Udhamini wa CRDB Kwa TFF ni billion 3.759, inakuwaje bingwa anapewa milion 50?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Tuliambiwa mkataba wa udhamini wa CRDB Kwa TFF una thamani yabillions 3.759 kwa miaka 3 ina maana Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3

Kwanini bingwa anapewa pesa kiduchu hivi?

Yaani bingwa wa msimu mzima ni milion hamsini, sawa na mshahara wa Mukwala pale Simba Kwa mwezi?
Au mshahara wa Aziz ki pale Yanga

TFF ache kukandamiza clubs. Na pesa zote mle wenyewe tu

Kwa matangazo na umaarufu anaopata CRDB kumbe bingwa anapewa milion 50

Huu ni wizi na dharau Kwa timu shiriki

Yanga wameamua kuandika uchafu wote, clubs zote zimuunge mkono
 
Acha kukurupuka kama dogo komwe. Huo udhamini ni wa miaka mingapi?
 
Tuliambiwa mkataba wa udhamini wa CRDB Kwa TFF una thamani yabillions 3.759 kwa miaka 3 ina maana Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3

Kwanini bingwa anapewa pesa kiduchu hivi?

Yaani bingwa wa msimu mzima ni milion hamsini, sawa na mshahara wa Mukwala pale Simba Kwa mwezi?
Au mshahara wa Aziz ki pale Yanga

TFF ache kukandamiza clubs. Na pesa zote mle wenyewe tu

Kwa matangazo na umaarufu anaopata CRDB kumbe bingwa anapewa milion 50

Huu ni wizi na dharau Kwa timu shiriki

Yanga wameamua kuandika uchafu wote, clubs zote zimuunge mkono
Ila nyuma mwiko mnashida ya akili mkataba wa ctlrdb umeaanza lini na unajua mgawanyo wa iyo pesaa
 
Hii tff inahitaji kufumuliwa madudu ni mengi mno unakaaje na hela ya zawadi ya mshindi? Kuna wizi mkubwa unaendelea bora takukuru iingilie kati kama hao fifa watupishe kwa muda tusafishe kwanza
Hii ni kazi ya sieji, ripoti ikitoka ndio watu au taasisi zingine wanaweza kuingia. Lakini hizo ripoti zimekuwa ni kama taarifa binafsi.
 
APRIL 2024

Bank ya CRDB na TFF imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitatu na nusu na CRDB itatoa shilingi Bilioni 3.76 kwa kipindi chote cha miaka mitatu na nusu, ila msimu huu watatoa dollars laki moja sawa na shilingi milioni 255, sasa Kombe la FA litaitwa CRDB BANK FEDERATION.

Wabongo bhna , ni vilabu vingapi vinashiriki hiyo CRDB federation cup!?. K Inabidi zipewe gawio lao , hao CRDB wametoa milioni 200 pekee , sasa utampaje bingwa bilioni wakati wewe una milioni 200!??.

Kama hawakuitaka million 50 si wangejiengua kwani walilazimishwa kushiriki!??
 
Sikujua TFF wana huduma ya Songesha.Una deni unakatwa juu kwa juu.Hawa migongo wazi wamezidi walipe madeni.Kila mahali wanadaiwa wao tu.
 
Tuliambiwa mkataba wa udhamini wa CRDB Kwa TFF una thamani yabillions 3.759 kwa miaka 3 ina maana Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3

Kwanini bingwa anapewa pesa kiduchu hivi?

Yaani bingwa wa msimu mzima ni milion hamsini, sawa na mshahara wa Mukwala pale Simba Kwa mwezi?
Au mshahara wa Aziz ki pale Yanga

TFF ache kukandamiza clubs. Na pesa zote mle wenyewe tu

Kwa matangazo na umaarufu anaopata CRDB kumbe bingwa anapewa milion 50

Huu ni wizi na dharau Kwa timu shiriki

Yanga wameamua kuandika uchafu wote, clubs zote zimuunge mkono
Bingwa wa CRDB hadi kuchukua ubingwa huwa anacheza mechi ngapi?
Timu ngapi huwa zinashiriki?
 
AApo sijui kapewa ngapi, sass ulitska apewe yeye sote hayo kashindano yangeendeshwsje, kuna tomu zingine matefa n. K
Tuliambiwa mkataba wa udhamini wa CRDB Kwa TFF una thamani yabillions 3.759 kwa miaka 3 ina maana Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3

Kwanini bingwa anapewa pesa kiduchu hivi?

Yaani bingwa wa msimu mzima ni milion hamsini, sawa na mshahara wa Mukwala pale Simba Kwa mwezi?
Au mshahara wa Aziz ki pale Yanga

TFF ache kukandamiza clubs. Na pesa zote mle wenyewe tu

Kwa matangazo na umaarufu anaopata CRDB kumbe bingwa anapewa milion 50

Huu ni wizi na dharau Kwa timu shiriki

Yanga wameamua kuandika uchafu wote, clubs zote zimuunge mkono
 
Mkuu punguza hasira. Haya ni maoni ya mdau kwa nini bingwa anapewa pesa kiduchu na dusko dusko? Yanga hawajalalamika ni ndogo, punguza chuki na Yanga
Ndo namwambia huyo mwanayamga mpka Hao Yanga wamekubali kushiriki basi wameitaka hiyo milioni 50 wangekuwa hawaitaki wangejiengua.

Sina chuki yoyote ile na nyuma mwiko mimi, niwachukie kwa kipi!?.
 
Mtapata akili lini
Yaani Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3 yaani milioni 1300 hapa bingwa akipewa milion 50, je timu iliyoishia hatua ya 32 utapata sh ngapi?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom