Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola



Mtoboa siri
I like your contribution..suala la iman na kuamin nilamtu binafsi - very cleaar and loudly

Nakila mtu atahukumiwa kwa matendo yake siku ya kiama, kwanin kilamtu asipewe uhuru wa hiari kuabudu kama avunji sheria za inchi.
 

Mkuu Nguruvi3 wewe ni mkali mpaka basi: umepiga msumari wa utosi. kama hajaelewa tena basi atakuwa mgumu sana kuelewa au ni gilba tuz.
 
Last edited by a moderator:
Dini yoyote inayohalalisha matumizi ya nguvu zidi ya watu wanaoikana ni dini hatari sana. Embu angalia, kwenye dini nyingine na mathalani Ukristo, mtu akiamua kuuacha ukristo na kujiunga na imani nyingine kamwe wakristo hawawezi kumwadhibu zaidi ya kutumia njia za kiungwana kumrejesha. Kama ikishindikana, basi watamwachia Mungu ashughulike naye. Lakini kule Irani na nchi nyingine za kiislamu, mtu akiamua tu kuachana na uislamu na kujiunga na imani nyingine adhabu yake ni kifo. Wako hata wazazi wameua watoto wao wa kuwazaa kwenye nchi za kiislamu kisa ikiwa ni kubadilisha dini. Na hili huwa linabarikiwa na serikali za nchi zao na wanalihita "Killing for honour". Dini ambayo haimpi mtu uhuru wa kujiamulia ni ya kimabavu, kidikteta na haifai. Dini ya iliyostaarabika ni ile inawapata watu na kuwashinda kwa nguvu za Hoja. Ingelikuwa vivyo hivyo hata hapa kwetu kama siyo kuwa na sera za kitaifa zisizofungamana na dini yeyote.
 
Nionyeshe mahali popote niliposema nchi za Kiislamu ndizo zenye uhalifu mkubwa!

Soma vizuri post yangu, "usinge/asinge" kama hujasema wewe ina maana hukuufatilia mjadala, rejea posts utanielewa.
 

Mwanakijiji, kuna ukweli hapo juu, however kuna ukweli mwingine ambao ni kama "the other side of a coin"

Ni kweli kwa upande mmoja kwamba kwenye cases kama hizo kuna ambazo si ubaguzi, lakini kuna ambazo ni ubaguzi kabisa.Nina mifano mingi sana na mimi imenitokea, some kama yako ambapo niliona si ubaguzi, na some ambazo ni ubaguzi bila ubishi.
 
Soma vizuri post yangu, "usinge/asinge" kama hujasema wewe ina maana hukuufatilia mjadala, rejea posts utanielewa.

Inaelekea hata kiswahili hujui - no wonder guys like you keep moaning and you can't even explain whatever is itching you to warrant your constant moaning! Mtafute mtu yeyote anaejua Kiswahili akufafanulie "usinge..." inamuelekea nani in a manner of speech. Kwa nini usingemuuliza huyo aliekwambia unachokisema hapa, own up dude!

Note kwenye RED: That is directed AT YOU!
 
Pole sana hata Lema alivuliwa ubunge na vyombo vya dola kwa sababu ni mkristo
 
Pole sana kaka. Nakushauri ufanye in depth study ya unachoamini. Duniani kote kwenye matatizo kuna waislam ambao mara zote mmekuwa mkilalamika mnaonewa. Kwa nini tangu kuumbwa kwa dunia nyinyi hamonei wengine? We dont fight against flesh and blood but against spirits. Things they manifest in spirits before they manifest in physical. Dont west your time fighting in physical .
 
Tusikuze mambo Polisi wana haki ya kukagua kila raia wanayeona inafaa kumkagua kwa kazi yao, ukiangalia kuwa wengine kati yao wala sio waafrika ni watu wa Yemen hivyo kama polisi imewakagua ni haki kama hawakuwa na taarifa za ujio huo.
 
Kwa mleta hoja na wanaomsapoti nimeuliza mda mrefu sijapata majibu ya haja wala yenye mantiki.

1. Syria, tunisia, somalia nk watu wanateswa na kuuwawa kwelikweli

a) kunamfumokristo huko?

b) nyerere aliasis machafuko yahuko?


2. Tunasema mfumo kristo je? ule wa kuteketeza makanisa zanzibar, kenya nigeria nk tuuitaje?

3. Je mtu anaposhukiwa kufanya makosa asihojiwe ila tu akithibitika sio mwislam ndipo ahojiwe?

4. Je tunaajiliwa katika mashirika na idara mbalimbali tukifanya usaili wa din zetu na si taaluma zetu?

5. Mnapowadanganya na kuwachochea watanzania kuchukiana kwa mising ya iman zao mnapata faida gan?

Tujenge inchi kwa kuikosoa serikali sio kilasiku kuendeleza na kueneza majungu yasiyo na tija.
 

Usiwe Duyusi hata katika kufikiria yaliyotunzunguka katika Ulimwengu Adof hitler amefariki lakini amewacha wafuasi wake na ajenda zake zikiendelea na kama alivyokufa Kambarage amewacha wafuwasi wake waendeleze
 
That is naked truth.
Eti wanadai kwamba nchi za magharibi zinaukubali Uislamu wakati usahihi ni kwamba wakiwa nchi za magharibi wako huru kufanya watakalo.
Nchi zenye waislamu wengi ni nuksi kuishi huru kama wewe si Muislamu pia ni Nuksi kishi kama wewe ni Muislamu huru.
sijasikia, sijaona wala sitarajii kuona kundi la watu wakikimbia let say Zanzibar,Somalia, Yemen Bama Rwanda Congo Colombia Chechinia, Russia Mongolia au Sysria na kwenda kuishi Saudi Arabia kwa sababu ni nchi Tajiri ya Kiislamu na yenye kujali haki za Waislamu na wanyonge.

Wakimbizi kutoka Zanzibar na nchi zote za kiislamu,wake kwa waume, wamejazana hapa USA tunanyang'anyana BOX la Mzungu kama utadhani nchi ya Kiislamu,Kistaarabu na tajiri Saudi Arabia iko kwenye hadithi za kitabu cha Kufikirika cha Marehemu Shaban Robert tu???

Sina maana ubepari au ujamaa ni mifumo safi. Lakini nijuavyo mimi Uislamu kama mfumo wa utawala hapa duniani bado si mfumo wa kuigwa wala kuonewa wivu, ni mfumo dume, babe na usioenda na wakati.

Tangu utawala wa Ottoman upigwe nondo na kufa kundi kubwa la waislamu dunia nzima, linajitahidi sana kurubuni watu kwa fedha za mafuta na madawa ya kulevya vitisho na kuua kueneza sumu miongoni mwa raia wa nchi nyingi duniani, hasa nchi zilizo vurugwa kiuchumi na kuwa masikini sana kama Tanzania.



 

Ni kusomesha historia na mambo ambayo si wengi wanayafahamu.
 

thanx 4 your advice mkuu wafahamishe
 

Poteza muda kujifunza kuandika Kiingereza hakika ni lugha inayoweza kumfikisha mtu mbali sana kama ataijua kuisema na kuiandika vyema.

Ukiwa unataka kuwasiliana nami ni bora tukawasiliana kwa Kiswahili.
Nitakuelewa na wewe utanielewa.
 
Mkuu nguruvi wewe ni mkali mpaka basi: umepiga msumari wa utosi. kama hajaelewa tena basi atakuwa mgumu sana kuelewa au ni gilba tuz.
Mkuu alberaps, Mzee Mohamedi said amesoma nondo za Mkuu Nguruvi3, sio tu ameelewa bali ameshindwa kujibu hoja madhubuti za Nguruvi3, akabaki kuchezea maneno ya kiswahili bila hoja! ebu soma jibu lake kwa msomi Nguruvi3;
Nguruvi3,

Umesema maneno mazuri sana.

Ila ukiyatazama mambo kwa juu juu hutoweza kuona kile kilichojificha.

Nadhani kwa sasa tushafahamiana pakubwa kiasi cha kufanya mjadala mzuri wa kustarehesha.

Hali unayodhani ilivyo sivyo kabisa.
 
thanx 4 your advice mkuu wafahamishe

Hii post yako ingelikuwa nzuri kama ungeliondoa hamaki na ukaandika kwa utulivu.
Mathalan kwa kutaka kujua kama mimi ni mwanasiasa au la.

Huwa sipata raha ya kujibu kitu kama vile pana ugomvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…