BINARY NO
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 2,151
- 2,162
Katika hali isiyokua ya kawaida baadhi ya watendaji wa serikali wamewalazimisha waaislam kuhudhuria semina za sensa na uku wakijua ni sikukuu kwao na pia niwajibu ktk imani yao kuhudhuria ibada ya idd ktk misikiti yao...Haya ndo mambo wenzetu waaislam wanaona hawatendewi haki ktk nchi yao, vipi ingekua ni pasaka au X-MASS je isingekua ni mapunziko kwa wote? serikali ni lazima iwachukulie hatua watendaji wote waliojifanya hawajui nini kinachoendelea la sivyo NIGERIA like is very close to our country