Udhalilishwaji! Semina za sensa za endelea japokua ni sikukuu ya Idd

si mlisema mmegomea sensa?? Mbona kwenye mkwanja mmo??

hawajakatazwa kuchukua mikwanja. Wote wataandikisha wale watakao penda. Wenyewe wamesema na wao hatajiandikisha. Tehe! Tehe!

Hivi kwa nini serikali walipanga jumapili iwe siku ya mapumziko kitaifa.

Ritz mkuu

Nan alipanga siku ya ijumaa kuwa ya kazi?

Kama nitakosea nisahihishe japokuwa sitarajii.

Siku ya kuabudu wakristo katika biblia wanaambiwa wasifanye kazi wapumzike kwa maana ya kuomba tu.

Hebu tuambie kwa mujibu wa mafudisho ya mtume SAW, au kutoka kitabu kitukufu cha koraan, baada ya swala tunatakiwa kupumzika au kuenda kufanya kazi na kutafuta rizki?

Ni hayo mkuu wangu Ritz.

Hivi kwa nini serikali walipanga jumapili iwe siku ya mapumziko kitaifa.

hili swali linatoka kwenye kichwa chenye ubongo kama wa jogoo aliyeliwa kwenye pilau leo.

Gomeni ili siku ya mapumziko iwe ijumaa na alihamisi. . . Gomeni kupumzika jpili, nendeni kazini kama kawa, then ijumaa mnakuwa hamuendi.

This is the best answer indeed. Wakristo wanapumzika kwa sababu ni maagizo kwao na waislamu wanaendelea na kazi kwa sababu dini yao inawaagiza hivyo. Yaani huyo jamaa anataka pia "usawa" katika hili? Haiwezekani. Hebu aishauri Serikali ifanyeje tofauti na ilivyo bila kuathiri dini mojawapo?

Hao waliopo kwenye semina ya sensa ni waislam wa iraq au waislam wa palestina?

Acha udini wewe. kwani kuna aliyelazimishwa kuwa karani wa sensa. si wamefuata pesa basi wawajibike maana zege la sensa halilali. Walishataarifiwa walipoteuliwa

Hivi kwa nini serikali walipanga jumapili iwe siku ya mapumziko kitaifa.

Serikali ipi Kiongozi? Mie nashangaa kukuta hali hiyo tangu nizaliwe miaka ile kabla ya Uhuru wa Bendera wa Tanzania.

Mtoa mada sijamuelewa alikusudia kusema nini hasa!
kwanza kwa sababu ameuliza badala ya kusubiri tuchangie amejibu mwenyewe comments zake ni za hatari sana. Kulinganisha Nigeria na Tanzania kwa masuala ya dini ni kuchoka amani hii chache tulioyonayo.

Bila kuhusika na comments ningependa kumwambia kwamba kwa kawaida huwa kuna kazi maalum ambazo hua haziangalii masuala ya kawaida kama hayo.

Ikumbukwe kwamba zoezi la sensa ni zoezi la kupita hivyo ni kama operation fulani ambayo unaweza kuifananisha na mazingira ya kuwa vitani ambako ratiba za kawaida za maisha huwa hazizingatiwi kutokana na udharura husika.

Ni vyema wadau tunapotoa maoni tujitahidi kufikiri kama watu wazima, ikumbukwe kwamba pamoja na matatizo mbalimbali ya kimfumo tuliyonayo hapa nchini lakini sio siri kwamba wengi wa majirani zetu hicho kidogo tulichonacho wanakitamani tena sana.

Hivyo mtu yeyote anapotoa comments hasa kwenye masuala ya imani anapaswa kuwa makini sana kwani kwa ufahamu wangu mdogo na uzoefu wangu kidogo nilionao mara nyingi kwenye vurugu za kidini busara huwa inawekwa kando na ndio matokeo ya hiyo Nigeria unayoizungumzia.

Tuone umuhimu wa kutunza hii amani kidogo iliyosalia nchini kwetu, hayo mambo ya Nigeria yasikie hivyo hivyo ni hatari kuliko vyovyote unavyoweza kufikiri!

NI MTAZAMO TU.

Inferiority complex brings irrelevant complaints from such foolishness of thinking inhumiliation even for irrelevant issues as such! This has something to do with "uchochezi". This kind of posts should be removed immediately!

I LIKE THIS! Thank u bra!!

Hivi kwa nini serikali walipanga jumapili iwe siku ya mapumziko kitaifa.
Ni kitu muhimu cha kupendekeza kwenye Katiba Mpya! Ijumaa iwe kwa waislamu; Jumamosi iwe kwa Sabato; Jumapili iwe Waristo madhehebu mengine; Jumatatu iwe kwa wasio na dini yeyote; Jumanne iwe kwa Mabhudha; Jumatano iwe kwa wenye dini za matambiko!

watu wanatafuta maisha bwana wewe hujui kama semina wanalipwa???, na kama issue ni waislamu si walishasema hawashiriki, je hawa wanaoenda kwenye semina huoni kama wanawasaliti. Binadamu tunabadilika bwana, mbona magenge yote na biashara zote za waislamu leo ziliendelea kama kawaida??????

Nyinyi mnaotumiwa na ..... Ndiyo wenye matatizo, Waislamu wanaoamini mungu yupo hawawezi kuifanya nchi hii kama Nigeria, ila wale wanaotumiwa ndiyo wana mawazo ya namna hiyo.

Wote hawajatendewa haki wakristo na waislamu. Nadhani kama wana imani ya kweli na dini zao wasingehudhuria, ila POSHO zimewapofusha wakasahau imani zao.

Ni kitu muhimu cha kupendekeza kwenye Katiba Mpya! Ijumaa iwe kwa waislamu; Jumamosi iwe kwa Sabato; Jumapili iwe Waristo madhehebu mengine; Jumatatu iwe kwa wasio na dini yeyote; Jumanne iwe kwa Mabhudha; Jumatano iwe kwa wenye dini za matambiko!

Je unamaanisha siku ya kazi iwe moja (alhamis)?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…