Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Huyu hata mwarabu akimwambia nipe tigo, atampa na baadae atasema mwarabu hana shida aliniomba kinyeo tu..kwani kinyeo kina shida gani! Poor! Poor! Poor! Ndo tatizo la kuchanganya race na dini.. watu wanaongelea race wewe upo kwenye dini! Brain washed 🚮💩
 
Hoja yako ina mashiko kwa mtu mwenye fikra huru na anayetaka kujielemisha. Kwa wadini na ving'ang'anizi ulichoandika ni maudhi na upuuzi. Ni kweli. Hizi dini zina mazuri na mabaya japo ukipima mabaya, hasa ukoloni na utumwa, yanazidi mazuri.
 
Angalizo hili ni muhimu sana kwenye mjadala wa leo mule Bungeni kwetu. Tunawategemea kuwasikia waheshimiwa wabunge wetu wakitanguliza mbele maslahi ya taifa letu katika kulijadili hili la DP World. Hatutarajii kabisa kutokea mbunge mmoja yoyote muflis kuipinga DP World kwa Uarabu wao, kwa hoja za kibaguzi za Mwarabu ni Mwarabu tuu, awe ni Mwarabu wa Oman, Mwarabu wa Dubai, Mwarabu wa Arabuni, Mwarabu wa Zanzibar, Mwarabu ni Mwarabu tuu ni wale wale na mambo yao ni yale yale..., watu wa type hii ni ma hayawani!, hatutegemei kabisa uhayawani huu ukaibuka kwenye mjadala huu!.

Nawatakia waheshimiwa wabunge wetu mjadala mwema.

P
 
hayawani ni wewe, Ubaguzi ndio ulikupeleka kuanzisha huu uzi na sasa ndio umepata sababu ya kuendeleza ubaguzi wako. Lakini mwisho was siku hakuna utakalo badilisha. Mbona wakati wazungu wanakuja kuwekeza hukulalamika kwa walivyo wafanyia waafrica? Au kwa sababu ni wakristo wenzako? Subiri sasa uone masjid ya maana itakayo jengwa hapo bandarini kenge wewe.
 
Huo ni uongo mtupu. Waliouliwa ni Waarabu wakati wa. Mapoinduzi haramu yaliyiadisiwa na wazungu qaliomjaza ujinga Nyerere kuyaanzisha.

Wazanzibari wenyewe wanyasema hayo, hakuna siri tena.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
This is a constant reminder that beware of these dogs
 
yani umetoa maelezo mazuri kwamba sio kila tunapozungumzia uarabu ni uislamu
 
This is a constant reminder that beware of these dogs
Hizo picha zote mlizoweka ni Mjerumani huyo.
. Mwarabu kamera aitowe wapi? Mwarabu alikuwa bize kwenye misambwanda ya kinyamwezi. Mazao ni sampuli ya kina Samia Suluhu Hassan.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Huo ni uongo mtupu. Waliouliwa ni Waarabu wakati wa. Mapoinduzi haramu yaliyiadisiwa na wazungu qaliomjaza ujinga Nyerere kuyaanzisha.

Wazanzibari wenyewe wanyasema hayo, hakuna siri tena.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Waliuliwa wakati wa mapunduzi si ni baada ya waliokua wakiumizwa kuchoshwa na dhurma?
Yaani hapo ni sawa na kusema Tanzania ndiyo wachokozi kwa kuivamia Uganda kitendo chao cha kuvamia na kuingia nchini Uganda.
 
Hizo picha zote mlizoweka ni Mjerumani huyo.
. Mwarabu kamera aitowe wapi? Mwarabu alikuwa bize kwenye misambwanda ya kinyamwezi. Mazao ni sampuli ya kina Samia Suluhu Hassan.

View attachment 2662836

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Halafu kumbe kule nyumbani ujombani anaitwa Soluho, siyo Suluhu
 
Waliuliwa wakati wa mapunduzi si ni baada ya waliokua wakiumizwa kuchoshwa na dhurma?
Yaani hapo ni sawa na kusema Tanzania ndiyo wachokozi kwa kuivamia Uganda kitendo chao cha kuvamia na kuingia nchini Uganda.
Siyo kweli, huo ni uongo uliojazwa nao ukakujaa.

Waliopinduliwa ni Wazanzibari Waislam kwa agenda maalum.

Soma: TUFUNUWE KITABU: Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Halafu kumbe kule nyumbani ujombani anaitwa Soluho, siyo Suluhu
Jina lake ni Samia.

Waislam hatubadili majina kama yalivyobadilishwa kwenye biblia. Biblia ya Kiswahili na majina yake, ya Kingereza na majina yake, ya Kiarabu na majina yake.

Uislam Hauna ujinga huo. Si unaona mama Samia hatumii hata jina la Mumewe, ndiyo Uislam huo.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Huo siyo ujinga, bali ni utamadunisho, kuna shida gani kabila likiipokea dini? Au 7nataka kabila ndiyo liebde kwenye dini?
 
Uchambuzi mzuri. Mwenye akili ya kawaida ya kuelewa ameelewa. Asiyeelewa ni yule tu asiyetaka kuelewa.
 
Hoja zote zilizotolewa unasema "hakuna hoja''? Udhalimu wote alioutaja Paskali unaulinganisha na mtu aliyeua na kufungwa na Serikali ya CCM? Tuwe serious tunapotoa hoja kwenye jambo zito kama hili la bandari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…