Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
- Thread starter
- #61
Warumi 10:13-14
Kwa kuwa kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka.
Basi wamwiteje yeye wasiyemwamini?
Tena wamwinije yeye wasiyemsikia?
Tena wamsikieje pasipo mahubiri??...........hapo tunaona dhahiri kabisa lazima awepo mhubiri ahubiri watu wasikie wakisikia wataamini(warumi 10: 17 "Imani chanzo Chake Ni kusikia ,Na kusikia huja Kwa Neno la Kristo")........nimegundua katika injili nyingi watu wengi huwa wanahubiri sana sana kuhusu Mungu na Yesu lakini hawamhubiri kuhusu roho mtakatifu panakua hapana ukamilifu sababu ukamilifu au utatu mtakatifu yupo(Mungu,Yesu na roho mtakatifu).......Huyu roho mtakatifu ni roho ya Mungu mwenyewe........nakiri Tangu nianze kumu acknowledge au kutambua uwepo wa holly spirit maisha yangu yamebadilika sana