya sita bado uko mshamb kama vile umetoka mwanza juz kwenda dar???.kwa nn unakubali kuyumbishwa na watu wasiokutaki mema??,kwa nn udhalilishwe tz nzima sabBu y pesa.hujajipNga mpaka leo unMpigia mgoti mwanaume mwenzako/?. Najua wewe ni yatima sawa,na umetoka familia duni kama niliyotoka mimi,lakini sio sababu ya kudharirishwa kiasi kile,kwa kipi hasa alichonacho juma?? Umeshindwa kabisa kujiamini pamoja na kuwa kwenye mziki miaka yote hiyo??,kwan lazima uwe na meneja??kama hukuona faida ya kuwa na meneja miaka yote ulokuwa nae juma hadi ukaamua kuondoka,leo hiii amebadilika n kuwa mtu mwema,.unasaut nzur kijana,kila mtu anajua,nakbuka wakati unatoa wimbo wako wa kwanza wa mama,nilikuwa kidato cha pili kama sikosei,moyoni nilitabili utakuja kufanya vizur sna katika muziki.lakini utabili wangu ulitimia miaka iliyofauata maana vibao kama mbona na mammy vilikufanya kufika mahala flani pazuri.,,,,,, kinachonishangaza ni nn kilichokufika mpaka umekuwa hivo.naamini sasa maneno ya meneja wako wa kwanza kidbway kwamba hubebeki,PNC,nakufaham vizur sana mdogo wangu japo sikuzid sana umri.tatizo lako kubwa ni washaur wako na elim yako ni mdogo.darasa la saba lisikufanye usijiamini kiasi cha kuutoa utu wako sababu ya laki sana ama milioni tatu,maana sidhan kama ulishawahi kulipwa zaidi ya milion tatu katika show moja yoyote.polesana kwayaliyo kufika lakini kama uko humu naomba uni pm nikufahamishe nn cha kufanya.
 
Naomba usipuuze please nitakuelekeza mahala pa kuapata msaada na utafanikiwa niamini.achana na juma mi namfahamu sana na hata kusaidia la maana zaidi ya kukuona hufai kabisa na hata akiendelea kukusaidia itakuwa sio kwa moyo wote bali kwa shingo upande.fuata ushaur wangu na pia sio lazima uwe na meneja.
 
Dogo mwimbaji mzuri sana nimeumia sana kuona hii video na picha, why umpigie jamaaa magoti???ina maan wewe bila yeye huwezi kuishi au kuimba?
 
Acheni longo longo bana,mtu akijutia makosa yake lazima aombe msamaha!Mbona Kafulila alimpigia magoti Mbatia tena akilia kama kitoto kidogo!Mwacheni atajifunza taratibu jinsi mwanaume anatakiwa awe.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Weka picha mkuu
 
Bongo wasanii wakubwa waliokuwepo kwenye game hawajatosha kuwafundisha hawa wajinga, hadi diamond alishindwa kuwafundisha hawa jamaa. kwa nini wasiige? msanii ni wa kugombaniwa sio kugombania.... Yani unampigia mwanaume magoti tena kwenye Camera, What for? kumhama mtu ndourudi uombe msamaha, kwani unavomtegemea na yeye hakutegemei? Bila wasanii huyo jamaa ni kibaka mwingine tu mjini, wasanii wengine machoko sana.. PNC tamaa tu, umejidhalilisha na kuwadhalilisha wasanii wengine pia..
 
Halaf ni ujinga eti huyo anaombwa msamaha yuu bize na simu anachat na kimada..aloooh mbn balaa
 
We umepotea jukwaa,umekariri dinidini kila wakat unataka kubishana,hapo unataka kuleta habar za kuabudu sanam n.k fanya maisha wewe hizo dini uliletewa

Teh teh teh!
Kijana. Kufanya maisha ndio kufanya nini!

Manake hapo kidogo umenichanganya!

Halafu DINI ni SEHEMU ktk maisha yangu!
Yaani nikiamka mpaka naenda kulala basi maisha yangu yote najaribu kuishi kwa mujibu wa muongozo wa dini yangu!

Alieuliza swali hapo juu kaliuliza KIDINI!
Sasa hukumvamia yeye aliyeuliza swali la kidini. Unanirukia mimi nilimjibu!

Au na wewe ni ktk wale wenye macho kama kunguru wa india!

Wanaona upande mmoja tu!
 
Ila hawa wasanii siyo kabisa.wakati mwingine unamtoa msanii unampa kila kitu unamlipia lakin hakipata jina anakukimbia wakat we umewekeza sana.

Angemlukisha na kichura chura kabisa

Kwani PNC na Ustadh Juma nani alianza kuwa maarufu
 
duh!mijitu mingine kazi kuchafua hali ya hewa tu. kukashifu dini kunaingilianaje..

Nadhani tatizo ni kula sana maharage ya nazi!

Manake hicho kiswahili chako hapo juu kimeniacha kwenye vichwa vya habari!
 
2112.jpg
2112.jpgWasanii mnasafari Ndefu sana kama mambo yenyewe ndo haya sijui wasanii wakike wakiomba msamaha mnafanyaje sijui nawao hupiga magoti ama ndo hutoa.......
 
Dah watafanyaje sasa rasilimali ya kipaji anacho lakini mpk asaidiwe na mtu kukibeba ndio aishi mjini,Pole dogo
 
Nijuavyo mimi ni kuwa mtu huomba msamaha baada ya kukosea, na mleta uzi hajatuambia kosa la pnc ni nini....so mtu unavyochangia tu kwa kumshutumu ostaz/ustaadhi Juma sidhani kama ni sahihi sana.

Inabidi tujue kuwa pia hawa wanaowekeza kwa wasanii wana michango yao kuifikisha game hapa ilipo.....na msidhani kudili na wasanii ni jambo rahisi....inataka moyo, mapenzi na kujitolea sana wandugu....

Hebu muwaulize kina Fela, babu Tale na wengine.

Juzi juzi tu tumesikia jinsi Mr Nice alivyoshindwana na aliyetaka kumsimamia pale Kenya....pia tumesikia Mb Dog alivyorudi kwa babu Tale.

Hahahaha, wewe ndiyo Ostadh Juma ninni? wanyonyaji tu hao hawana lolote, hapo hakuna cha kusaidiwa wala nini ni unyonyaji! Kama unamsaidia mtu kwa nini umfanye mtumwa? weka mikataba wazi, bwana tunajaribu kazi mwaka mmoja, ukitoka nitachukua 10% kwa muda wa mwaka moja, baada ya hapo mkataba umeisha, kama utapenda tuendelee ni juu yako, hautapenda ni haki yako pia! Wanawaibia sana vijana wetu hawa waliokimbia madarasa.
 
Back
Top Bottom