Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Intaneti ishawahi kuzimwa kabisa Tanzania?
Je Tanzania wamewahi kuandamana wakati wa Magufuli? Kumbuka kilichofanya wazime internet huko Zimbabwe ni baada ya maandamano.
Intaneti ishawahi kuzimwa kabisa Tanzania?
Itazimwa tu siku zijazo.Tunataka nchi iende mbere!Intaneti ishawahi kuzimwa kabisa Tanzania?
Non senseWiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta.
Hapa Tanzania kuwekuwepo na kila aina ya lawama kwa utawala wa Rais Magufuli.
Rais Magufuli keshaitwa kila aina ya majina. Jina ambalo limekuwa likijirudia rudia ni ‘dikteta’.
Nikiri kuwa hata mimi mwanzoni mwanzoni mwa utawala wake kuna mambo sikuyapenda na niliutumia huo utambulisho wa ‘dikteta’ kuelezea kutopendezwa kwangu na baadhi ya mambo .
Lakini kwa kadri siku zinavyokwenda, yajiriyo hapa nchini na nje ya nchi, yananifanya nianze kujiuliza kama ni jambo sahihi kumwita Rais Magufuli dikteta.
Kuna watu humu mitandaoni wanapenda kulalamika kuwa eti Tanzania sasa hivi hakuna uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa kujieleza.
Mara nyingi watu hawa hutoa malalamiko yao kupitia mitandao ya kijamii.
Sasa kilichotokea huko Zimbabwe wiki iliyopita kimenfanya nijiulize upya kuhusu huu udikteta wa Rais Magufuli.
Hivi ni lini hapa Tanzania tumewahi kufungiwa kabisa huduma ya intaneti kutokana na maandamano au sababu ingine yoyote ile?
Kilicho ironic ni kwamba hao wakosoaji wa Magufuli kuhusu uminywaji wa haki za kidemokrasia za kutoa maoni na kujieleza, hutumia intaneti kutoa maoni yao wakiwa hapa hapa nchini.
Huyu Magufuli ni dikteta gani anayeruhusu watu wamkosoe, kumpinga, na hata kumtukana huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hachukui hatua kali za kuifungilia mbali intaneti kama alivyofanya Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye kaingia madarakani majuzi tu hapa?
Watanzania wakati mwingine huwa tunabweteka sana na uhuru tulionao!
Salundi inampa tabu niuharo mtupu mikutano imezuiliwa maandamano yamezuiliwa halafu anaropoka matope yake humu Uhuru wa biashara unaminywa na kodi mmachinga mwenye mtaji wa elfu tano anauza karanga au mayai analipi elfu ishilini kwa mwaka bhaado MTU anakaa kumsifu stone hakika watz tunatumiwa vbaya nawenye mamlakaNaona leo umeshiba maharage ya iringa
You must not be serious, unaweza kumpenda muuaji? Anaua ndugu zako umpende? anau amajirani umpende? Miili ya watu inaelea mto kagera umpende? Walikuwa "wanampenda" kwa sababu ya matumbo yao!Sio wote walimchukia wapo waliompenda tena sana tu...........
Achana na watu waliojitoa ufahamu mkuuWe jamaa una ujinga mwingi sana kichwani. Ikiwa Baba A anaua watoto wake, hilo linajustify Baba B kushangiliwa kwa kuwa yeye anawakata wakwake mikono?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]A
Anye tuhakikishe kweli anazo.
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kada kutoka USA!
Katiba ya wakati huo iliruhusu mfumo wa chama kimoja, na ilimruhusu Nyerere kutawala kwa muda huo wote.Mataka ya nani?
Maana tulikuwa na vyama vingi, vikafutwa!
Vilipofutwa tukaingia mfumo mmoja!
Utawala wa mtu mmoja kwa zaidi ya miaka 20 si udikteta huo?
mpaka izimwe ndio ujue Hakuna uhuru wa kujielezaIntaneti ishawahi kuzimwa kabisa Tanzania?
Kwako wewe kipimo cha udikteta ni kuzimwa kwa internet!Intaneti ishawahi kuzimwa kabisa Tanzania?
Mwenyekiti wa chadema temeke katoa maoni yake kwenye facebook, katekwa na usalama mpaka leo hajulikan alipo.Wiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta.
Hapa Tanzania kuwekuwepo na kila aina ya lawama kwa utawala wa Rais Magufuli.
Rais Magufuli keshaitwa kila aina ya majina. Jina ambalo limekuwa likijirudia rudia ni ‘dikteta’.
Nikiri kuwa hata mimi mwanzoni mwanzoni mwa utawala wake kuna mambo sikuyapenda na niliutumia huo utambulisho wa ‘dikteta’ kuelezea kutopendezwa kwangu na baadhi ya mambo .
Lakini kwa kadri siku zinavyokwenda, yajiriyo hapa nchini na nje ya nchi, yananifanya nianze kujiuliza kama ni jambo sahihi kumwita Rais Magufuli dikteta.
Kuna watu humu mitandaoni wanapenda kulalamika kuwa eti Tanzania sasa hivi hakuna uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa kujieleza.
Mara nyingi watu hawa hutoa malalamiko yao kupitia mitandao ya kijamii.
Sasa kilichotokea huko Zimbabwe wiki iliyopita kimenfanya nijiulize upya kuhusu huu udikteta wa Rais Magufuli.
Hivi ni lini hapa Tanzania tumewahi kufungiwa kabisa huduma ya intaneti kutokana na maandamano au sababu ingine yoyote ile?
Kilicho ironic ni kwamba hao wakosoaji wa Magufuli kuhusu uminywaji wa haki za kidemokrasia za kutoa maoni na kujieleza, hutumia intaneti kutoa maoni yao wakiwa hapa hapa nchini.
Huyu Magufuli ni dikteta gani anayeruhusu watu wamkosoe, kumpinga, na hata kumtukana huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hachukui hatua kali za kuifungilia mbali intaneti kama alivyofanya Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye kaingia madarakani majuzi tu hapa?
Watanzania wakati mwingine huwa tunabweteka sana na uhuru tulionao!
Mkuu kwahiyo likitokea kama LA Zimbabwe utajiunga na kundi linalomuita Magu dictator? Mana kama nihilo tu mbona lipo njiani.Wiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta.
Hapa Tanzania kuwekuwepo na kila aina ya lawama kwa utawala wa Rais Magufuli.
Rais Magufuli keshaitwa kila aina ya majina. Jina ambalo limekuwa likijirudia rudia ni ‘dikteta’.
Nikiri kuwa hata mimi mwanzoni mwanzoni mwa utawala wake kuna mambo sikuyapenda na niliutumia huo utambulisho wa ‘dikteta’ kuelezea kutopendezwa kwangu na baadhi ya mambo .
Lakini kwa kadri siku zinavyokwenda, yajiriyo hapa nchini na nje ya nchi, yananifanya nianze kujiuliza kama ni jambo sahihi kumwita Rais Magufuli dikteta.
Kuna watu humu mitandaoni wanapenda kulalamika kuwa eti Tanzania sasa hivi hakuna uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa kujieleza.
Mara nyingi watu hawa hutoa malalamiko yao kupitia mitandao ya kijamii.
Sasa kilichotokea huko Zimbabwe wiki iliyopita kimenfanya nijiulize upya kuhusu huu udikteta wa Rais Magufuli.
Hivi ni lini hapa Tanzania tumewahi kufungiwa kabisa huduma ya intaneti kutokana na maandamano au sababu ingine yoyote ile?
Kilicho ironic ni kwamba hao wakosoaji wa Magufuli kuhusu uminywaji wa haki za kidemokrasia za kutoa maoni na kujieleza, hutumia intaneti kutoa maoni yao wakiwa hapa hapa nchini.
Huyu Magufuli ni dikteta gani anayeruhusu watu wamkosoe, kumpinga, na hata kumtukana huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hachukui hatua kali za kuifungilia mbali intaneti kama alivyofanya Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye kaingia madarakani majuzi tu hapa?
Watanzania wakati mwingine huwa tunabweteka sana na uhuru tulionao!
This guy is the missile of the Nation![emoji4][emoji4][emoji4]Dah!, Mkuu Umemaliza kila kitu, kwa jinsi ulivyoanalyze hii issue sidhani kama ataleta mada nyingine inayosukumwa na "hisia" zaidi kuliko "uhalisia" kama hii!!
Wiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta.
Hapa Tanzania kuwekuwepo na kila aina ya lawama kwa utawala wa Rais Magufuli.
Rais Magufuli keshaitwa kila aina ya majina. Jina ambalo limekuwa likijirudia rudia ni ‘dikteta’.
Nikiri kuwa hata mimi mwanzoni mwanzoni mwa utawala wake kuna mambo sikuyapenda na niliutumia huo utambulisho wa ‘dikteta’ kuelezea kutopendezwa kwangu na baadhi ya mambo .
Lakini kwa kadri siku zinavyokwenda, yajiriyo hapa nchini na nje ya nchi, yananifanya nianze kujiuliza kama ni jambo sahihi kumwita Rais Magufuli dikteta.
Kuna watu humu mitandaoni wanapenda kulalamika kuwa eti Tanzania sasa hivi hakuna uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa kujieleza.
Mara nyingi watu hawa hutoa malalamiko yao kupitia mitandao ya kijamii.
Sasa kilichotokea huko Zimbabwe wiki iliyopita kimenfanya nijiulize upya kuhusu huu udikteta wa Rais Magufuli.
Hivi ni lini hapa Tanzania tumewahi kufungiwa kabisa huduma ya intaneti kutokana na maandamano au sababu ingine yoyote ile?
Kilicho ironic ni kwamba hao wakosoaji wa Magufuli kuhusu uminywaji wa haki za kidemokrasia za kutoa maoni na kujieleza, hutumia intaneti kutoa maoni yao wakiwa hapa hapa nchini.
Huyu Magufuli ni dikteta gani anayeruhusu watu wamkosoe, kumpinga, na hata kumtukana huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hachukui hatua kali za kuifungilia mbali intaneti kama alivyofanya Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye kaingia madarakani majuzi tu hapa?
Watanzania wakati mwingine huwa tunabweteka sana na uhuru tulionao!
Hoja ya hovyo kabisa!
Kwako ili usiwe diketa ni kuachia internet ikuchambue utawala wako watakavyo!Ukifungia internet kama Rais Munangwagwa kwa wapiga kura wake basi wewe ndiyo dikteta!
Kuanzisha miradi mikubwa bila bajeti kupitishwa na Bunge kwako sio udikteta?
Kuvunjia watu nyumba Dar wasio kupa kura lkn kusema Mwanza wasiguswe sababu walinipa kura kwako sio udikteta?
Kusaidia wahanga wa MV Nyerere Mwanza lkn kuwakatalia msaada wahanga wa tetemeko Bukoka tena walio changiwa rambirambi na watz kwao sio udikteta?Au hujui maana ya neno dikteta?
Vijana uwezo wenu wa kufikiri umepatwa na tatizo gani?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Duh!
Kamanda povu la nini sasa?