Shanily
JF-Expert Member
- Nov 4, 2024
- 958
- 1,807
Hiyo B. 1. 3 unaiona nyingi sanaa , timu zinazoshiriki zipo ngapi!? Marefa anawalipa nani na pesa zinatoka wapi!?. Viwanja nani analipa!?. Na CRDB wamesema wameipa TFF milioni 200 hzo B. Zipo tu kwenye makaratasi lakin hazijatolewa.Mtapata akili lini
Yaani Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3 yaani milioni 1300 hapa bingwa akipewa milion 50, je timu iliyoishia hatua ya 32 utapata sh ngapi?