‘Udikteta’ wa Magufuli na uhuru wa kujieleza

Sio rahisi mijizi impende magufuli. Sema kadili uwezavyo ila yule mtu huwezi mchafua kwa maneno mabaya.

Asante mungu kutuletea chuma kilichonyoosha majizi yote.

Ila magufuli kawanyoosha mpaka hamchoki kumsema?
Mungu wabariki "wale watu walee" wanaomchukia magufuli nao uzao wao utoe rais tuone nae atanya yapi?

Tunataka vitendo sio maneno.
 
Habari wanajamvi!

Kifo cha Mwenda zake kimeleta kizungumkuti na kwa hakika kuna mahali tunachanganya mambo. Mimi nasema ukweli lazima usemwe hata kama utakuwa mchungu kwa baadhi yetu. Nitajaribu kuweka mambo sawa....

Umeweka sawa
 
Unaosema wanodhurumu wakulima.... KWANI WALE WA KOROSHO ILIKUWAJE? UNADHANI KWA NINI JESHI LILITUMIKA KWENYE KOROSHO?
kangomba walikuwa wanadhulmu wakulima. idea ya dr. magufuli ilikuwa njema tu lakini utekelezaji wake ulikuwa mgumu sana kutokana na kile alichokuwa anakiongea kila siku bila watu kukitilia maanani: 'vita ya kiuchumi ni ngumu'
 
Habari wanajamvi!

Kifo cha Mwenda zake kimeleta kizungumkuti na kwa hakika kuna mahali tunachanganya mambo. Mimi nasema ukweli lazima usemwe hata kama utakuwa mchungu kwa baadhi yetu. Nitajaribu kuweka mambo sawa....
Asante Mungu
 
Hakuna alichosaidia maana hayo makundi yote uliyo yataja bado yanaendelea kushamili tena kwa speed kubwa.


Tulikuwa tunashuhudia watu wanakamatwa na hata kilo 10 za madawa ya kuevya.

Sema mlikuwa mnahangaika na vidagaa wakati mnawafuga na kuwalinda mapapa.

Hapo ndiyo tunaendelea kuwalaumu kuwa serikali yenu ilikuwa inawaljnda mafisadi na majizi na wahalifu wakubwa.
 
Sasa Mimi kila siku nikikuamsha asubuhi kwa nguvu uende ukalime viazi ili uje ule na familia yako...lazima utanichukia.....lengo ni kukusaidia ujitegemee uache kuomba omba....
Majizi wakubwa na wakatili wakubwa
 
Kwa hiyo kina Ben Saanane, Azorgy Gwanda na Tundu Lisu walikuwa wezi? Hata Hitler ana watetezi wauaji wenzake, waliofurahia matendo yake maovu. Nyinyi ni wauaji km Magufuli tu.
 
Roho mbaya tu imekujaa, kwanini ufurahie kugawana mali za tajiri alizotafuta kwa juhudi zake na si kutafuta mali zako mwenyewe!!??
 
Wiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta....
MSIGWA ni chawa, anajihisi bado anatekeleza maagizo yaJIWE.
 
kangomba walikuwa wanadhulmu wakulima. idea ya dr. magufuli ilikuwa njema tu lakini utekelezaji wake ulikuwa mgumu sana kutokana na kile alichokuwa anakiongea kila siku bila watu kukitilia maanani: 'vita ya kiuchumi ni ngumu'
Kuna wakati tuwe wakweli... Nyie kila linalofeli mnadhani watekelezaji pekee ndo wana shida... IDEA IKFELI, NI KUANZIA MUASISI WA IDEA HADI IMPLEMENTERS WOTE WAMEFELI... Kwenu Idea ikifeli, basi watekelezaji, lakini ikifaulu, amefaulu JPM peke...

Halafu nikuulize, hivi unajuwa kuwa kuna watu bado hadi leo wanadai hela zao za korosho kwa serikali? Kwa mtindo huo, unadhani KANGOMBA INAEPUKIKAJE? Yaani mkulima hana chakula ndani (familia inaka kulala na njaa huku hawajala kutwa nzima) au ana mgonjwa hospitali, hana hela, lakini ndani ana korosho, na wakati huo anaidai serikali, unataka afanyeje? Na hapo nje tu kuna mtu ana hela CASH umpe korosho.. Wewe ungefanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…