Udhalilishwaji! Semina za sensa za endelea japokua ni sikukuu ya Idd

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
2,151
Reaction score
2,162
Katika hali isiyokua ya kawaida baadhi ya watendaji wa serikali wamewalazimisha waaislam kuhudhuria semina za sensa na uku wakijua ni sikukuu kwao na pia niwajibu ktk imani yao kuhudhuria ibada ya idd ktk misikiti yao...Haya ndo mambo wenzetu waaislam wanaona hawatendewi haki ktk nchi yao, vipi ingekua ni pasaka au X-MASS je isingekua ni mapunziko kwa wote? serikali ni lazima iwachukulie hatua watendaji wote waliojifanya hawajui nini kinachoendelea la sivyo NIGERIA like is very close to our country
 
nigeria is close to our country???
Imehamia Kenya????
 
Comment za watu wengine ni za hatari sana. Wewe utasalimika km ya Nigeria yakijiri hapa kwetu?
Use common sense when threading!
 
Mkuu hata wakristo hawajatendewa haki kwani ni siku yao ya kuabudu
 
Mentality ndio tatizo. Mbona semina zilifanyika jumapili na jumamosi pia? Posho ndo inayowapeleka huko. Kuna aliepigwa kiboko ama kutishiwa kufukizwa kwa kutohudhuria?
Stop fussing over religious issues banaa, ghhrrr!
 
Ukweli hapo haikutendwa haki kwa waislam ila hawa wenye utaalam wa kuwaombea walemavu na kupona hapo hapo huwa wanachukia na kucngizia udini wanapo ambiwa ukweli ama kweli cha kubuni kitabakia cha kubuni tu
 
wataendaje kwenye semina ya sensa wakati waislam mmegoma kuhesabiwa?
 
Inferiority complex brings irrelevant complaints from such foolishness of thinking inhumiliation even for irrelevant issues as such! This has something to do with "uchochezi". This kind of posts should be removed immediately!
 
kha? Hawa wa2 wanajiona wenye haki sana, nchi wanataka ijiunge na oic, wanataka mahakama ya kadhi, wanataka wahesabiwe peke yao... Afu cha ajabu wanaona wanaonewa! Lawama 2pu zimewajaa!
 
Comment za watu wengine ni za hatari sana. Wewe utasalimika km ya Nigeria yakijiri hapa kwetu?
Use common sense when threading!

watu wengine akili mbovu sana. Mbona wakristo hawajaenda kanisani? Mambo ya nigeria yanakujaje tz? Huku hakuna mtu anayetambua dini ndo maana vyuoni tulikuwa tunafanya mitihani hadi christmas,mbona walikuwa hawagomi kwamba ni sikukuu?
 
Kwani waisilamu wanashiriki sensa? Au semina wanaruhusiwa?
 
Ungeuliza kwanza kama hujui uulize, uambiwe na uelewe na sio kukueupuka. Unajua taratibu walizotumia? Kwa taarifa tu ni kuwa watu wote walioingia mkataba wa kuwa makarani walikubali kufanya kazi hata siku za siku kuu na bila kujali umani yeyote na wakaambiwa kuwa kama hawapo tayari ni bora wakajiengua, si wengine tulijitoa mapema tu kwa ajili ya imani zetu
 
wataendaje kwenye semina ya sensa wakati waislam mmegoma kuhesabiwa?

pesa wanataka aafu wanapiga kelele za sherehe. Mnataka kulipwa fedha za siku saba na semina mmeenda siku sita? Ndo maana wadanish waliachana na mambo ya dini baada ya kuona yanaleta lamwama za kijinga. Siku hizi kwao wazee wanaokula pensheni ndo utawakuta wanatafuta kusali.
 
Hivi kwa nini serikali walipanga jumapili iwe siku ya mapumziko kitaifa.
 
Tunaomba siku za mapumziko tena zenye mwelekeo wa ibada ziheshimiwe. Kuna tatizo lingine pia miaka yote siku ya kupiga kura kumchagua rais inakuwa Jumapili kama sijakosea hili nalo liangaliwe.
 
Hivi huwa hakuna cha kufikiri nyie watu zaidi ya "instability?"
 

Aisee kazi mnayo,yani nyie kila kitu mnaonewa eti?Ila si kosa lenu haya yote ni "mkulu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…