Hiyo B. 1. 3 unaiona nyingi sanaa , timu zinazoshiriki zipo ngapi!? Marefa anawalipa nani na pesa zinatoka wapi!?. Viwanja nani analipa!?. Na CRDB wamesema wameipa TFF milioni 200 hzo B. Zipo tu kwenye makaratasi lakin hazijatolewa.Mtapata akili lini
Yaani Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3 yaani milioni 1300 hapa bingwa akipewa milion 50, je timu iliyoishia hatua ya 32 utapata sh ngapi?
Gharama za uendeshaji umeweka mkuuMtapata akili lini
Yaani Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3 yaani milioni 1300 hapa bingwa akipewa milion 50, je timu iliyoishia hatua ya 32 utapata sh ngapi?
Haya nambie Simba iliyoishia hatua ya 16 alivuna ngapiHiyo B. 1. 3 unaiona nyingi sanaa , timu zinazoshiriki zipo ngapi!? Marefa anawalipa nani na pesa zinatoka wapi!?. Viwanja nani analipa!?. Na CRDB wamesema wameipa TFF milioni 200 hzo B. Zipo tu kwenye makaratasi lakin hazijatolewa.
Kuendesha Nini sasa?Gharama za uendeshaji umeweka mkuu
Haya mashindano yanaanza mbali sana kuanzia wilayani kama sio mkoani yanapanda taratibu hadi muda wa timu za kwenye haya madaraja ya juu wanaanza kuingia
Sasa hizo 1.3b si ajabu na kodi humo humo
WAmesema wapi kuwa ni 200? Unamsikiliza yule mwehu wa jkt?Hiyo B. 1. 3 unaiona nyingi sanaa , timu zinazoshiriki zipo ngapi!? Marefa anawalipa nani na pesa zinatoka wapi!?. Viwanja nani analipa!?. Na CRDB wamesema wameipa TFF milioni 200 hzo B. Zipo tu kwenye makaratasi lakin hazijatolewa.
Katafute taarifa ya CRDB utaiona hiyo 200milWAmesema wapi kuwa ni 200? Unamsikiliza yule mwehu wa jkt?