Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Na bado wanavyomwabudu huyo mwarabu sasa.

Yani Zanzibar wanaona Dubai, Oman, Saudia na Bohrain kama Firdausi.

Utumwa kwenye mwili hadi kwenye Ubongo.

Hili andiko ungeliandika wakati huu wa DPW wangekwambia wewe ni mdini.
 
In 53% of households, the migrant domestic worker was subject to at least one type of abusive behavior. The most common forms of reported mistreatment included excessive working hours (29%), late payment of salary (25%), and denial of one day off per week (18%).11 Jan 2023

https://journals.sagepub.com › doi

Assessing the Labor Conditions of Migrant Domestic Workers in the

 
Una uhakika gani huyu ni mmisionari??
Hao wamissionari ndio walizuia biashara ya utumwa wa waarabu Africa mashariki
 
Slavery is wrong, but it has been there throughout.

1) Israelites taken into slavery in Egypt
2) Spaniards taking africans into slavery in South America and the Carribeans
3) Triangular trade, where europeans ta
Islamic slavery trade
 


Hahahahaahah wewe mwenyewe unakiri kuwa ni masalia ya waarabu wavamizi waliotesa waafrica wa Africa mashariki..
Umesema wareno walivamia zanzibar ni kweli walivamia zanzibar na Oman 🇴🇲 na kuzikalia kimabavu .lakin wa Oman hawakualikwa ila maslahi yao yalifanya wavamie na kuitawala Zanzibar . Hakuna mtu anaeweza kualika mgeni atawale mgeni kuitawala nchi yake.
Hao waarabu wamefanya biashara ya utumwa kwa karne nyingi ndio maana leo kote Mashariki ya kati kuna jamii nyingi za watu weusi au machotara waitwao afro arabs.
Iraqi afro arab (zanji people)
Saudi afro arabs
Jordan afro arabs
Oman swahili arabs
Yemeni swahili arabs

Na kuthibitisha hili nusu ya waomano wanaongea Kiswahili.

Yemen na iraq pia hawa afro arabs wanaongea Kiswahili. Hivo ni dhahiri shadhiri ni masalia ya vizazi vya watumwa toka swahili coast.
Je hao walipelekwa na wazungu??
Hadi 🇮🇳 na Pakistan 🇵🇰 kuna sidi people ambao ni weusi toka Africa mashariki
 
Ndio sababu Uarabuni hakuna Waafrika wenyeji kama ilivyo Ulaya na Marekani

Demand ya Watu wa Kufanyishwa kazi huko Ulaya na America ndio iliyowaingiza Waarabu kwenye Udalali wa Watumwa

Tuwahukumu Waarabu kwa Mazingira ya sasa Lakini siyo kuhofia kutugeuza Watumwa Kwani Waarabu Wenyewe kimsingi ni Watumwa tu wa Marekani na Urusi

Ukiona mtu anawasengenya au kuwatetea DP world kwa sababu ni Waislamu basi Ujue mtu huyo haujui Uislam

Nawatakia Jumatatu njema!
 
DP world mbele kwa mbeleee 🎶🎶🎶🎶🎶!!
 
Ndio sababu Uarabuni hakuna Waafrika wenyeji kama ilivyo Ulaya na Marekani
Ni kwasababu watumwa waliopelekwa Arabuni na Bara Hindi, walihasiwa!. Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama
Demand ya Watu wa Kufanyishwa kazi huko Ulaya na America ndio iliyowaingiza Waarabu kwenye Udalali wa Watumwa
True, Waarabu walikuwa ni madalali tuu, hawakukamata watumwa wala hawakununua watumwa wao waliwafanyia tuu biashara.

Waliokamata watumwa na kuwauza kwa Waarabu ni sisi wenyewe kwa wenyewe!.
P
 
Kitu cha kushangaza historia imepindishwa na wazungu..maana naona bandiko loote halikutaja mzungu. Wakati mzungu ndio alietesa kuua na kufanya vurugu nyingi..ila kwakua wao ndio walioleta vitabu vya kujifunzia kusoma wamewaaminisha waalabu ndio maadui zenu.

Ukienda hata kwenye zile musiam za bagamoyo utaona kwenye yale makanisa ndio kwenye ile minyororo ya waliokua wanawanyongea wazee zetu.minyororo ipo hadi le😵G.

Wazungu ndio walikua hatari mala 20 ya waarabu ila kwakua wanauwezo wa kupindisha jambo kupitia vitabu wamefanikiwa kuwachafua wengine.

Sikatai kua waarabu hawakua watu wabaya ila haeakuleta madhara kama ya wazungu kwenye afrika hii.
 

Tafuta kitabu , Kanisa katoliki na siasa za Tanzania bara , kaandika Padri Sivallon , usome
 

Walioteswa munawajua nyinyi wasukuma wa bara tu mnaokwenda makanisani?? Mbona sisi waafrika wa huku hizo story hatujazisikiapo

Msikilize mzee huyu muafrika wa Zanzibar anavyokutolea historia , Mzee aliuliwa na majeshi ya CCM kwa kusema ukweli



View: https://www.youtube.com/watch?v=a7AUUb5hPVo
 
hakuna mwarabu mwema, hata hawa waliopo hapa ni roho mbaya sana....waarabu ni watu wenye roho mbaya iwe mwanamke au mwanaume......ni makatili vibaya mbaya na hawapendani hata wao kwa wao. very easy to manipulate.... hakuna mwarabu mwema. wakafie mbele.
 


Waafrika hawa wenye roho nzuri 😛


Your browser is not able to display this video.
 
Na bado wanavyomwabudu huyo mwarabu sasa.

Yani Zanzibar wanaona Dubai, Oman, Saudia na Bohrain kama Firdausi.

Utumwa kwenye mwili hadi kwenye Ubongo.

Hili andiko ungeliandika wakati huu wa DPW wangekwambia wewe ni mdini.
kama wewe unavyomuona mzungu ni malaika au vipi , mpaka wengine mnaolewa na wachungaji



The pair are due to marry on Oct 9 at the register office in Devizes before holding a service at St John the Baptist Church
 



Report exposes shocking levels of domestic worker sexual abuse

Empower Women - Abuse of domestic workers in Nigeria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…