Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

P
Wanabodi,

Katika karibu kila jambo, kuna mazuri na mabaya yake, kama ilivyo kwa ukoloni, japo wakoloni walitunyonya, pia kuna mazuri, walituachia, ikiwepo elimu, maendeleo na dini ya Kikrito, vivyo hivyo pamoja na mazuri ya Waarabu kuvivamia visiwa vya Zanzibar na Pemba na kuvitwaa kama mali yao, miongoni mwa mazuri waliyoyaleta Waarabu hawa, ni Dini ya Kiislamu. Lakini pamoja na mazuri haya, sio vibaya kama wasiofuatilia historia, wakayajua madhila yaliyowakuta ndugu zetu Wamatumbi, wakati wa utawala dhalimu wa Sultani, kwenye visiwa vya Unguja na Pemba.

Naomba kukiri, nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kutoka na mada hii
Sultani gani aliye na shutuma za mauaji Zanzibar
ya Mkuu Maalim
Mohamed Said
yenye lengo la kuonyesha kuwa Yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ndio pekee yaliyosababisha mauaji Zanzibar, simply because aliyeuwawa kwenye Mapinduzi yale, ni Mwarabu, yaani ndio binadamu, lakini Wamatumbi wote waliouwawa vifo vya kikatili chini ya mokono ya Waarabu, wao sii kitu!.Mkuu Maalim
Mohamed Said
, kwa heshma na taadhima, nakuomba kwanza acha chuki zako na wamisionari, pili hata kama lengo lako ni kuutetea Uislamu, lakini mara moja moja kuwa mkweli toka ndani ya nafsi yako, kwa sababu naamini kabisa unayajua fika madhila yaliyowapata ndugu zetu Wamatumbi wakati wa kipindi chote cha utumwa chini ya Wavamizi Waarabu na utawala wao dhalimu!.

Hizo picha japo ni za kuchorwa, kiukweli kilichowapata ni kibaya kuliko hata hicho kilichochorwa!. Chini ya utawala dhalimu wa Waarabu, watumwa wote wanaume walihasiwa!, lengo la kuwahasi wanaume ni ili kuzuia wasizaane, kitendo cha mwanamke kubeba ujauzito miezi 9 kisha kuzaa mtoto na kumsubiri hadi akue, itakuwa ni hasara, na hivyo kupunguza kasi ya mahitaji ya watumwa wapya!.
Watumwa wa soko la Zanzibar waliouzwa Arabuni na Bara Hindi, ambapo baada ya kufika kule, wanaume wote walifanyiwa ukatili wa ajabu kwa kuhasiwa ili wasizaane, na walifanyishwa kazi za shokoa. Wanawake walifanywa wajakazi, kazi za wajakazi zinajulikana, wenye bahati zao, walifanywa masuria, wasio na bahati waliuliwa na wengine kujifia, ndio maana hakuna kizazi cha watu weusi India na Arabuni, hao machotara, ni kwa baadhi ya Waarabu wenye utu na roho nzuri, lakini the rest ni unyama unyama tuu!.

Idadi kubwa kizazi chotara cha machotara, ni Wanaume dhalimu wa Kiarabu, kuwaingilia kwa nguvu watumwa wa kike ambao walinunuliwa mahsusi kama wajakazi, na pale waliposhika ujauzito, wamiliki walikuwa huru, kuwafanya chochote watumwa wao, ikiwepo kuwatesa, kuwapiga hadi kuwaua kwa ukatili wa hali ya juu!. Mtumwa mwanamke baada ya kuingiliwa ki nguvu, yaani kubakwa, ikitokea akashika ujauzito, mwanamke yule aliuwawa kwa kuwatoboa tumbo, kutoa, kiumbe ambacho ndicho kilizikwa kama binadamu, na mwili wa mtumwa ulifukiwa tuu kama mzoga!.

Jee wajua kuwa hata baada ya kupigwa marufuku kwa biashaa haramu ya watumwa duniani kote, biashara hii iliendelea kufanyika Zanzibar kwa siri?!. Jee wajua kuna njia za chini kwa chini zimechimbwa Bagamoyo na Zanzibar ambapo watumwa walifichwa kwenye mapango na kupitishwa chini kwa chini hadi baharini?

Jee ulikuwa unajua kuwa kila Sultani, wake zao na watoto zao, walipokufa, walizikwa na watumwa hai?!. Jee wajua kwenye jengo la Beit Al Ajab, kwenye kila milingoti hapo, ndani walimuweka mtumwa hai mwanamume?!.

Jee wajua waliofanikisha kukomesha biashaa ya Utumwa Zanzibar ni akina nani?!. Kwa kusaidia tuu, waliokomesha biashara hii dhalimu Zanzibar ni wamisionari, ambao waliingia kabisa mkatataba na Sultani dhalimu wa Zanzibar, ndipo ikukubaliwa kuwa watumwa wote wenye kutaka kuwa huru, lazima wagombolewe kwa wale matajii wao kulipwa fedha, ambapo hao wamisionari, waliwalipia fedha kuwagomboa, na ndipo wakaanzisha kanisa la kwanza kabisa Afrika Mashariki, lilianzia Zanzibar, na waumini wa kwanza, ni watumwa waliogombolewa!.

Jee wajua kitu walichofanyiwa Waarabu dhalimu hawa baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ilikuwa ni katika kujibu tuu au payback ya "what goes around, comes around?!", ila hapa naomba kukiri wazi, kuwa sio Waaabu wote kabisa walikuwa madhalimu kwa kuwatenda vibaya watumwa wao!, wako Waarabu ambao waliwatendea wema watumwa wao, na wamisionari walipotaka kuwagomboa, watumwa hao walikataa kwa ridhaa zao, hivyo wakaendelea kubaki utumwani kwa ridhaa zao wenyewe!.

Wako Waarabu, waliwapenda watumwa wa kike, japo waliwanunua kama vijakazi kwa ajili ya kuwafanya watumwa wa mapenzi, lakini wapo waliotokea na kuwapenda kwa mapenzi ya dhati, wengine wakawaoa na kuwa masuria, na wakawazalia watoto!. Namfahamu mmoja wa watoto wa Sultani ambaye alizaliwa na suria, na yungalipo hai hadi leo!.

Hii ni Ripoti ya aliyetumwa na utawala wa Waingereza kufuatilia kilichokuwa kinafanywa na serikali dhalimu ya Sultan, baada ya kupigwa marufuku biashara ya utumwa.

Pitia hapa
A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba ...
Na kwa vile wengi wetu ni wavivu, hatupendi kusoma kujiongezea maarifa bali tunapenda kupikiwa, kupakuliwa, kulishwa, kutafuniwa, sisi kazi yetu ibaki kumeza tuu, hivyo na mimi nitawatafunia sehemu chache chache za ripoti hii na kuzitafasiri kwa ajili ya wale wenzangu na mimi!.
"They complained that the Arabs treated them harshly", yaani Waarabu wanawatesa!.
In Zanzibar a good many people had been telling me how slaves were suffering in the handa of Arabs!. At Chaki Chaki I walked into a tumble-down I found a number of slaves male and female, heavily chained and fettered". Nilikuta makundi ya watumwa wake kwa waume wamefungwa minyororo!".
east-african-slavery2.jpg

img-20160417-wa0025-jpg.339723

ZANZslvs1864.jpg
79Slaves_jpg.jpg
winterton_image_large.jpg

f1cfd5c8c022ec081b501e137cd76f48.jpg

0d422469a7bfe49699e19d8d898530d7.jpg
East-African-Slave-Trade.jpg

6ea26ffb39629355ebf88004858ec924.jpg
images
images
Slavezanzibar2.JPG
Servant_or_slave_woman_in_Mogadishu.jpg
8193f522fd2fbf34063d4baf59dfcced.jpg

Hizi picha wajemeni sio picha ya kuchorwa, ni picha za kweli na halisi zilizopigwa na kamera za wadhungu!.

Lengo la uzi huu sio ubaguzi, au kuwakumbusha machungu ya Waarabu, bali ni kujikumbusha tuu, na kuwaelimisha baadhi ya wenzetu, wasiowajua hawa Waarabu wa Unguja na Pemba waliwafanya nini mababu zetu!.

Ila pia naomba kutoa Maangalizo muhimu yafuatayo.
1. Tuwe makini sana na watu waliofilisika kiakili ambao watachanganya Uarabu na dini ya Kiislam simply because, Dini ya Kiislamu inatumia lugha ya Kiarabu!. Masikini muflisi hawa, hawajui kuwa hata Ukiristo umeanzia Arabuni. Wakristo na Waislamu ni watoto wa baba mmoja, Ibrahim, Waislamu ni uzao wa mwanae wa kwanza Ismail, aliyezaa na mjakazi wa ki Misri, na Wakristo ni uzao wa Isaka aliyezaa na mkewe Sara. Hata Yesu Kristo, licha ya kuzaliwa Isael, alikulia Misri na alizungumza lugha ya Kiarabu!. Hapa mimi nazungumzia udhalimu wa Waarabu kama jamii na sio dini ya Kiislamu.

Udhalimu ni udhalimu tuu hauna dini, wala kabila, wala jamii, kwa sababu kwenye udhalimu sio Waarabu tuu peke yao ndio madhalimu, watu wa mataifa mbalimbali wamefanya udhalimu kwa watu wa mataifa mengine, na mfano mzuri ni udhalimu wa Wajerumani kwa Mayahudi chini ya Hitler ulioitwa Halocust ambapo Hitler aliwaua Wayahudi zaidi ya milioni 6 kwa ukatili wa ajabu!, ila kwenye biashara ya Utumwa Unguja, Pemba, na Arabuni, watumwa hawa walihasiwa hivyo kufanyiwa genoside na wahusika sii wengine bali ndugu zetu hawa hawa Waarabu ambao leo tunakula nao, tunakunywa naa na kufurahi nao kwa vile tumeishasahau, yaliyopita sii ndwele!.

2. Kwenye biashara ya utumwa, waliokuwa wakikamata watumwa, sio Waarabu, Waarabu wao walikuwa ni wafanyabiashara ya watumwa kwenye soko kuu la watumwa la Zanzibar, wakitokea Bagamoyo, na wanunuzi wakuu wa watumwa toka soko la Zanzibar kwa ajili ya kuwasafirisha kuwauza Uaabuni na India, ambako kote huko baada ya kufika, watumwa wanaume walihasiwa!. Waarabu pia ndio walikuwa wamiliki wa watumwa katika mashamba ya Zanzibar na`Pemba, ambapo nako watumwa wanaume walihasiwa, wanawake walifanywa vijakazi na ndio wazazi wa machotara wa Zanzibar na Pemba, wengi ni baba Mwarabu, mama uzao wa watumwa wanawake wenye bahati, ambao hawakutumbuliwa mimba za Waarabu!.

Upatikanaji wa watumwa kutoka bara pia ulihusisha baadhi ya watawala wakiwemo machifu ambapo baadhi ya wahalifu waliostahili adhabu za vifo katika jamii zao, badala ya kuuliwa na kuwa hasara jumla, waliuzwa, utumwani, lakini watumwa wengi ni watu tuu wa kawaida wasio na hatia yoyote ambao waliwamiwa na kukamatwa kwa nguvu, wakiwemo wanawake na watoto!. Zoezi la ukamataji watumwa pia lilihusisha vitendo vya ukatili, ambapo wengi watumwa hawa, waliuawawa katika purukushani, na wengine wengi walifia njiani na miili yao kuachwa ikioza, miili yenye bahati ilifanywa vitowea vya wanyama wa porini. Kwenye misafara hiyo, ndugu zetu waliteswa sana mateso ambayo hayazungumziki walioishiwa nguvu, walipigwa hadi kifo ila hakukuwepo na kamera ya mzungu wa kutupigia picha kuja kutuleta humu!.

3. Waarabu ninaowazungumza hapa, ni wale Waarabu madhalimu na makatili wa wa enzi zile za utumwa ambao wengi wao, mwaka 1964, walifurushwa kutoka Unguja kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964!, ila waliofurushwa ni wale tuu waliokuwa Zanzibar. Waliokuwa Pemba hawakuguswa. Hawa Waarabu wa leo, ni vizalia vya Waarabu wale wale, ila hawa wa sasa, ni Waarabu wema,wastaarabu kama Waarabu wa sasa, wenye roho nzuri, sio wakatili, sio wadhalimu na wanawapenda watu weusi na kuwaoa kwa mapenzi, huku wanawake wao, wakiwapenda weusi na wakiolewa nao japo mwanzo ilikuwa ni kwa kulamishishwa na Karume, hivyo nashauri, kwa siku zijazo, hata Waarabu hawa, ama machotaa wao, wakishiriki tena uchaguzi, wakashinda kwenye uchaguzi kwa haki, wapewe tuu nchi watawale kwa sababu Waarabu hawa sii wale!, wasinyimwe kutawala eti kwa sababu tuu ni Waarabu wale wa mwanzo na wa enzi za utumwa, walikuwa mashalimu, hivyo kuendelea kudhani hata hawa wazaliwa wao pia lazima ni mashalimu!, kwa kanuni ya mwana wa nyoka ni nyoka!.

Mwana wa nyoka sii lazima awe nyoka, kwa sababu hata shetani mwanzo alikuwa malaika!, hivyo Waarabu hawa wa sasa ni Waarabu wema, ni wenzetu na ni sehemu yetu!.

Pasco
Pasco upo deep sana,upo deep mpaka unawapoteza watu wenye 'ubongo mwepesi'.Sijui kama watu wote huwa wanakuelewa kama ninavyokuelewa mimi.You are my JF Hero!
 
Hivi mreno ni mwarabu mjerumani ni mwarabu mwingereza ni mwarabu mbona waliua saana babu zetu hizi ni history za chuki na wazungu walificha ushahidi wa vitendo vyap na je mashujaa wa songea walinyongwa na warabu vita vya maji maji ni waaarabu na waarabu walifanya biashara ya utumwa je unamjua mteja mkubwa wa watumwa si mzungu ww unaweza kuniambia visiwa vya cuba jamaica haiti wale weusi wametoka wap

Kwani kuna mtu amekanusha kuhusika kwa mreno au mjerumani? Hapa sote tunakubaliana, tatizo akitajwa mwarabu ndio tofauti zetu zilipo
 
nadhani Pasco kama si kipofu basi ni makengezaNrejea kukueleza kuwa utumwa wa hao babu zako haukufanywa na waarabu dhalimu, lakini hata watanganyika dhalimu. Tena watanganyika ndio walikuwa madhalimu zaidi kwa jinsi ya njia wanaotumia kuwakamata na kuwahifadhi. Ujue pia hao wanunuzi walikuwa hawanunui watumwa dhoofu, hivyo hutunzwa na kupewa lishe ili wapate soko bora.. Hakuna chifu Tanganyika wakati huo ambae hajajishughulisha na biashara ya utumwa. Nimekueleza TIPTIP ni mnyamwezi na ana udugu wa damu na chifu Fundikira. Bora useme wale wote waliowanyia ushenzi wa utumwa babu zako ndio wadhalimu

Slavery always existed in Africa as part of a social system but trade started with Arab raiders arriving around the 9th century to take Africans to markets in Mesopotamia, India, Persia and Arabia. In the 19th century slave trading was a flourishing commercial practice with regular and massive deportations organised by Arab slavers helped by local tribes such as the Nyamwezi who became their redoubtable partners. The most renowned Arab trader was Tippu Tip (Hemedi bin Muhammad el Marjebi), born in Zanzibar, who at 18 began slave and ivory trading between the interior and coastal towns, and by 1880 he had built a large commercial empire between the Upper Congo, Lake Tanganyika and Bagamoyo on the coast, where the slaves were shipped-off to Zanzibar for sale to foreign merchants. In East Africa all the main routes, such as the above, lay in Tanganyika: a route in the North passed through Karagwe and North of Lake Victoria and divided to head north to Bunyoro and north-east towards Buganda. A less frequented route in the south exploited by the Yao, led from Lake Nyasa to Kilwa.

The movement to abolish the slave trade started in England after publication of John Wesley's Thought upon Slavery in 1774 followed by Scottish economist Adam Smith's work The Wealth of Nations published in 1776. The latter laid to rest once and for all the 200 year-old economic belief that slave labour was cheaper than free men's work.

It still took more than a century for Slavery to be totally abolished. The Moresby Treaty in 1822, the Hamerton Treaty in 1845 and finally on 5th June 1873 the treaty signed between the British Consul in Zanzibar, Sir John Kirk, and Sultan Barghash made slave trading illegal. By 1889 all former slaves were declared free men and the status of slave was abolished in 1907 in British East Africa. Compensation claims, the last step to offset the intricate human-economic impact brought about by the abolition, were not considered after 31 December 1911.

In Tanganyika the status lasted another 15 years until the end of German rule when the country became a British Protectorate in 1922.
 
Pasco unajichanganya hapo mwisho. Huwezi ku generalise eti waarabu wa sasa ni wema wakishinda wapewe nchi. Sijui una maana gani. ujue mwandishi unaye mkosoa ni mwislam mhafidhina. Uislaam unaruhusu utumwa na mwenye mtumwa anaweza kumtendea mtumwa wake vyovyote. Yapo mambo yasiyofaa kwa sasa katika imani ya kikristo ila wakristo wamekua wepesi kutoyatilia nguvu isipokua sio katika uislam. Bahati mbaya mtu mweusi mbele ya mwarabu hadi leo ni mtumwa. tumeona na kusikia jinsi watumishi/wafanyikazi waafrika wanavyotendewa uarabuni hadi leo. ndio maana muandishi Mohamed Said anaona kuuliwa waafrika na waarabu sio chochote maana walikua watumwa. Anachokiona yeye ni mauaji ya waarabu katika mapinduzi ya 1964 maana hao ndio walikua watu. kutokana na msingi wa historia kuna kila sababu mwafrika kua macho na kujihami na mwarabu.
Mkuu upo vizuri.Nashangaa sana watu kutetea udhalimu kwa sababu tu unafanywa na mtu wa dini yake.Nimekuja kuona hatari ya watu kuwakaribisha magaidi ili wawaue waafrika wenzao na wasijali kabisa,kwasababu tu wanaouliwa ni "makafiri".Hatari sana
 
Hatukuwapo lkn kimantiki utumwa ni zao la watu wenye fikra kama hawa wanaokimbilia ulaya leo. Kwani utumwa ulikuwa ni mfumo, tofauti ya watumwa wabeba box wa leo kule ulaya kina chris (diasporas) na wale watumwa wa wakati ule ni kuwa wale walikwenda kwa kulazimishwa, hata hivyo walipofika kule walikataa kurudi.

Utumwa wa wakati ule ni kama huu wa mahouse girl kutoka iringa kuja kutumikishwa hapa dar. na wengine wanakuja kutumikishwa kwa biashara ya ngono. lkn wakifika dar mhehe hataki kurudi tena. Ndio mana tunasema "HIARI YASHINDWA UTUMWA"
 
Soma kuhusu zanji slave rebellion kule mjini basra(iraq) alafu utaelewa kila mjadala sio lazma uchangie kama la kusema bora ukae kimya
Hio Zanj rebellion ni mapambano ya tu ya kidini..kati ya makundi ya waislam . na watumwa walikua upande mmoja lakini watumwa walikua ni pamoja na watumwa kutoka Mka , Madina , Libya Somali neno zanj maana yake ni Black kwa sababu alie anzisha uprising ni chotara na alitaka kueneza imani yake ya Kidini....

Hakuna ushahidi wowote wa wana historia unaonesha mass movement ya watu kutoka coast ya mashariki ya afrika.
the only recorded evidence ya mass slave movement iko wazi ilianza 18th century.

Utumwa ulikuwapo miaka kabla ya hapo..lakini watumwa wakipatikana zaidi kwa njia wa mateka wa vita
au wafanya biashara wakitembea miji na wakuu wa miji ile wakitoa raia zao kama zawadi.
haya yakifanyika sana lakini hakuna ushahidi wa mauzo yawatumwa kabla ya 18th century.

hicho kisa cha basra ni muendelezo wa wazungu kujaribu nao kutafuta wenzao katika uhabithi huu wa watumwa....ni kama vile aahh hatukufanya peke yetu!!
 
Tujuwe nchii hii ilikua vipi kabla ya muzungu...jee kulikua na mtumwa anauzwa?..Tuanze na Kilwa,,

Kilwa na serekali yake'

serekali na wizara zake katika dola ya Kilwa katika muumdo wa serikali Sultani alikuwa kiongozi mkuu wa dola akisaidiwa na waziri wake mkuu ambaye aliishi na kufanya kazi kwenye ikulu moja na kiongozi mkuu wa nchi

Likini pia kulikuwa na wizara kadhaa zilizondana mazingira pamoja na hitajio la wakati husika

wizara ya Uvuvi kwa kuwa uvuvi ulikuwa ni moja ya kazi kuu ya jamii ya wanakilwa ililazimu kuundwa kwa wizara yenye dhamana ya Uvuvi ambayo ofisi zake kuu zilikuwa eneo la Sheikh Mussa bin hassan Msasani

Wizara ya masoko na biashara soko la kimataifa lilikuwa sadani wilayani bagamoyo hapo ndipo walipokuwa wanakutana wafanyabiashara na hata wale walio toka nje walio leta vyakula nguo na mahitaji mengine walio tokea hijazi iraq sham na nchi nyingine kutoka Asia kwa aajili ya biashara mbali mbali lakini pia kulikuwa na masoko mengine

kilwa iliandaa eneo kubwa la bandari kwa ajili ya kuimarisha biashara hiyo na zaidi ya hayo pia kulikuwa na barabara kutoka kilwa mpaka Nyasa na nyingine kutoka kilwa kisiwani kwenda nchi ya wasubwa kahama ambazo zilikuwa ni miongoni mwa barabara chache za misafara mikubwa kutoka maeneo ya kati ya Africa kuja pwani hivyo kilwa ilikuwa na vituo vikubwa vya wafanyabiashara pamoja na ustaarabu wake pia palikuwa ni mahali rahisi kwenda sofala

kilwa ilikuwa ikisafirisha dhahabu kutoka sofala pembe za ndovu kutoka maziwa makuu kadhalika kilwa ilikuwa ikiingia ikiingiza bidhaa zifuatazo kwa ajili ya walaji wa ndani Mtama Mccchele mifugo na asali toka bara na kutoka nchi za nje kilwwa ilipata mabakuli sahani na aina zote za vyomba kutoka Misri, China na iran

kilwa ilipata mapapai kutoka india Dhahabu ,Nguo za hariri Shaba na Shanga toka Iran na Arabuni walipata mazulia misala kahawa na tende wakaazi wa kilwa walionekana kila siku wakiwa wamejipamba na mavzi ya Kiislam kama vile kanzu na kofia

mbali na mfumo huu wa biashara kutoka na kwenda iran na india kulikuwa na aina mbalimbali za mwingiliano wa kibiashara na wachina

Wizara ya elimu makao makuu ya Wizara ya Elimu yalikuwa kilwa kisiwani hata hivyo ziliundwa shule za kati hadi vyuo vya elimu ya juu katika kila mji mkuu wa kila kanda chini ya usimamizi wa misikiti mikubwa iliyoteuliwa

miongoni mwa miji yenye misikiti mikubwa same lingi pangani sadani ikweriri kibiti mwera mikindani na kwa Sheikh musa hassani msasani mingine ni kilwa mafia kisauke bagamoyo kaole mbweni'

mohammd ibn abdullah ibin batuta alipoitembelea dola hii aliandika taarifa nyingi juu ya dola hii ikiwemo iiiinayoihusu wizara hii ya elimu na sekta ya elimu kwa ujumla wake

Mwanachuoni huyo ameeleza kuwa uongozi wa miji ya kiislamu ya kaole na bagamoyo za wakati huo uliandaa makao makuu ya kutenganeza na kutafsiri mitalaa ya shule za awali kwa kupitia chuo cha waalimu wa awali kilichopo pwani ya Sheikh mussa hassan msasani

pia vijana waliofaulu walifanikiwa kwenda kusoma katika vyuo vikuu vilivyopo Andalus (Hispania), baghdad, iraq Al Azhar' (Misri) Chuo Kikuu cha Timbuktu Africa ya Magharibi, Alzaitun (tunisia) na alkarakuyiri (Fez-Morocco)

Mfano wa vijana waliobahatika kwenda kusoma katika vyuo hivyo ni pamoja na hassan hamisi Mwinyi sembe Shomvi kutoka katika kijiji cha mapinga, bagamoyo, alitokea katika shule ya awali ya Mbweni na kwenda kusoma chuo kikuu cha madawa na tiba cha ibni sina (Aveccina) cha iraq

na pindi aliporudi cchini alikwenda katika kijiji cha kihistoria cha makurunge (bagamoyo) ambapo alianzisha shule ya awali ya sayansi ya tiba na madawa

na ni katika chuo hicho cha makurunge ndipo palipokuwa na msikiti wa kwanza katika historia ya pwani ya hapo wenye Hospitali na shule ya sayansi ya tiba na ndipo kitabu maarufu cha tiba cha ibun Sina kiitwacho Qanuun Fii tiib taratibu za tiba kilipoanza kufundishwa katika shule zote za awali hapo nchini na kwa juhudi ya wanafuzi na madaktari bingwa wa magonjwa ya akinamama na watoto wagonjwa wengi walifanikiwa kupona maradhi mbalimbali kutokana na faida ya chuo hicho

Shule hiyo ya sayansi na tiba ya makurunge ilipofikia karne ya kumi na saba katikati iliweza kutoa mmmmabigwa walioshiriki operesheni ya kwanza ya upasuwaji wa tumbo lenye saratannni, iliyofanyika iraq katika mji wa Nasriyah

Operesheni hii ilishirikisha madaktari bingwa 136, wakiwemo waislamu kutoka pwani yetu 12 kutoka katika miji ya bagamoyo kaole na Tumbatu zanzibar ni katika mafanikio hayo ya elimu ya Afya na Uchumi ndio dola ya kilwa ilipopata kuvuma zaidi duniani kwa vile shule zote za elimu ya awali zipatazo 16,689, shule za msingi 13,106 vyuo vya elimu ya juu 38 viliweza kutoa wanataaluma walioweza kuitetemeshha dunia kitaaluma kwa wakati huo

Wizara ya Afya kama utazama kwenye histiria ya kilwa utagunguwa kuwa wizara ya elimu ilikuwa mzalishaji mkubwa wa matabibu ambao walitegemewa na wizara ya Afya kuwahakikishia wakaazi wa doola hiyo siha njema

Wizara hii iliyokuwa na makao yake bagamoyo ilifanikiwa kuwa na hospitali kubwa nne za rufaa zilizojengwa katika miji ya kilwa kaskazini kisauke shapan na tumbatu na kutoka katika hospitali hizo wagonjwa walipekwa moja kwa moja iraq katika mji wa Najaf kwa matibabu zaidi iwapo tiba ilishindikana nchini

kipindi hiki dola ya kilwa ndipo ilipopewa jina la The house of Wisdom(baytul hikma) au nyumba ya hekima jina hiki lilitolewa na harun rashid Khalifa aliyetawala dola ya iraq

Uislamu ni dini ambayo ilitoa mchango mkubwa katika maendeleo ya wakati wa ujima Nchi zilizoko upande wa magharibi katika Arica Asia na yuropa (Ulaya) wakati huo hadi kufariki kwa ntume muhammed s.a.w atika karne ya saba ya wajenzi wa dola ya kiarabu chini ya nuru ya waislamu ni mfano mahsusi wa mchango wa dini kwa upande huo

Naye Hecked signan anasema

Wakati Ulaya ya wakati ilipokuwa ndani ya giza la uovu vituo vya usomi katika dunia ya waslam vilikuwa vinafundisha fasihi falsafa sanaa sayansi na elimu ya viwanda

Waslamu walifanya maendeleo ya kufana katika sayansi wasomi wa kiarabu walitoa mchango mkubwa katika fani ya hesabati na walipeleka Aljebra na tarakimu za kiarabu ulaya waarabu walikuwa na ujuzi wa madawa na upasuaji wa macho na tiba ya macho

wizara ya usafirishaji bandari kuu ilikuwa katika kutoka nje walipokuwa wanafika kabla ya kwenda kufanya biashara zao kulikuwa na misikiti takriban 1400;
ibni batuta ameandika kuwa mji wa rhapta ambao ulikuwa na bandari iliyokuwa ikitumika kwa biashara katika ya watu wa makkah sham na pwani ya africa

na pia ni bandari kuu ya biashara ya mwambao wa azania na nchi zinazopatikana na bahari ya hindi kwa kaskazini wafanyabiashara toka nje walikuja katika mji wa rhapta kuuza miundu na glasi za aina mbalimbali

kiil.jpg
kil.jpg
kilwa.jpg
kiil.jpg
kil.jpg
kilwa.jpg
kilwaa.jpg
 
nadhani Pasco kama si kipofu basi ni makengezaNrejea kukueleza kuwa utumwa wa hao babu zako haukufanywa na waarabu dhalimu, lakini hata watanganyika dhalimu. Tena watanganyika ndio walikuwa madhalimu zaidi kwa jinsi ya njia wanaotumia kuwakamata na kuwahifadhi. Ujue pia hao wanunuzi walikuwa hawanunui watumwa dhoofu, hivyo hutunzwa na kupewa lishe ili wapate soko bora.. Hakuna chifu Tanganyika wakati huo ambae hajajishughulisha na biashara ya utumwa. Nimekueleza TIPTIP ni mnyamwezi na ana udugu wa damu na chifu Fundikira. Bora useme wale wote waliowanyia ushenzi wa utumwa babu zako ndio wadhalimu
Mkuu mjukuu wa Baraghashia, Pasco sio kipofu wala makengeza, bali katika biashara ya utumwa kuna hatua mbalimbali na zote zina udhalimu wake ikiwemo ukamataji. Kwenye bandiko langu nimeeleza hivi kuhusu ukamataji. " Kwenye biashara ya utumwa, waliokuwa wakikamata watumwa, sio Waarabu, Waarabu wao walikuwa ni wafanyabiashara ya watumwa kwenye soko kuu la watumwa la Zanzibar, wakitokea Bagamoyo, na wanunuzi wakuu wa watumwa toka soko la Zanzibar kwa ajili ya kuwasafirisha kuwauza Uaabuni na India, ambako kote huko baada ya kufika, watumwa wanaume walihasiwa!. Waarabu pia ndio walikuwa wamiliki wa watumwa katika mashamba ya Zanzibar na`Pemba, ambapo nako watumwa wanaume walihasiwa, wanawake walifanywa vijakazi na ndio wazazi wa machotara wa Zanzibar na Pemba, wengi ni baba Mwarabu, mama uzao wa watumwa wanawake wenye bahati, ambao hawakutumbuliwa mimba za Waarabu!.

Upatikanaji wa watumwa kutoka bara pia ulihusisha baadhi ya watawala wakiwemo machifu ambapo baadhi ya wahalifu waliostahili adhabu za vifo katika jamii zao, badala ya kuuliwa na kuwa hasara jumla, waliuzwa, utumwani, lakini watumwa wengi ni watu tuu wa kawaida wasio na hatia yoyote ambao walivamiwa na kukamatwa kwa nguvu, wakiwemo wanawake na watoto!. Zoezi la ukamataji watumwa pia lilihusisha vitendo vya ukatili, ambapo wengi watumwa hawa, waliuawawa katika purukushani, na wengine wengi walifia njiani na miili yao kuachwa ikioza, miili yenye bahati ilifanywa vitoweo vya wanyama wa porini. Kwenye misafara hiyo, ndugu zetu waliteswa sana mateso ambayo hayazungumziki walioishiwa nguvu, walipigwa hadi kifo ila hakukuwepo na kamera ya mzungu wa kutupigia picha kuja kutuleta humu!."

Mfanyabiashaa mkuu wa Watumwa, Tipu Tipu, hakuwa Mnyamwezi bali ni chotara wa Kiarabu baba yake ni Mwarabu na mama yake ni mjakazi, jina lake halisi ni Hamad bin Muḥammad bin Jum'ah bin Rajab bin Muḥammad bin Sa‘īd al-Murjabī, hivyo kama kawaida ya wajakazi wote, mama yake alibakwa!, ila baada ya kubakwa sio unajua tena mambo ya wanawake wa Kinyamwezi!, hivyo baba akampenda mjakazi huyo!, ndipo Tipu Tipu akazaliwa!. Na asili ya kuitwa tipu tipu ni milio ya risasi za bunduki ya tipu tipu, ile tip, tip, watu walisikia kwanza milio ya risasi ndipo wakamuona tipu tip mwenyewe!.

Utmwa nao umekuwa na udhalimu wa aina nyingi, ili kubwa kuliko yote ni kitendo cha madhalimu hawa Waarabu kuwa hasi babu zetu, na kuwaingilia kinguvu bibi zetu!. Kati ya ukatili wote aliofanyiwa binadamu, ukatili huu wa kuhasi ndio ukatili mkubwa zaidi kuliko hata kifo!. Afadhali wangewaua tuu tujue moja, lakini kitendo cha kuwa hasi ni genocide!. Watumwa waliochukuliwa na wazungu pia walifanyiwa ukatili wa hali ya juu lakini sio kama huu wa Waarabu!.

Ni kweli kulikuwa na utumwa katika jamii zote, na watumwa walifanyiwa vitendo vya kikatili, lakini mada yangu iliyoko mezani, inatokana na taarifa hii ya utafiti, A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba, sasa kama na nyinyi wengine mnazo taarifa za utafiti wa ukatili wa jamii nyingine, leteni taarifa hizo humu, zianzishieni threads, tuzijadili!.

Pasco
 
pasco,
Pasco unaweza kutufahamisha Hii historia ulioandika hapa Umeitoa wapi! Na Umefanya uhakiki upi kuihalalisha kwamba kila uliochokileta hapa KILITOKEA.

Tuanzie hapo. Manake tatizo la wengi wenu mnabeba Stori walizoandika wakoloni kisha mnazisimamia kidedea kama Mlikuwepo wakati wa tukio hali ya kuwa mmezaliwa juzi tu.

Naomba ufafanuzi hapo ili tuendelee na mnakasha huu.
 
Tujuwe nchii hii ilikua vipi kabla ya muzungu...jee kulikua na mtumwa anauzwa?..Tuanze na Kilwa,,

Kilwa na serekali yake'

serekali na wizara zake katika dola ya Kilwa katika muumdo wa serikali Sultani alikuwa kiongozi mkuu wa dola akisaidiwa na waziri wake mkuu ambaye aliishi na kufanya kazi kwenye ikulu moja na kiongozi mkuu wa nchi

Likini pia kulikuwa na wizara kadhaa zilizondana mazingira pamoja na hitajio la wakati husika

wizara ya Uvuvi kwa kuwa uvuvi ulikuwa ni moja ya kazi kuu ya jamii ya wanakilwa ililazimu kuundwa kwa wizara yenye dhamana ya Uvuvi ambayo ofisi zake kuu zilikuwa eneo la Sheikh Mussa bin hassan Msasani

Wizara ya masoko na biashara soko la kimataifa lilikuwa sadani wilayani bagamoyo hapo ndipo walipokuwa wanakutana wafanyabiashara na hata wale walio toka nje walio leta vyakula nguo na mahitaji mengine walio tokea hijazi iraq sham na nchi nyingine kutoka Asia kwa aajili ya biashara mbali mbali lakini pia kulikuwa na masoko mengine

kilwa iliandaa eneo kubwa la bandari kwa ajili ya kuimarisha biashara hiyo na zaidi ya hayo pia kulikuwa na barabara kutoka kilwa mpaka Nyasa na nyingine kutoka kilwa kisiwani kwenda nchi ya wasubwa kahama ambazo zilikuwa ni miongoni mwa barabara chache za misafara mikubwa kutoka maeneo ya kati ya Africa kuja pwani hivyo kilwa ilikuwa na vituo vikubwa vya wafanyabiashara pamoja na ustaarabu wake pia palikuwa ni mahali rahisi kwenda sofala

kilwa ilikuwa ikisafirisha dhahabu kutoka sofala pembe za ndovu kutoka maziwa makuu kadhalika kilwa ilikuwa ikiingia ikiingiza bidhaa zifuatazo kwa ajili ya walaji wa ndani Mtama Mccchele mifugo na asali toka bara na kutoka nchi za nje kilwwa ilipata mabakuli sahani na aina zote za vyomba kutoka Misri, China na iran

kilwa ilipata mapapai kutoka india Dhahabu ,Nguo za hariri Shaba na Shanga toka Iran na Arabuni walipata mazulia misala kahawa na tende wakaazi wa kilwa walionekana kila siku wakiwa wamejipamba na mavzi ya Kiislam kama vile kanzu na kofia

mbali na mfumo huu wa biashara kutoka na kwenda iran na india kulikuwa na aina mbalimbali za mwingiliano wa kibiashara na wachina

Wizara ya elimu makao makuu ya Wizara ya Elimu yalikuwa kilwa kisiwani hata hivyo ziliundwa shule za kati hadi vyuo vya elimu ya juu katika kila mji mkuu wa kila kanda chini ya usimamizi wa misikiti mikubwa iliyoteuliwa

miongoni mwa miji yenye misikiti mikubwa same lingi pangani sadani ikweriri kibiti mwera mikindani na kwa Sheikh musa hassani msasani mingine ni kilwa mafia kisauke bagamoyo kaole mbweni'

mohammd ibn abdullah ibin batuta alipoitembelea dola hii aliandika taarifa nyingi juu ya dola hii ikiwemo iiiinayoihusu wizara hii ya elimu na sekta ya elimu kwa ujumla wake

Mwanachuoni huyo ameeleza kuwa uongozi wa miji ya kiislamu ya kaole na bagamoyo za wakati huo uliandaa makao makuu ya kutenganeza na kutafsiri mitalaa ya shule za awali kwa kupitia chuo cha waalimu wa awali kilichopo pwani ya Sheikh mussa hassan msasani

pia vijana waliofaulu walifanikiwa kwenda kusoma katika vyuo vikuu vilivyopo Andalus (Hispania), baghdad, iraq Al Azhar' (Misri) Chuo Kikuu cha Timbuktu Africa ya Magharibi, Alzaitun (tunisia) na alkarakuyiri (Fez-Morocco)

Mfano wa vijana waliobahatika kwenda kusoma katika vyuo hivyo ni pamoja na hassan hamisi Mwinyi sembe Shomvi kutoka katika kijiji cha mapinga, bagamoyo, alitokea katika shule ya awali ya Mbweni na kwenda kusoma chuo kikuu cha madawa na tiba cha ibni sina (Aveccina) cha iraq

na pindi aliporudi cchini alikwenda katika kijiji cha kihistoria cha makurunge (bagamoyo) ambapo alianzisha shule ya awali ya sayansi ya tiba na madawa

na ni katika chuo hicho cha makurunge ndipo palipokuwa na msikiti wa kwanza katika historia ya pwani ya hapo wenye Hospitali na shule ya sayansi ya tiba na ndipo kitabu maarufu cha tiba cha ibun Sina kiitwacho Qanuun Fii tiib taratibu za tiba kilipoanza kufundishwa katika shule zote za awali hapo nchini na kwa juhudi ya wanafuzi na madaktari bingwa wa magonjwa ya akinamama na watoto wagonjwa wengi walifanikiwa kupona maradhi mbalimbali kutokana na faida ya chuo hicho

Shule hiyo ya sayansi na tiba ya makurunge ilipofikia karne ya kumi na saba katikati iliweza kutoa mmmmabigwa walioshiriki operesheni ya kwanza ya upasuwaji wa tumbo lenye saratannni, iliyofanyika iraq katika mji wa Nasriyah

Operesheni hii ilishirikisha madaktari bingwa 136, wakiwemo waislamu kutoka pwani yetu 12 kutoka katika miji ya bagamoyo kaole na Tumbatu zanzibar ni katika mafanikio hayo ya elimu ya Afya na Uchumi ndio dola ya kilwa ilipopata kuvuma zaidi duniani kwa vile shule zote za elimu ya awali zipatazo 16,689, shule za msingi 13,106 vyuo vya elimu ya juu 38 viliweza kutoa wanataaluma walioweza kuitetemeshha dunia kitaaluma kwa wakati huo

Wizara ya Afya kama utazama kwenye histiria ya kilwa utagunguwa kuwa wizara ya elimu ilikuwa mzalishaji mkubwa wa matabibu ambao walitegemewa na wizara ya Afya kuwahakikishia wakaazi wa doola hiyo siha njema

Wizara hii iliyokuwa na makao yake bagamoyo ilifanikiwa kuwa na hospitali kubwa nne za rufaa zilizojengwa katika miji ya kilwa kaskazini kisauke shapan na tumbatu na kutoka katika hospitali hizo wagonjwa walipekwa moja kwa moja iraq katika mji wa Najaf kwa matibabu zaidi iwapo tiba ilishindikana nchini

kipindi hiki dola ya kilwa ndipo ilipopewa jina la The house of Wisdom(baytul hikma) au nyumba ya hekima jina hiki lilitolewa na harun rashid Khalifa aliyetawala dola ya iraq

Uislamu ni dini ambayo ilitoa mchango mkubwa katika maendeleo ya wakati wa ujima Nchi zilizoko upande wa magharibi katika Arica Asia na yuropa (Ulaya) wakati huo hadi kufariki kwa ntume muhammed s.a.w atika karne ya saba ya wajenzi wa dola ya kiarabu chini ya nuru ya waislamu ni mfano mahsusi wa mchango wa dini kwa upande huo

Naye Hecked signan anasema

Wakati Ulaya ya wakati ilipokuwa ndani ya giza la uovu vituo vya usomi katika dunia ya waslam vilikuwa vinafundisha fasihi falsafa sanaa sayansi na elimu ya viwanda

Waslamu walifanya maendeleo ya kufana katika sayansi wasomi wa kiarabu walitoa mchango mkubwa katika fani ya hesabati na walipeleka Aljebra na tarakimu za kiarabu ulaya waarabu walikuwa na ujuzi wa madawa na upasuaji wa macho na tiba ya macho

wizara ya usafirishaji bandari kuu ilikuwa katika kutoka nje walipokuwa wanafika kabla ya kwenda kufanya biashara zao kulikuwa na misikiti takriban 1400;
ibni batuta ameandika kuwa mji wa rhapta ambao ulikuwa na bandari iliyokuwa ikitumika kwa biashara katika ya watu wa makkah sham na pwani ya africa

na pia ni bandari kuu ya biashara ya mwambao wa azania na nchi zinazopatikana na bahari ya hindi kwa kaskazini wafanyabiashara toka nje walikuja katika mji wa rhapta kuuza miundu na glasi za aina mbalimbali

View attachment 341203 View attachment 341204 View attachment 341205 View attachment 341203 View attachment 341204 View attachment 341205 View attachment 341206
Mkuu Crabat, kwanza asante kwa taarifa hii elimishi, hata ukisoma historia ya civilization, ilianzia Afrika, kwenye utawala wa Mafarao wa Misri, chuo kikuu cha kwanza kabisa duniani ni Chuo kikuu cha Alexandria. Watu kwa kwanza kufundua maandishi ni Waarabu, wakafuatiwa na Wachina, hizi namba tunazotumia tumia nzima ni namba za Kiarabu, ndipo zikafuatiwa na za Kirumi!., hizi alphabeti tunazotumia dunia nzima ni Alphabeti za Kiarabu. Usataaabu mkubwa kabisa umeanzia Arabuni ndio maana hadi leo, kuna msemo wa "Kuwa mstaarabu kama Mwarabu!", lakini pia inawezekana kuna watu wengine ni makatili kuliko Waarabu, ila subkect matter ya uzi huu, ni udhalimu kwa Watumwa wa Unguja na Pembe, mhusika mkuu ni Mwarabu!.

Pasco
 
Pasco unaweza kutufahamisha Hii historia ulioandika hapa Umeitoa wapi! Na Umefanya uhakiki upi kuihalalisha kwamba kila uliochokileta hapa KILITOKEA.

Tuanzie hapo. Manake tatizo la wengi wenu mnabeba Stori walizoandika wakoloni kisha mnazisimamia kidedea kama Mlikuwepo wakati wa tukio hali ya kuwa mmezaliwa juzi tu.

Naomba ufafanuzi hapo ili tuendelee na mnakasha huu.
Mkuu Bill, haya nimetatoa kwenye taarifa za utafiti na fasihi simulizi na mapokeo iliyohifadhiwa kwenye fasihi andishi. Kwa kawaida tafiti yoyote hupanguliwa kwa tafiti, na andishi hupanguliwa kwa andishi, ndio maana mimi ni mmoja wa wana jf humu wanaomkubali sana nguli wa utafiti Maalim Mohamed Said na nimesoma vitabu na tafiti zake, japo nyingine zimejaa urongo mwingi, na opinions zake, everyone has the right to his /her opinion!, yaani mtazamo wako, lakini tunalazimika kuzikubali hivyo hivyo, vinginevyo wanaozikanusha hizo opinion, wanapaswa kufanya tafiti zao, na kuweka opinion tofauti za kuzipangua hizo hoja zilizotolewa, kama ni andishi, kutoa andishi kupangua andishi!.

Historia zote duniani huandikwa na mashuhuda waliokuwe na kushuhudia, hivyo wasomoji huchota na kumeza tuu kilichoandikwa bila kuhitaji kufanya uhakiki wowote wa ziada!.

Msingi wa uzi huu ni chapisho hili, A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba
A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba, and the mainland of the British
protectorates of East Africa: presented to the ... British and Foreign Anti-Slavery Society.
Author(s):
Mackenzie, Donald
Source:
LSE Selected Pamphlets,
(1895)
Published by:
LSE Library
Stable URL:
A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba, and the mainland of the British protectorates of East Africa: presented to the ... British and Foreign Anti-Slavery Society. on JSTOR

Ripoti hii ilipotoka wahusika walikuwepo, hakuna tafiti nyingine au chapisho lilitolewa kupiga ripoti hii, hivyo nachukulia yaliyosemwa humu yote ni kweli tupu, hadi hapo utakapofanyika utafiti mwingine na kuchapishwa hivyo kuufuta utafiti huu!.

Pasco
 
Mode, mimi kama mwanzisha mada, siungi mkono censorship ya aina yoyote katika mada zangu bila kujali watu wanatukanwa vipi, wanapaurana vipi na kuumizana katika imani, as long as wanacho wanacho kiamini!.

Mimi ni Mkiristu Mkatoliki, lakini ni muumini wa limitless freedom of expression, kitu ambacho sisi Wakatoliki hatuna, na the quest for knowledge, hivyo nimesema Bibilia Takatifu, nimesoma Quaran Tukufu, nimesoma Hindu, Budha, Bahai, Freemosons, Illuminati, na ni muumini mzuri wa imani zetu za asili, hivyo watu waachwe wamwagike wanavyotaka ili ku realease immotions zao, japo hii mada sio mada ya dini, kuna watu wanaamini Mwarabu au Uarabu ni dini fulani, hivyo chochote kuhusu Uarabu kwao wanakihesabu kama ni kufuru, bora waachwe waseme na wakiishaandika humu, madoge huwatoka, kuliko kuwazuia kusema, wakabaki na madoge yao, mwisho wa siku ndio wale wanaojilipuaga!.

Kama kuna uwezekano wa kurudisha kila kilichochangiwa kwenye uzi huu, kirudishwe, watu wataparurana kimaandishi tuu, mwisho wa siku, watu wataelimika na kufunguka macho, na mwisho wa siku tutakuwa kitu kimoja!. Kuna wale kuna wenzetu humu, watafunguka macho, kwa kuwaona wale waliowadhania kuwa ni malaika, kumbe ndio mashwetwani wakubwa!.

Pasco
 
Pasco hiv ndiyo kusema kwamba umekimbia umandee au?

Kwanza kabisa nikupe elimu ya kwamba miongon mwa agents of colonialism kulikuwa na Traders..Explorers and Missionaries...waarabu hawapo katika vitanguliz vya ukoloni...

Mzungu alipokuja huku kufanya ukolon tayar alishamkuta mwarabu akifanya mambo meengi ma waafrika...na kadhalika

Pia waarabu siyo waislam...wapo waarabu weengi vile vile ambao si waislam believe me hata christians wapo ambao ni arabs...

Uislam as a religion unakataza utumwa in the first place katika mafundisho yake...infact ni uislam huo huo kwa huko uarabun uliokuja kupiga marufuku biashara ya utumwa kupitia mafunzo ya qur an na sunnah za mtume wetu Muhammad rehma na aman ziwe juu yake...

Kwaiyo kama kuna vitu hujui...uwe unauliza kwanza kuliko kujivua nguo
 
Mkuu Bill, haya nimetatoa kwenye taarifa za utafiti na fasihi simulizi na mapokeo iliyohifadhiwa kwenye fasihi andishi. Kwa kawaida tafiti yoyote hupanguliwa kwa tafiti, na andishi hupanguliwa kwa andishi, ndio maana mimi ni mmoja wa wana jf humu wanaomkubali sana nguli wa utafiti Maalim Mohamed Said na nimesoma vitabu na tafiti zake, japo nyingine zimejaa urongo mwingi, na opinions zake, everyone has the right to his /her opinion!, yaani mtazamo wako, lakini tunalazimika kuzikubali hivyo hivyo, vinginevyo wanaozikanusha hizo opinion, wanapaswa kufanya tafiti zao, na kuweka opinion tofauti za kuzipangua hizo hoja zilizotolewa, kama ni andishi, kutoa andishi kupangua andishi!.

Historia zote duniani huandikwa na mashuhuda waliokuwe na kushuhudia, hivyo wasomoji huchota na kumeza tuu kilichoandikwa bila kuhitaji kufanya uhakiki wowote wa ziada!.

Msingi wa uzi huu ni chapisho hili, A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba
A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba, and the mainland of the British
protectorates of East Africa: presented to the ... British and Foreign Anti-Slavery Society.
Author(s):
Mackenzie, Donald
Source:
LSE Selected Pamphlets,
(1895)
Published by:
LSE Library
Stable URL:
A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba, and the mainland of the British protectorates of East Africa: presented to the ... British and Foreign Anti-Slavery Society. on JSTOR

Ripoti hii ilipotoka wahusika walikuwepo, hakuna tafiti nyingine au chapisho lilitolewa kupiga ripoti hii, hivyo nachukulia yaliyosemwa humu yote ni kweli tupu, hadi hapo utakapofanyika utafiti mwingine na kuchapishwa hivyo kuufuta utafiti huu!.

Pasco

Jibu lako na ufafanuzi uliotoa inatosha kabisa kuonyesha Udhaifu wa Uzi huu na maneno yoote uloandika hapa.

Km wewe ni msomi huwezi kufanya hitimisho na kusema ( nakariri) "Ripoti hii ilipotoka wahusika walikuwepo, hakuna tafiti nyingine au chapisho lilitolewa kupiga ripoti hii, hivyo nachukulia yaliyosemwa humu yote ni kweli tupu, "!!

Vipi utoe hitimisho km hili kwa Kusoma habari ya Muingereza amabe aliendesha Biashara hio hio ya UTUMWA Zaidi ya miaka 300? (Refer to Trans Atlantic Slave Trade ikiongozwa na Captain John Hawkins who made the first known English slaving voyage to Africa, in 1562, in the reign of Elizabeth 1.
Na huyu Hawkins made three such journeys over a period of six years. He captured over 1200 Africans and sold them as goods in the Spanish colonies in the Americas. na huu ndio uliokuwa Mlango mkuu kwa Waingereza Kuendeleza Biashara hii kwa miaka mingine 300 mbele.

Hii habari Sikuandika mimi Bali ni HAO HAO WAINGEREZA.

Leo Unatubebea Habari ya Mzungu Kisha unatuletea hapa na kutoa Hitimisho kuwa ni KWELI TUPU?

Elimu ni kitu muhimu Pasco. Hizo Copy and Paste zinafanyika kila mara lkn Kutoa HITIMISHO km Lako Ni Kuonyesha Udhaifu wako wa elimu na maono ya kawaida kabisa.

Wapi ktk Hii Historia UNAYOITA YA KWELI TUPU imeonyesha WAZUNGU WALIOBEBA BABU ZETU na Kwenda KUWAUZA HUKO LIVERPOOL na Virginia USA?
Unataka kunambia MZUNGU HAKUSHIRIKI KTK BIASHARA YA UTUMWA HUKO ZANZIBAR?

Watanzania wa namna Yako Mnatutukanisha kwa wasomaji wa nje Kuona maneno km haya ktk Public Forum ya namna hii!

Ni bora ukasema Hiki ndicho walichoandika WAZUNGU kuliko kusema NI KWELI TUPU.

we Ukisimamishwa Mahakamani UNAWEZA KUAPA Kwa kusema Historia Hii NI KWELI TUPU?

Au hujui maana ya "KWELI TUPU"?!!
 
Tulia tukupe dawaa Pasco...

Unakimbilia kwa Mods kulia ili ikusaidie nin?

Hivi wale jamaa walipofanya Berlin Conference 1884/1885 walikuwepo waarabu huko ambao wewe unawaita waislam?

Je una habari kuwa meli ya kwanza kubeba watumwa huko ghana iliitwa jesus?

Na una habari kuwa hiyo ngome ya kuhifadhia watumwa hapo mombasa iliitwa ngome ya yesu?
Mode, mimi kama mwanzisha mada, siungi mkono censorship ya aina yoyote katika mada zangu bila kujali watu wanatukanwa vipi, wanapaurana vipi na kuumizana katika imani, as long as wanacho wanacho kiamini!.

Mimi ni Mkiristu Mkatoliki, lakini ni muumini wa limitless freedom of expression, kitu ambacho sisi Wakatoliki hatuna, na the quest for knowledge, hivyo nimesema Bibilia Takatifu, nimesoma Quaran Tukufu, nimesoma Hindu, Budha, Bahai, Freemosons, Illuminati, na ni muumini mzuri wa imani zetu za asili, hivyo watu waachwe wamwagike wanavyotaka ili ku realease immotions zao, japo hii mada sio mada ya dini, kuna watu wanaamini Mwarabu au Uarabu ni dini fulani, hivyo chochote kuhusu Uarabu kwao wanakihesabu kama ni kufuru, bora waachwe waseme na wakiishaandika humu, madoge huwatoka, kuliko kuwazuia kusema, wakabaki na madoge yao, mwisho wa siku ndio wale wanaojilipuaga!.

Kama kuna uwezekano wa kurudisha kila kilichochangiwa kwenye uzi huu, kirudishwe, watu wataparurana kimaandishi tuu, mwisho wa siku, watu wataelimika na kufunguka macho, na mwisho wa siku tutakuwa kitu kimoja!. Kuna wale kuna wenzetu humu, watafunguka macho, kwa kuwaona wale waliowadhania kuwa ni malaika, kumbe ndio mashwetwani wakubwa!.

Pasco
 
Mkuu Crabat, kwanza asante kwa taarifa hii elimishi, hata ukisoma historia ya civilization, ilianzia Afrika, kwenye utawala wa Mafarao wa Misri, chuo kikuu cha kwanza kabisa duniani ni Chuo kikuu cha Alexandria. Watu kwa kwanza kufundua maandishi ni Waarabu, wakafuatiwa na Wachina, hizi namba tunazotumia tumia nzima ni namba za Kiarabu, ndipo zikafuatiwa na za Kirumi!., hizi alphabeti tunazotumia dunia nzima ni Alphabeti za Kiarabu. Usataaabu mkubwa kabisa umeanzia Arabuni ndio maana hadi leo, kuna msemo wa "Kuwa mstaarabu kama Mwarabu!", lakini pia inawezekana kuna watu wengine ni makatili kuliko Waarabu, ila subkect matter ya uzi huu, ni udhalimu kwa Watumwa wa Unguja na Pembe, mhusika mkuu ni Mwarabu!.

Pasco
Pasco turudi kwenye mada yako...Hujatuwekea ushahidi wowote kuwa Masulatani Au Waraabu kwanza kulikua na watumwa wenye asili ya Unguja na Pemba.. Bado hujatuthibitishia kama Wamakunduchi. Watumbatu. Wadole, Wakojani au Wapemba waliwahi kufanywa watumwa na kuteswa na kuuliwa na Waarabu Masultani ...Bado hujatupatia ushahidi wa kutosha.
Ni wazi Znz Kulikua na Watumwa kutoka nje ya Zanzibar na wazi waraabu kwa njia moja au nyengine walishiriki biashara hio Lakini bado napingana na wewe kama kuna wazanzibari walifanywa watumwa.

Raia wa Sultan walikua na haki sawa..na fursa ila kulikua na kuzidiana ujanja wa maisha tu. Hata sasa tunaona nani wanamiliki fu za kibiashara.

kwa hili la Masultani nafananisha na Mfano nchi za Ulaya ya Magharibi na Marekani juu ya Raia wao..Nchi hizi ni makatili kweli kwenye interest zao....watakuvamia , kushambulia , kuteka na kutesa lakini hayo wanayafanya kwa raia wa nchi nyengine , watatufanyia sie , Iraq au Haiti au Panama au Vietnam lakini Ukatili huu hawafanyi kwa Raia zao hata siku Moja....wamelindwa kwa katiba dhidi ya mateso na unyanyasaji....Huo ndio Mfano wa Masultani..Raia zao walikua na haki sawa na kulindwa dhidi ya uonevu...
Nakuwekea picha za mazishi ya Mmoja ya Sultan wa Znz nz uone jinsi umati ya Raia walivo jitokeza kwa majonzi ....

mazishi.jpg
mazishi.jpg
mazsh.jpg
 
Pasco hiv ndiyo kusema kwamba umekimbia umandee au?
Kwanza kabisa nikupe elimu ya kwamba miongon mwa agents of colonialism kulikuwa na Traders..Explorers and Missionaries...waarabu hawapo katika vitanguliz vya ukoloni...

Kwaiyo kama kuna vitu hujui...uwe unauliza kwanza kuliko kujivua nguo
Mkuu The big empty show, mara nyingi huwa sikujibu, sio kwa sababu sina majibu, bali kutokana na nyingi ya hoja zako kuwa ni debe tupu!, hupiga kelele!.

Aliyekimbia umande ni yule anayeleta habari za colonialism kwenye hoja za slavery!. Sometimes mtu unaweza kujikuta umeficha upumbavu wako kwa kukaa kimya!, kuna mijitu mijinga ajabu, ambapo ikitulia kimya huwezi kuijua, ila ni pale inapofungua mabakuli yake!.

Mipasho ni kazi za waimba taarabu Pasco. Ww mkatoliki huiwezi fani hio.
Na suala la Ukoloni liko wazi.
Sote tunatambua aliyekuletea UKATOLIKI wewe ndio huyo huyo aliyekamata babu yako na kwenda kumdhalilisha km Kuku kwenye soko la watumwa Huko Portugal.

Nimekuliza swali hapo juu. Ktk hio Historia unayoita "KWELI TUPU" Je ! Kuna Mzungu yyt aliwahi KUKAMATA MWAFRIKA na Kwenda KUMUUZA Ulaya kama MTUMWA?

Naomba jibu ww ujiitae Msomi.

Msome mwenzako hapa Ambae pia ni Mgalatia WA KIZUNGU Historian kwa Jina la Professor David Richardson.

He has calculated that British ships carried 3.4 million or more enslaved Africans to the Americas. Je! wewe UNAKATAA?
Manake naskia Hapo Usukumani wanakuita Professor Mayala. Au ?

Nasubiri Jibu Mkuu Pasco.
 
Back
Top Bottom