Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #181
Mkuu alberaps, Mzee Mohamedi said amesoma nondo za Mkuu Nguruvi3, sio tu ameelewa bali ameshindwa kujibu hoja madhubuti za Nguruvi3, akabaki kuchezea maneno ya kiswahili bila hoja! ebu soma jibu lake kwa msomi Nguruvi3;
Bwana Gwalihenzi,
Ingekuwa mie nataka kushindana humu kwa usomi nadhani ni wachache sana wangekuwa na ujasiri wa kusimama na mimi uso kwa uso.
Mimi sishindani na usomi wa Nguruvi3 na nadhani yeye binafsi hilo alishalitambua kwangu siku nyingi sana.