Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #181
Mkuu alberaps, Mzee Mohamedi said amesoma nondo za Mkuu Nguruvi3, sio tu ameelewa bali ameshindwa kujibu hoja madhubuti za Nguruvi3, akabaki kuchezea maneno ya kiswahili bila hoja! ebu soma jibu lake kwa msomi Nguruvi3;
thanx 4 your advice mkuu wafahamishe
Bwana Gwalihenzi,
Ingekuwa mie nataka kushindana humu kwa usomi nadhani ni wachache sana wangekuwa na ujasiri wa kusimama na mimi uso kwa uso.
Mimi sishindani na usomi wa Nguruvi3 na nadhani yeye binafsi hilo alishalitambua kwangu siku nyingi sana.
Dizaini nyinyi ndugu zetu mnaoitwa waislam HAMJIAMINI hata kidogo kwanini mnalalamika nyie kila siku?..sisi hatutaki habri za kukua na kusambaa kwa dini..tunachoamini ni kwa MUNGU wetu mmoja aliye juu kinachofuata ni kumuabudu na kufanya maendeleo hayo mengine mnayoyatafuta sijui ya nini...jamaniiii mnataka tanzania igeuke iran au pakistan nchi za kislaam..kule ndo dini zilipozaliwa ziachen huko sisi tumezipokea tu basiiii..
UDHALILISHWAJI WA WAISLAM NA VYOMBO VYA DOLA VYA TANZANIA
Utangulizi
Sheikh wa kwanza ...
Mohamed Said
...
Walionikamata walikuwa vijana kama wanne na wote walijitambulisha kwa majina ya Kiislam. Nilijua ni waongo kwa kuwa Muislam anonekana katika uso na katika matumizi ya lugha....
M
Hans Roger Dibagula, utafiti wako ni dhaifu, kwa sababu umeangalia maeneo machache tu na wala haujaainisha hizo nyadhifa. naomba uainishe, na ulete tafiti kamili, sababu hapo sijaona idara nyingine muhimu. ainisha pia ugawaji wa madaraka kwa ngazi tofauti. otherwise siwezi kuiamini tafiti yako, huenda ulikaa tu, kwa vile una MS Word kwenye desktop yako, basi ukawashwa washa mpaka kuja na pumba hizi.
Hii post yako ingelikuwa nzuri kama ungeliondoa hamaki na ukaandika kwa utulivu.
Mathalan kwa kutaka kujua kama mimi ni mwanasiasa au la.
Huwa sipata raha ya kujibu kitu kama vile pana ugomvi.
tatizo lenu wakiristo mkipashwa ukweli mnakurupuka na kuhamaki. Nchi yetu ingalikuwa haina UDINI tz ingalikuwa mbaliBwana Mohamed
Hapana ugomvi wala jazba; kila siku unapokuwa huna majibu unakimbilia sana kudai eti unaepuka ugomvi; huna haja ya kusema hadharani kama wewe ni mwanasiasa au la; wengi tunafahamu wewe ni mtu mwenye agenda ni mwanasiasa labda kwa ushauri jiweke hadharani; haya madai yako yana walakini mwingi; labda nikuulize kabla ya mapinduzi ya Iran yaliyomuondoa Shah wa Iran; kiongozi wa mapinduzi Ayatollah Khomein(R.I.P) aliishi uhamishoni Paris mbona hakubughudhiwa na wafaransa? Hakukatazwa kuamini dini yake? swahiba wako mtafiti mwenzako anaishi Marekani mbona habughudhiwi? Huu uzushi unaouleta ni hatari kwenye jamii yetu. Hivi katika maisha yako hakuna hata jema moja ambalo mkristo amekutendea?
Chama
Gongo la mboto DSM
tatizo lenu wakiristo mkipashwa ukweli mnakurupuka na kuhamaki. Nchi yetu ingalikuwa haina UDINI tz ingalikuwa mbali
inawezekana ni muislam usiejijuaNaona umekurupuka mimi ni MUISLAMU kwa imani ya dini yangu; usinibatize kwa hamaki zako za kidini!
Chama
Gongo la mboto DSM
Mohamed Said, kubali kuwa hadi sasa umechemsha vibaya sana! yaani kama utasoma post ya Nguruvi3 na MzeeBwana Gwalihenzi,
Ingekuwa mie nataka kushindana humu kwa usomi nadhani ni wachache sana wangekuwa na ujasiri wa kusimama na mimi uso kwa uso.
Mimi sishindani na usomi wa Nguruvi3 na nadhani yeye binafsi hilo alishalitambua kwangu siku nyingi sana.
inawezekana ni muislam usiejijua
Na mumesahau BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA. Tokea kuanzishwa kwake. makatibu watendaji wake wote ni wakristo. Na manaibu katibu wake wote wakristo.
Tena kibaya zaidi Baraza hili lina Sura ya Muungano na limeongezwa katika mkataba wa makubaliano ya Muungano wenu.
Kibaya zaidi nafasi hizo kubwa kabisa katika baraza hilo zimeshikwa na wa Bara tu.
pia ungemuuliza, kati ya hao wlaiomtesa sijui etc, hakukuwa na muislam hata mmoja? pengine hao maafisa wa uslama walikuwa waislam wenzie sasa kwanini anasema udhalilishaji wa waislam na vyombo vya selikali badala ya kusema udhalilishaji wa raia/watz/wananchi na vyombo vya selikali? si waislam wenzie ndani ambao ni maafisa usalama walimshikilia? malalamiko tuuu kusingizia mnaonewa, .....din zingine bwana...zinachosha kuwa nazo karibu aisee....mzee mohamed nimesoma sana maelezo yako lakin nikiri mengi mazuri na mengine ya kipuuzi zaidi?kwanza ni kweli kuwa waislam wanahusishwa sana na ugaidi,pili ni kweli wengi wa magaidi pia ni waislam.umetoa shutuma kwamba marekani inakandamiza uislam lakin hausemi kwanin misikiti inajengwa marekani ila ni marufuku makanisa kujengwa saudi arabia/?hukusema kwanin watu walihukumiwa kifo kwa kukutwa na biblia afghanistan?kwanin kila nchi vikundi vya kislam inasumbua serikal kama india,laskar e taiba(india sio nchi ya kikristu)china kuna kikundi cha waislam katika jimbo la magharibi URUNQI ambapo lugha kuu ni kiturukiindonesia nako waislam wanasumbuafilipino kuna abu sayafetc kwanin dunia nzima vikundi vya kislam vinasumbua sumbua? na basi kama ni kweli marekani inakandamiza waislam kwanin waislam kwa mamilion wanahamia amerika na ulaya?mwisho wew umetekwa au umekamatwa na serikali yako rais muislam na makamu muislam ukaenda kulaum bunge au kwa vile spika mkristu? Y uwalaum wakristuWAKATI KINACHOGOMBANIWA NI MATERIAL OF THESE WORLD na sio vifungu vya vitabu vitakatifu??
Maneno mazuri sana haya....kule kwetu tunasema maneno kuntu haya.Bwana Mohamed
Hapana ugomvi wala jazba; kila siku unapokuwa huna majibu unakimbilia sana kudai eti unaepuka ugomvi; huna haja ya kusema hadharani kama wewe ni mwanasiasa au la; wengi tunafahamu wewe ni mtu mwenye agenda ni mwanasiasa labda kwa ushauri jiweke hadharani; haya madai yako yana walakini mwingi; labda nikuulize kabla ya mapinduzi ya Iran yaliyomuondoa Shah wa Iran; kiongozi wa mapinduzi Ayatollah Khomein(R.I.P) aliishi uhamishoni Paris mbona hakubughudhiwa na wafaransa? Hakukatazwa kuamini dini yake? swahiba wako mtafiti mwenzako anaishi Marekani mbona habughudhiwi? Huu uzushi unaouleta ni hatari kwenye jamii yetu. Hivi katika maisha yako hakuna hata jema moja ambalo mkristo amekutendea?
Chama
Gongo la mboto DSM
Barubaru, mbona huwa hupendi kujibu maswali ya msingi na kukimbilia kulialia kama mtoto mdogo?!!! Tuambie wewe binafsi ulipokuwa unafanya kazi wizara ya fedha, uislam wako ulikusaidiaje kuleta ufanisi wa kazi? Mbona hututajii makabila ya hao wanaofanya kazi baraza la mitihani? Wewe na huyo kizee Mohamed Saidi ni watu hatari sana katika nchi yetu. Bora hata wewe uliyeukataa utanzania maana ingekuwa fedheha sana kwa mtanzania mwenye mawazo ya kipuuzi kama yenu!Na mumesahau BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA. Tokea kuanzishwa kwake. makatibu watendaji wake wote ni wakristo. Na manaibu katibu wake wote wakristo.
Tena kibaya zaidi Baraza hili lina Sura ya Muungano na limeongezwa katika mkataba wa makubaliano ya Muungano wenu.
Kibaya zaidi nafasi hizo kubwa kabisa katika baraza hilo zimeshikwa na wa Bara tu.