Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola

Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola

You are missing the point here dude!! Anaefanya uovu na kuhukumiwa ni MTU BINAFSI, si dini yake, ukoo wake au taifa lake. Kuna watu wanaojiita waislamu/wakristo/wahindu/Budha/wapagani na bado wakawa ni waovu. Imani yangu ni YANGU BINAFSI, hata kama ninaabudu ng'ombe bado ni imani yangu. Uhusiano wa mtu na MUNGU wake ni wa HIARI NA BINAFSI. Katika nchi zilizostaraabika, mtu ana hiari ya kufuata dini yake bila kubughudhiwa - ndio maana kuna misikiti USA, UK, Norway, Netherlands, France na kwingineko ambako traditionally hakukuwa na uislamu.


Mtoboa siri
I like your contribution..suala la iman na kuamin nilamtu binafsi - very cleaar and loudly

Nakila mtu atahukumiwa kwa matendo yake siku ya kiama, kwanin kilamtu asipewe uhuru wa hiari kuabudu kama avunji sheria za inchi.
 
Mzee Said,
Awali ya yote nieleze neno linalotumika katika medani ya vita. Neno hilo ni 'shoot any moving object'.
Kauli hii inatumika majeshi yanapokuwa katika wakati mgumu, ya kwamba mbinu zote zimeisha na hakuna mkakati. Nitafafanua wakati nahitimisha maelezo yangu.

Kwa mtu asiyeielewa Tanzania na utangamano wa wananchi wake wenye imani, makabila na itikadi mbali mbali za kisiasa,pindi anaposikia mihadhara yako ima anatishika sana au anajawa na hasira kama ulivyowajaza WaNigeria.

........"

When there are no rules of engagement, anything is fair!

Mkuu Nguruvi3 wewe ni mkali mpaka basi: umepiga msumari wa utosi. kama hajaelewa tena basi atakuwa mgumu sana kuelewa au ni gilba tuz.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu malalamiko kwao ni jadi, hasa wale waio na la kufanya. Hata kama kusiwe na la kulalamika watalalamika tu.

Ukitaka kujua kama kweli hao wanaojiita waislamu ni waislamu au la angalia matendo yao. Kuna jamaa mmoja alikuwa anjidai kwa kujiita Alhaji, lakini kila jioni alikuwa anaonekana na machangudoa, alikuwa anavuta sigara, na kuna wakati pia alikuwa anakula nguruwe, lakini ikifika mambo ya "waislamu" alikuwa wa kwanza kujitokeza.

Unajua uislamu unafundisha watu kuwa wenyewe ndio dini pekee ya kuzaliwa nayo, (kitu ambacho ni uongo) na unawataka wao ndio watawale wengine wote wasio waislamu kwa upanga na kuwakata makoo kama hawasikii. Kwa mtindo huu unawa indoctrinate watu wajione kuwa ni victims, wajione inferior na wawe na violent reactions wanapopambana na wanachokiona kutofanikiwa kufikia lengo hilo. Sio coincidence kwamba magaidi wengi wanatoka middle east. Jaribu kuangalia idadi ya wafungwa wa Tanzania angalia kuna waislamu wangapi na wakristo wangapi.

Wakristo utakaokuta gereza utaona wengi ni wezi wa pesa, lakini makosa ya waislamu mpaka unaweza kusikitika, kwa hiyo unaweza kuona kuwa dini ina factor fulani.
Halafu kuna ajabu moja angalia waislamu wa Tanzania wengi wanakwenda wapi, nchi za magharibi au za kikafir, au nchi za kiislam, unaweza kukuta ni wachahce sana wanaoendda nchi za kiislamu, wengi wanaenda kwenye nchi za kikafir, sijui ni kwanini.
Dini yoyote inayohalalisha matumizi ya nguvu zidi ya watu wanaoikana ni dini hatari sana. Embu angalia, kwenye dini nyingine na mathalani Ukristo, mtu akiamua kuuacha ukristo na kujiunga na imani nyingine kamwe wakristo hawawezi kumwadhibu zaidi ya kutumia njia za kiungwana kumrejesha. Kama ikishindikana, basi watamwachia Mungu ashughulike naye. Lakini kule Irani na nchi nyingine za kiislamu, mtu akiamua tu kuachana na uislamu na kujiunga na imani nyingine adhabu yake ni kifo. Wako hata wazazi wameua watoto wao wa kuwazaa kwenye nchi za kiislamu kisa ikiwa ni kubadilisha dini. Na hili huwa linabarikiwa na serikali za nchi zao na wanalihita "Killing for honour". Dini ambayo haimpi mtu uhuru wa kujiamulia ni ya kimabavu, kidikteta na haifai. Dini ya iliyostaarabika ni ile inawapata watu na kuwashinda kwa nguvu za Hoja. Ingelikuwa vivyo hivyo hata hapa kwetu kama siyo kuwa na sera za kitaifa zisizofungamana na dini yeyote.
 
Nionyeshe mahali popote niliposema nchi za Kiislamu ndizo zenye uhalifu mkubwa!

Soma vizuri post yangu, "usinge/asinge" kama hujasema wewe ina maana hukuufatilia mjadala, rejea posts utanielewa.
 
Ndugu yangu M. Said unachofanya wewe ndicho ambacho sisi wengine tunakiona kwa Wamarekani weusi. Ndugu zetu hawa hujiona kwa mtazamo wa rangi sana kiasi kwamba lolote linalowakuta reaction yao ya kwanza ni "Because I'm Black". Akisimamishwa na askari mweupe jambo la kwanza wengi huhisi ni kwa sababu wao ni weusi. Matokeo yake ni kuwa akikataliwa kazi anahisi kwa sababu ni mweusi.

Msingi wa hisia hizi ni slavery legacy. Ndugu zetu walitambulishwa na kujitambua kwa rangi yao kiasi kwamba hata kama mtu kafanikiwa kiasi gani suala la rangi linajitokeza - rejea kisa cha Prof. Louis Gates Jr wa Harvard na Rais Obama katika kasheshe lililoishia kwenye "Beer Summit". Prof. Gates alijua kabisa kama raia anapohojiwa na polisi anatakiwa kuwapatia taarifa zote muhimu lakini yeye aliamua kuwa kichwa ngumu na akaona kuwa alikuwa anabanwa na maafisa wale (weupe) kwa sababu yeye ni mweusi - japo nyumba ilikuwa yake.

......." .

Mwanakijiji, kuna ukweli hapo juu, however kuna ukweli mwingine ambao ni kama "the other side of a coin"

Ni kweli kwa upande mmoja kwamba kwenye cases kama hizo kuna ambazo si ubaguzi, lakini kuna ambazo ni ubaguzi kabisa.Nina mifano mingi sana na mimi imenitokea, some kama yako ambapo niliona si ubaguzi, na some ambazo ni ubaguzi bila ubishi.
 
Soma vizuri post yangu, "usinge/asinge" kama hujasema wewe ina maana hukuufatilia mjadala, rejea posts utanielewa.

Inaelekea hata kiswahili hujui - no wonder guys like you keep moaning and you can't even explain whatever is itching you to warrant your constant moaning! Mtafute mtu yeyote anaejua Kiswahili akufafanulie "usinge..." inamuelekea nani in a manner of speech. Kwa nini usingemuuliza huyo aliekwambia unachokisema hapa, own up dude!

Note kwenye RED: That is directed AT YOU!
 
Pole sana hata Lema alivuliwa ubunge na vyombo vya dola kwa sababu ni mkristo
 
Pole sana kaka. Nakushauri ufanye in depth study ya unachoamini. Duniani kote kwenye matatizo kuna waislam ambao mara zote mmekuwa mkilalamika mnaonewa. Kwa nini tangu kuumbwa kwa dunia nyinyi hamonei wengine? We dont fight against flesh and blood but against spirits. Things they manifest in spirits before they manifest in physical. Dont west your time fighting in physical .
 
Tusikuze mambo Polisi wana haki ya kukagua kila raia wanayeona inafaa kumkagua kwa kazi yao, ukiangalia kuwa wengine kati yao wala sio waafrika ni watu wa Yemen hivyo kama polisi imewakagua ni haki kama hawakuwa na taarifa za ujio huo.
 
Kwa mleta hoja na wanaomsapoti nimeuliza mda mrefu sijapata majibu ya haja wala yenye mantiki.

1. Syria, tunisia, somalia nk watu wanateswa na kuuwawa kwelikweli

a) kunamfumokristo huko?

b) nyerere aliasis machafuko yahuko?


2. Tunasema mfumo kristo je? ule wa kuteketeza makanisa zanzibar, kenya nigeria nk tuuitaje?

3. Je mtu anaposhukiwa kufanya makosa asihojiwe ila tu akithibitika sio mwislam ndipo ahojiwe?

4. Je tunaajiliwa katika mashirika na idara mbalimbali tukifanya usaili wa din zetu na si taaluma zetu?

5. Mnapowadanganya na kuwachochea watanzania kuchukiana kwa mising ya iman zao mnapata faida gan?

Tujenge inchi kwa kuikosoa serikali sio kilasiku kuendeleza na kueneza majungu yasiyo na tija.
 
Why encouraging the enlargement of the circle of concerns instead of enlarging the circle of influence? Kila siku ni kulia lia tu na kutafuta mtu wa kuwaonea huruma watu wachache wasio na agenda nyingine yoyote zaidi ya Nyerere. Nyerere is gone and we cant change that fact. Kizazi hiki kianze kushughulika na mambo yasiyotuhusu ili iweje? Tukumbuke wa mbili havai moja! Tupigane kutoka hapa tulipokwamba.

Usiwe Duyusi hata katika kufikiria yaliyotunzunguka katika Ulimwengu Adof hitler amefariki lakini amewacha wafuasi wake na ajenda zake zikiendelea na kama alivyokufa Kambarage amewacha wafuwasi wake waendeleze
 
That is naked truth.
Eti wanadai kwamba nchi za magharibi zinaukubali Uislamu wakati usahihi ni kwamba wakiwa nchi za magharibi wako huru kufanya watakalo.
Nchi zenye waislamu wengi ni nuksi kuishi huru kama wewe si Muislamu pia ni Nuksi kishi kama wewe ni Muislamu huru.
sijasikia, sijaona wala sitarajii kuona kundi la watu wakikimbia let say Zanzibar,Somalia, Yemen Bama Rwanda Congo Colombia Chechinia, Russia Mongolia au Sysria na kwenda kuishi Saudi Arabia kwa sababu ni nchi Tajiri ya Kiislamu na yenye kujali haki za Waislamu na wanyonge.

Wakimbizi kutoka Zanzibar na nchi zote za kiislamu,wake kwa waume, wamejazana hapa USA tunanyang'anyana BOX la Mzungu kama utadhani nchi ya Kiislamu,Kistaarabu na tajiri Saudi Arabia iko kwenye hadithi za kitabu cha Kufikirika cha Marehemu Shaban Robert tu???

Sina maana ubepari au ujamaa ni mifumo safi. Lakini nijuavyo mimi Uislamu kama mfumo wa utawala hapa duniani bado si mfumo wa kuigwa wala kuonewa wivu, ni mfumo dume, babe na usioenda na wakati.

Tangu utawala wa Ottoman upigwe nondo na kufa kundi kubwa la waislamu dunia nzima, linajitahidi sana kurubuni watu kwa fedha za mafuta na madawa ya kulevya vitisho na kuua kueneza sumu miongoni mwa raia wa nchi nyingi duniani, hasa nchi zilizo vurugwa kiuchumi na kuwa masikini sana kama Tanzania.



Wangapi wanatiwa hatiani nchi hii kwa tuhuma za kuunda? Wote wanaofanyiwa hivyo ni waislamu? Nguza kafungwa yeye na wanawe kwa tuhuma ambazo hata kwa mtoto mdogo zitatiliwa shaka (ni nani hata akiwa kichaa atashirikiana na wanawe kufanya ngono wakati mmoja? Na kwa nini shahidi mkuu wa serikali ambae "ushahidi" wake ni sawa na kukiri kosa asiadhibiwe?). Mbona waislamu wanazikimbia nchi zao (kama Pakistan na Yemen - achilia mbali Iran na Syria) na kuhamia Marekani na Ulaya? Hata zuzu anajua kuwa si tatizo mtu kujenga msikiti USA na Ulaya lakini ni kujitafutia kifo mtu kukutwa na biblia Indonesia, Pakistan, Saudi Arabia etc? Acheni unafiki nyie watu! Mbona hamuhaimii nchi za kiislamu kama mnavyohamia nchi zisizokuwa za kiislamu?
 
Why encouraging the enlargement of the circle of concerns instead of enlarging the circle of influence? Kila siku ni kulia lia tu na kutafuta mtu wa kuwaonea huruma watu wachache wasio na agenda nyingine yoyote zaidi ya Nyerere. Nyerere is gone and we cant change that fact. Kizazi hiki kianze kushughulika na mambo yasiyotuhusu ili iweje? Tukumbuke wa mbili havai moja! Tupigane kutoka hapa tulipokwamba.

Ni kusomesha historia na mambo ambayo si wengi wanayafahamu.
 
Bwana Mohamed
Acha kuficha hoja zako za kisiasa kwenye mgongo wa Uislamu, unatutia aibu na kutufedhehesha; wewe kama ulipekuliwa ni kwa misingi ya kisiasa na sio ya Kiislamu; Waislamu wanagapi wanapita kwenye viwanja vya ndege duniani na hawabughudhiwi itakuwa wewe tu kila siku? Jitangangaze wewe ni mwanasiasa tukujibu kisiasa ni makruhu makubwa kwa waislamu kukashifiana ila ukija kama mwanasiasa tutakuhabarisha; hata leo hii kama pasi yangu ya kusafiria ina muhuri wa Cuba, Korea ya Kaskazini wamerekani watanihoji nini kilinipeleka katika nchi hizo si kwa misingi ya kidini bali kwa misingi ya kisiasa. Ikiwa kama wewe ulikwenda Tehran na wote tunajua fika Iran ni mahisimu wakubwa wa Marekani na Jumuiya ya Ulaya, walikuwa na sababu ya kukusumbua ina tu nataka uelewe usumbufu ulioupata ulikuwa ni kwa malengo ya kisiasa.

Chama
Gongo la mboto DSM

thanx 4 your advice mkuu wafahamishe
 
Pole sana kaka. Nakushauri ufanye in depth study ya unachoamini. Duniani kote kwenye matatizo kuna waislam ambao mara zote mmekuwa mkilalamika mnaonewa. Kwa nini tangu kuumbwa kwa dunia nyinyi hamonei wengine? We dont fight against flesh and blood but against spirits. Things they manifest in spirits before they manifest in physical. Dont west your time fighting in physical .

Poteza muda kujifunza kuandika Kiingereza hakika ni lugha inayoweza kumfikisha mtu mbali sana kama ataijua kuisema na kuiandika vyema.

Ukiwa unataka kuwasiliana nami ni bora tukawasiliana kwa Kiswahili.
Nitakuelewa na wewe utanielewa.
 
Mkuu nguruvi wewe ni mkali mpaka basi: umepiga msumari wa utosi. kama hajaelewa tena basi atakuwa mgumu sana kuelewa au ni gilba tuz.
Mkuu alberaps, Mzee Mohamedi said amesoma nondo za Mkuu Nguruvi3, sio tu ameelewa bali ameshindwa kujibu hoja madhubuti za Nguruvi3, akabaki kuchezea maneno ya kiswahili bila hoja! ebu soma jibu lake kwa msomi Nguruvi3;
Nguruvi3,

Umesema maneno mazuri sana.

Ila ukiyatazama mambo kwa juu juu hutoweza kuona kile kilichojificha.

Nadhani kwa sasa tushafahamiana pakubwa kiasi cha kufanya mjadala mzuri wa kustarehesha.

Hali unayodhani ilivyo sivyo kabisa.
 
thanx 4 your advice mkuu wafahamishe

Hii post yako ingelikuwa nzuri kama ungeliondoa hamaki na ukaandika kwa utulivu.
Mathalan kwa kutaka kujua kama mimi ni mwanasiasa au la.

Huwa sipata raha ya kujibu kitu kama vile pana ugomvi.
 
Back
Top Bottom