Udhihirisho wa roho mtakatifu akaae ndani yetu

Ukitaka ukae vizuri Na Mungu Kuna vitu inabidi usacrifice Yani Kuna mambo lazima uyaache ukitaka kutembea Na Yesu Na Kuna mambo unatakiwa uyaa adopt.....mambo unayotakiwa Kuya adopt.....Ni kuwa MTU wa Ibada ,kusoma sana Neno kila siku,Kuomba kila siku,kutoa Zaka,kusaidia wahitaji Na maskini, kusikiliza nyimbo za gospel mahubiri Na habari zinazohusu Mambo Ya kiMungu,Kua Na Upendo,ukarimu.......
 
Roho mtakatifu anakaa Mahali pasafi nkimaamisha ndani Ya mwili ambao MTU huyo hatendi dhambi.....ukitenda dhambi mwanadamu unamhuzunisha roho mtakatifu aliyeko ndani yako Na hatimaye huondoka ndani Ya MTU ndomana katika Sala Ya Daudi alivotenda dhambi zaburi 51 umeandikwa (usinitenge Na USO wako Wala roho yako mtakatifu)
 
Ili Uwe msafi kiroho Na roho wa Mungu akae ndani yako inabidi ujitenge Na mambo kama.......usivunje zile Amri 10 za Mungu....usizini maana MTU anapozini anatenda dhambi juu Ya mwili wake mwenyewe Na tukumbuke hii miili yetu ndipo Holly spirit anapokaa dhambi zote MTU atendazo Ni nje Ya mwili wake Ila uzinzi Ni juu Ya mwili wake Na pia unapozini Na MTU katika ulimwengu wa roho Kuna Jambo Hua linatokea ambalo Ni muunganiko wa Nafsi baina yenu wawili mliozini hapo tayari ushachafua mwili wako Na Holly spirit ataondoka ndani yako
 
kukosa nguvu katika ulimwengu wa Roho maana yake ulikua unavuliwa utu wa zamani,
utu wa giza, dhambi na uchafu wa shetani,
na ulikua ukivishwa utu mpya, utu wa nuru, baraka na Neema za Mungu.

Mwili wako mwema ukaendelee kua hekalu safi la Roho Mtakatifu.
Amen.
 
Pia unatakiwa uache ujitenge Na mambo Ya kidunia kama kusikiliza nyimbo za kidunia, kwenda club, kunywa pombe, kuwa Na kampani mbaya Ya marafiki,kwenda Kwa waganga, kuabudu kuzimu,roho mbaya,husda,mawazo mabaya., kusikiliza video mbaya ambazo hazina utukufu wa kiMungu ndani yake,kuongea maneno mabaya ambayo haina utukufu biblia inasema mazungumzo mabaya huharibu Tabia njema pia imetuasa tusikae Barzani pa Wenye mizaha(Wenye mizaha ikimaanisha watu watenda dhambi Na wafanyayo mambo ambayo yanaondoa utukufu wa kiMungu ndani yako...mfano humu jamii forum Kuna Uzi "Kula tunda kimasihara" watu wamecomment kwelikweli Huo Ni mfano wa Baraza la Wenye mizaha..........NITAENDELEA
 
Yeremia 20:9.

Yeremia alikutana na Hali hiyo.

Amen
 
Nakaribisha Na wengine pia wachangie Mada...tupe experience yako Na Holly spirit ...Holly spirit alikutendea Nini ukarealize hakika anaishi ndani yako... Kupitia huu Uzi Kuna watu wataamua kumfata Yesu na itakua furaha mbinguni kama Neno linavosema.....mwenye mafundisho yoyote pia kuhusu roho mtakatifu naomba atuambie ... kwasababu sisi tu viungo vya Kristo Kuna Karama mbalimbali
 
Kweli Mkuu nimeona andiko.... ndomana Mungu anasema yeye Ni yuleyule Jana Leo hata milele akimaanisha mambo aliyotenda Zamani anayatenda hata Leo Na ataendelea kuyatenda milele
Amen,

Ingekuwa vyema kama ungeambatisha andiko Hilo mtu aweze kusoma na kuelewa ulichoandika with reference ya BIBLIA.

Maana hapo yeremia aliexperience. Moto kabisa mifupani kama Ishara ya uwepo wa Roho mtakatifu akitenda KAZI na ilikuwa AGANO la kale.
 
Lengo la huu Uzi Ni ku
Sawa .....next time nitaandika vifungu
 
Yeremia 20:9

Nami nikisema sitamtaja, Wala sitasema tena Kwa Jina lake, basi, ndipo moyoni mwangu kumekuwamo kama MOTO uwakao, ulilofungwa ndani ya MIFUPA yangu, nami nimechoka Kwa kustahimili, Wala siwezi kujizuia.


Mstari huo unaresemble na experience ulopitia,

Kama Kweli umeokoka na umejazwa Roho mtakatifu na hushuhudii wengine uzuri huo ,Pana walakini.

Inatupasa kushuhudia matendo makuu ya Mungu, maana ni mengi anatutendea,

Nitarejea kushuhudia experience yangu kumhusu Roho mtakatifu.

Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…