‘Udikteta’ wa Magufuli na uhuru wa kujieleza

‘Udikteta’ wa Magufuli na uhuru wa kujieleza

Mm sio kamanda.
Huko kwa makamanda napo ni hovyo tu afadhali tena Magufuli!
Kule kuna mdada alipewa Ubunge siku anateuliwa yupo ktk kikao cha ndani cha CCM yy ndiyo mwenyekiti wa UVCCM-Hanang!
Tatizo la TZ CCM imekosa chama mbadala cha kuwaondoa madarakani,wapinzani Bara ni wapigaji tu


Sent from my iPhone using JamiiForums

Okie dokie!
 
Unajua tofauti kati ya freedom before speech na freedom after speech kama indicators za fredom of speech?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pole St. Ngabu. You seem to have been swammed by a cohort of buffoons.
 
Pole St. Ngabu. You seem to have been swammed by a cohort of buffoons.

Hehehee.

No worries.

I can handle each and every last one of them with my hands tied behind my back 🤛.
 
Mdude Chadema alivuliwa nguo na mwanamke na kuminywa korodani sababu ya anacho post! We umekaa zako ughaibuni unaona hakuna shida eeeeeehhhh???

Yote haya unamtetea msukuma mwenzako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa naimagine internet imefungwa kwa muda wa wiki au mwezi mmoja. . .wale ambao biashara zao zinatengemea huduma ya internet sijui wanaishije maskini. Ni balaa, Mungu atuepushie mbali
 
Usimuambikize mwenzio udikiteita wako; kuzuia uhuru wa mtu kwa sababu yeyote ni udikiteita tu. Hakuna dhambi ndogo. Kwa mameno yako unashangaa kwanini hajafanya hivyo? Wewe ni dikteita mbaya zaidi. Tuna bahati mbaya wewe ni miongoni mwa Watanzania.
 
Pole St. Ngabu. You seem to have been swammed by a cohort of buffoons.


Wewe kwanini unaharibu jina lake??!!, yeye anajiita "Nyani", wewe badala ya kumwita hivyo eti unamwita St, meaning Saint.!!!😁😁 kwani wewe unamuona mjinga alipojichagulia jina Nyani, kwani hilo St (saint) hakuliona??!!😁😁😁
 
Zimbabwe walifungiwa internet kwa kuandamana, hapa TZ sio maandamano tu, hata vikao vya ndani vinatawanywa. Au umesahau yale ya risasi kukata kona hewani? Pili, wanaomkosoa mheshimiwa bado wamejificha kwenye fake ID, wengi wa waliomkosoa waziwazi au walishafunguliwa kesi, au walishazawadiwa risasi kama TL, au walishapotezwa kama kina Ben. Bado hatujafanya collective action ya kumpa sababu kufunga mawasiliano, na hili inawezekana limesababishwa na kutokujitambua kwetu
Alishasema anatamani malaika washuke kuifungia hii mitandao,sasa na watu wanavyomuita mtukufu/malaika huenda akajiona yeye ndio masihi aliyetumwa kuzima mitandao!
 
Mzee Bakhressa ni tajiri na Carlos Slim ni tajiri. Utajiri wa Carlos Slim ni maradufu ya utajiri wa Salim Said Bakhressa, hata hivyo, utofauti huo haumfanyi Mzee Bakhressa kuitwa fukara, bado yeye ni tajiri Ila utajiri wake sio kama wa Carlos Slim. Kwa lugha raisi, wote ni MATAJIRI ila utajiri wao ni wa viwango tofauti .
#tipwatipwa tetema, eeh tetema#tetema
 
Jadili hoja. Achana na kilichomo tumboni mwangu!


Sasa kama umekunywa gongo, na hiyo gongo imo tumboni mwako na inakuletea madhara KICHWANI, je tusijadili ??!!, kumbuka kuna "cause and effect phenomenon".
 
Back
Top Bottom