Acha kukurupuka kama dogo komwe. Huo udhamini ni wa miaka mingapi?Tuliambiwa mkataba wa udhamini wa CRDB Kwa TFF una thamani yabillions 3.759 kwa miaka 3 ina maana Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3
Kwanini bingwa anapewa pesa kiduchu hivi?
Yaani bingwa wa msimu mzima ni milion hamsini, sawa na mshahara wa Mukwala pale Simba Kwa mwezi?
Au mshahara wa Aziz ki pale Yanga
TFF ache kukandamiza clubs. Na pesa zote mle wenyewe tu
Kwa matangazo na umaarufu anaopata CRDB kumbe bingwa anapewa milion 50
Huu ni wizi na dharau Kwa timu shiriki
Yanga wameamua kuandika uchafu wote, clubs zote zimuunge mkono
Ila nyuma mwiko mnashida ya akili mkataba wa ctlrdb umeaanza lini na unajua mgawanyo wa iyo pesaaTuliambiwa mkataba wa udhamini wa CRDB Kwa TFF una thamani yabillions 3.759 kwa miaka 3 ina maana Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3
Kwanini bingwa anapewa pesa kiduchu hivi?
Yaani bingwa wa msimu mzima ni milion hamsini, sawa na mshahara wa Mukwala pale Simba Kwa mwezi?
Au mshahara wa Aziz ki pale Yanga
TFF ache kukandamiza clubs. Na pesa zote mle wenyewe tu
Kwa matangazo na umaarufu anaopata CRDB kumbe bingwa anapewa milion 50
Huu ni wizi na dharau Kwa timu shiriki
Yanga wameamua kuandika uchafu wote, clubs zote zimuunge mkono
Hii ni kazi ya sieji, ripoti ikitoka ndio watu au taasisi zingine wanaweza kuingia. Lakini hizo ripoti zimekuwa ni kama taarifa binafsi.Hii tff inahitaji kufumuliwa madudu ni mengi mno unakaaje na hela ya zawadi ya mshindi? Kuna wizi mkubwa unaendelea bora takukuru iingilie kati kama hao fifa watupishe kwa muda tusafishe kwanza
Bingwa wa CRDB hadi kuchukua ubingwa huwa anacheza mechi ngapi?Tuliambiwa mkataba wa udhamini wa CRDB Kwa TFF una thamani yabillions 3.759 kwa miaka 3 ina maana Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3
Kwanini bingwa anapewa pesa kiduchu hivi?
Yaani bingwa wa msimu mzima ni milion hamsini, sawa na mshahara wa Mukwala pale Simba Kwa mwezi?
Au mshahara wa Aziz ki pale Yanga
TFF ache kukandamiza clubs. Na pesa zote mle wenyewe tu
Kwa matangazo na umaarufu anaopata CRDB kumbe bingwa anapewa milion 50
Huu ni wizi na dharau Kwa timu shiriki
Yanga wameamua kuandika uchafu wote, clubs zote zimuunge mkono
Tuliambiwa mkataba wa udhamini wa CRDB Kwa TFF una thamani yabillions 3.759 kwa miaka 3 ina maana Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3
Kwanini bingwa anapewa pesa kiduchu hivi?
Yaani bingwa wa msimu mzima ni milion hamsini, sawa na mshahara wa Mukwala pale Simba Kwa mwezi?
Au mshahara wa Aziz ki pale Yanga
TFF ache kukandamiza clubs. Na pesa zote mle wenyewe tu
Kwa matangazo na umaarufu anaopata CRDB kumbe bingwa anapewa milion 50
Huu ni wizi na dharau Kwa timu shiriki
Yanga wameamua kuandika uchafu wote, clubs zote zimuunge mkono
Mkuu punguza hasira. Haya ni maoni ya mdau kwa nini bingwa anapewa pesa kiduchu na dusko dusko? Yanga hawajalalamika ni ndogo, punguza chuki na YangaKama hawakuitaka million 50 si wangejiengua kwani walilazimishwa kushiriki!??
Ndo namwambia huyo mwanayamga mpka Hao Yanga wamekubali kushiriki basi wameitaka hiyo milioni 50 wangekuwa hawaitaki wangejiengua.Mkuu punguza hasira. Haya ni maoni ya mdau kwa nini bingwa anapewa pesa kiduchu na dusko dusko? Yanga hawajalalamika ni ndogo, punguza chuki na Yanga
Na me nimemshangaa mtoa mada ameshindwa kuelewa hata kuna gharama za uendeshaji.Acha kukurupuka kama dogo komwe. Huo udhamini ni wa miaka mingapi?
Mtapata akili liniNdo namwambia huyo mwanayamga mpka Hao Yanga wamekubali kushiriki basi wameitaka hiyo milioni 50 wangekuwa hawaitaki wangejiengua.
Sina chuki yoyote ile na nyuma mwiko mimi, niwachukie kwa kipi!?.