Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Mungu atusaidie sana...Unamaanisha mwezi wa nne mwakani mkoa wa Dar Es Salaam inawezekana ikajaa maji?
Kuna watu wameota hivi pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu atusaidie sana...Unamaanisha mwezi wa nne mwakani mkoa wa Dar Es Salaam inawezekana ikajaa maji?
Kuna watu wameota hivi pia.
Hii ilitabiriwa kabisa Vijana Wataona Maono....Alafu hizi nyakati Roho wa Mungu amemwagwa kwa watu...
Hivyo ambaye anamuamini tu Yesu kwa Imani kubwa anamuona na nguvu zake...
Ndio, na wazee wataota ndoto...Hii ilitabiriwa kabisa Vijana Wataona Maono....
Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini?Mmefanya vyema sana kuna watu wamejaribu kuleta upinga Kristo lakini mmechagua kutowajibu, MUNGU wa mbinguni aendelee kuwabariki
kukosa nguvu katika ulimwengu wa Roho maana yake ulikua unavuliwa utu wa zamani,Jana kilinitokea kitu cha ajabu Na cha kushangaza ambacho sijawahi kukiexperience tangu nizaliwe.......ilikua Ni Muda wa maombi usiku SAA 7 nasalii kwasababu maandiko yanasema roho wa mtakatifu anaishi ndani yetu Yani hii miili yetu Ni nyumba Ya roho mtakatifu ...maandiko yanasema roho mtakatifu Ni msaidizi wetu Mwalimu wetu Na Ni kiongozi pia....Basi nkawa naomba kama kawaida nikaanza maombi Ya Toba Na utakaso then nikaanza kumuomba roho mtakatifu nikawa nasema "Roho mtakatifu Rafiki yangu kiongozi naomba utawale mwili wangu kuanzia kichwani fahamu zangu take control over all my body msaidizi wangu najua upo ndani yangu nakuomba roho mtakatifu ujidhihirishe ndani yangu" aiseeeee Yani baada Ya kusema hivo ndani Ya sekunde ghafla nlihisi moto umewaka ndani yangu Hasa maeneo Ya kifuani Yani nkawa nahisi moto kabisa kana kwamba nimekaa Karibu Na kilo la Mkaa moto ukawa unawaka kifuani gafla nikaishiwa nguvu nikajkuta nimeganda siwezi kuongea siwez kumove yani nguvu zote zimeishia nikawa sijielewi nahisi Hali Na nguvu isiyo Ya kawaida Yani sumaku moto uzuri nlikua nimeegemea kitandani Ila lasivyo ningeanguka chini...mara akaniambia Nije kushuhudia humu Kile kilichonitokea baada Ya kusema hayo gafla nguvu zikarejea......ITAENDELEA
Yeremia 20:9.Jana kilinitokea kitu cha ajabu Na cha kushangaza ambacho sijawahi kukiexperience tangu nizaliwe.......ilikua Ni Muda wa maombi usiku SAA 7 nasalii kwasababu maandiko yanasema roho wa mtakatifu anaishi ndani yetu Yani hii miili yetu Ni nyumba Ya roho mtakatifu ...maandiko yanasema roho mtakatifu Ni msaidizi wetu Mwalimu wetu Na Ni kiongozi pia....Basi nkawa naomba kama kawaida nikaanza maombi Ya Toba Na utakaso then nikaanza kumuomba roho mtakatifu nikawa nasema "Roho mtakatifu Rafiki yangu kiongozi naomba utawale mwili wangu kuanzia kichwani fahamu zangu take control over all my body msaidizi wangu najua upo ndani yangu nakuomba roho mtakatifu ujidhihirishe ndani yangu" aiseeeee Yani baada Ya kusema hivo ndani Ya sekunde ghafla nlihisi moto umewaka ndani yangu Hasa maeneo Ya kifuani Yani nkawa nahisi moto kabisa kana kwamba nimekaa Karibu Na kilo la Mkaa moto ukawa unawaka kifuani gafla nikaishiwa nguvu nikajkuta nimeganda siwezi kuongea siwez kumove yani nguvu zote zimeishia nikawa sijielewi nahisi Hali Na nguvu isiyo Ya kawaida Yani sumaku moto uzuri nlikua nimeegemea kitandani Ila lasivyo ningeanguka chini...mara akaniambia Nije kushuhudia humu Kile kilichonitokea baada Ya kusema hayo gafla nguvu zikarejea......ITAENDELEA
Kweli Mkuu nimeona andiko.... ndomana Mungu anasema yeye Ni yuleyule Jana Leo hata milele akimaanisha mambo aliyotenda Zamani anayatenda hata Leo Na ataendelea kuyatenda mileleYeremia 20:9.
Yeremia alikutana na Hali hiyo.
Amen
Amen,Kweli Mkuu nimeona andiko.... ndomana Mungu anasema yeye Ni yuleyule Jana Leo hata milele akimaanisha mambo aliyotenda Zamani anayatenda hata Leo Na ataendelea kuyatenda milele
Sawa .....next time nitaandika vifunguAmen,
Ingekuwa vyema kama ungeambatisha andiko Hilo mtu aweze kusoma na kuelewa ulichoandika with reference ya BIBLIA.
Maana hapo yeremia aliexperience. Moto kabisa mifupani kama Ishara ya uwepo wa Roho mtakatifu akitenda KAZI na ilikuwa AGANO la kale.