Mkuu
adolay,
Hujue maswali ya kipuuzi uwa yanajibiwa na majibu ya hivyo kuna member nimemjibu, soma alivyonijibu nadhani utajua kwa nini nimemjibu hivyo.
Mkuu kwenye suala la sensa hakuna udhalilishaji wowote uliofanywa sababu kubwa iliyowapeleka ni maslahi ya binafsi pamoja na posho hata wakiristo nao wamekwenda kwa sababu za kimaslahi binafsi posho, ndio maana unaona wote hawajalalamika.
Nadhani nimekujibu swali lako mkuu, na wewe nijibu swali langu nani aliyepanga jumapili iwe siku ya mapumziko na kwa nini alichagua jumapili.