Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Kwanini fallacy inashika nafasi kwenye mijadala hofu ni nini?
 
Dunia ingelikua na watu wote weusi pasingekua na maendeleo, hata kibaiskeli tungeshindwa kumiliki. Mtu mweusi badala ya kuwaza future yake anawaza utumwa aliofanyiwa.


Mauwaji yanayotokea marekani dhidi ya watu weusi,ni kithibitisho tosha ya kwamba wazungu walishiriki utumwa na sio waarabu.


Sema tu kuna kasumba flani hivi dhidi ya waarabu, na kasumba haka hakataisha may be mpaka siku kiama kitakaposimama. Chuki hizi mmemezeshwa na wazungu makafiri kuwa waarabu walitesa mibabu zetu na kuwahasi, nanyi kwa akili zenu za kuamini bila hata kufanya research na kujuwa ukweli uko vipi kwakuwa tu alieyaleta haya maushenzi ya kupotosha ni mzungu kafiri. Halafu hamjiulizi ni kwanini watu weusi ni wengi sana uko marekani, Brazil, Peru, Ecuador, Colombia, marekani n.k!!!!!! Ila mmewakalia waarabu tu!!!!! Hizi ni chuki tu zisizokua na sababu yoyote. Na mtapata tabu sana mpaka akili ziwakae sawa na kuijua haki.



Hivyo Siamini mwarabu kama alifanya unyama huo, maana hakuna ushaidi wowote bali tunaletewa maandishi na vipicha vya kuchora. Ebu Mwenye ushahidi atupie hapa.
 
Au Bilal muhabesh alifikaje hijjaz? Haya masuala ya kuwatetea waarabu kwa khiyana si mazuri lakini pia si vizuri kuogopa kuwataja wazungu na ugaidi wao Mohamed Said

Chuki zenu dhidi ya waarabu haitawasaidia chochote,,,bali mnajikaanga tu. Hapo ukiombwa ushahidi unajing'atang'ata tu, ndio utambue hizo ni chuki tu. Hivi hujiulizi watu weusi ni wengi sana huko ulaya na marekani, brazil, peru, Colombia, ecuador, na sio nchi za kiarabu!!! Mnakuwa na akili za kitoto sometimes, kila macholetewa na mizungu mikafiri mnakipokea kwa mikono miwili na kukiamini bila hata kukifanyia uchunguzi na kujuwa ukweli halisia.


Acheni chuki, fanyeni kazi mulishe familia zenu, na Allah awajaalie muione haki.
 
Hivi mkewe Mtume Muhammed saw alifikaje uarabuni? Yule mama yake Ibrahim? Hii nayo ni chuki?
 
Hii mada ni nzito na ina viambatanishi na vielelezo kuntu, ngoja Mahamedd Said akusanye nondo aje humu. Wakuu kina Big Show, njooni.
Huyu Big Show sijui kabadili User Name ya JF!? Toka kipindi kile anahamasisha "Passive resistance" kusini...sijaona maandishi yake!
 
Bila mzungu wa ulaya kuingilia kati Haki za Binadamu haziwezi kupatikana.
Hata leo ubabe na maslahi ya wazungu kuna wakati vinasaidia kujenga usawa kwa kiasi fulani. Maana binadamu wote wanatawaliwa na mioyo ya ukatili nq kujikweza
 
Akili za watanzania walio wengi ni wafuata upepo.
Wamejazwa machuki na wazungu,na wasomi uchwara wa kiafrika

Kila kitu wakiambiwa wao ni kukubali tuu
Usisahau mpaka leo waafrika wanaamini chimbuko lao ni sokwe!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…