Sisi tulipigwa na kila kitu mzazi anachoweza kukibeba;
1) Fimbo
2) Mikanda
3) Fagio
4) Makofi Kolabo Ngumi na Makonzi sambamba na ngwala.
5) Mipago Ya Kusongea Ugali.
6) Kuni.
Hatuja athirika kihisia wala kisaikolojia, na ndio maana tumenyooka na tumepiga hatua kimaisha.
Sasa hawa watoto wa 4G mnavyokwenda nao kama mayai. Hata kumfokea hatutakiwi au ukimchapa akashitaki polisi, itafika siku mtoto wa kiume anakuletea boyfriend wake nyumbani kumtambulisha (Daddy huyu ndio boyfriend wangu) au mzazi anakutia na kido*le kabisa.