‘Udikteta’ wa Magufuli na uhuru wa kujieleza

Jina ninalotumia hapa nimelichagua mwenyewe.

Nina hiyari ya kutumia jina langu la serikali pia.

So what’s your point?
IPO HIVI .... Sheria za habari/ uhuru wa kutoa maoni ipo kwaajili ya kulinda habari zilzopo tunazopenda na tusizopenda... ukiona sheria zinalinda habari zinazopendwa na watawala tu kama huyu magufuli ... ujue hapo hakuna uhuru wa habari... sijasema wala sijaamua kukuchagulia jina nilikupa tu mfano kwamba unatumia jina/ id bandia kwakuwa hakuna uhuru wa habari. unaweza ukabisha kwakuwa wewe ni mjuaji ila ukweli utabaki hivyo
 
Okay sawa.
 
Online Content Regulations 2018 , Miscellaneous amendments 2018 za Statics Act, na usimamizi mkali wa Cyber Crimes Act, ni viashiria toshelevu vya viambata vya udikteta dhidi ya uhuru wa kijieleza kinyume na Katiba!

Na sasa, muswada wa vyama vya siasa!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sheria ilivyonukuu na kama ingekuwa inafuatiliwa dhabiti na kama tunavyoamanisha tuna rais dikteta Tanzania magereza yangetosha?

Nahisi linatakiwa litolewe somo kujua dikteka ni mtu wa aina gani? Lakini kwangu Tanzania hatuna na hatujawahi kupata rais Dikteka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta.

Hapa Tanzania kuwekuwepo na kila aina ya lawama kwa utawala wa Rais Magufuli.

Rais Magufuli keshaitwa kila aina ya majina. Jina ambalo limekuwa likijirudia rudia ni ‘dikteta’.

Nikiri kuwa hata mimi mwanzoni mwanzoni mwa utawala wake kuna mambo sikuyapenda na niliutumia huo utambulisho wa ‘dikteta’ kuelezea kutopendezwa kwangu na baadhi ya mambo .

Lakini kwa kadri siku zinavyokwenda, yajiriyo hapa nchini na nje ya nchi, yananifanya nianze kujiuliza kama ni jambo sahihi kumwita Rais Magufuli dikteta.

Kuna watu humu mitandaoni wanapenda kulalamika kuwa eti Tanzania sasa hivi hakuna uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa kujieleza.

Mara nyingi watu hawa hutoa malalamiko yao kupitia mitandao ya kijamii.

Sasa kilichotokea huko Zimbabwe wiki iliyopita kimenfanya nijiulize upya kuhusu huu udikteta wa Rais Magufuli.

Hivi ni lini hapa Tanzania tumewahi kufungiwa kabisa huduma ya intaneti kutokana na maandamano au sababu ingine yoyote ile?

Kilicho ironic ni kwamba hao wakosoaji wa Magufuli kuhusu uminywaji wa haki za kidemokrasia za kutoa maoni na kujieleza, hutumia intaneti kutoa maoni yao wakiwa hapa hapa nchini.

Huyu Magufuli ni dikteta gani anayeruhusu watu wamkosoe, kumpinga, na hata kumtukana huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hachukui hatua kali za kuifungilia mbali intaneti kama alivyofanya Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye kaingia madarakani majuzi tu hapa?

Watanzania wakati mwingine huwa tunabweteka sana na uhuru tulionao!
Ni vyema utupe taarifa kamili kilichotokea huko zimbabwe. Si vyema kufananisha vitu visivyohusiana
Eleza nini kimetokea huko kwenye reference yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo yote ndo mara yake ya kwanza kutokea hapa nchini chini ya utawala wa Magufuli?
Swali zuri sana. kwa kifupi ni kwamba ni kweli huko nyuma yamekuwa yakitokea, baadhi yake. Kwa mfano watu waliuwawa wakati wa utawala wa Nyerere, mfano kwenye operesheni ya wachawi mikoa ya Shinyanga na Mwanza, lakini pia watu waliwajibishwa, tena sana. ni kweli upinzani umekuwa ukinyanyaswa sana, kuteswa na kuzuiliwa, kwa nyakati tofauti katika vipindi mbalimbali toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza mwaka 1992. Lakini hakuna Rais ambaye amewahi kupiga marufuku vyama kufanya mikutano, moja kwa moja. wamekuwa wakiweka vikwazo hapa na pale, lakini hawajawahi kupiga marufuku kama Magufuli.

Ni kweli kuna watu waliwahi kunyang'anywa uraia, Jenerali Ulimwengu mojawapo kwa kumsema Mkapa. Ni kweli Stan Katabalo, Mwandishi wa gazeti la Mfanyakazi, aliuwawa enzi za Rais Mwinyi, kwa kuandika kuhusu kashfa ya Loliondo.

Ni kweli magazeti yalifungiwa huko nyuma, mfano Mwanahalisi na Mawio.
Ni kweli wapinzani wamefunguliwa kesi, lakini si kwa kasi hii ya Magufuli. Pia amefunga bunge live, baada ya kuwepo kipindi cha Kikwete. huko nyuma halikuwepo kabisa. lakini limeanza na Kikwete likaondolewa na Magufuli.

Magufuli ni wa kwanza kupiga marufuku watu kulalamika "hali ngumu ya maisha - vyuma vimebana". Hata Nyerere hakuwahi kufanya hivyo.
Magufuli ameinyonyoa manyoya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa namna ambayo haijawahi kutokea.

Magufuli amenyang'anya Paspoti Askofu - a sitting Bishop. sijawahi kusikia Tanzania. kama unayo rekodi nijulishe Tafadhali. Kuishi ni kujifunza.

Ni katika Awamu ya Magufuli tunashuhudia CAG akitetemeshwa. Spika tu hana ubavu wa kutamba hivyo isipokuwa kama Rais anamuunga mkono. la sivyo tungeshasikia POOO kutoka Ikulu.

Lakini basi, niseme kwanza nimeorodhesha hayo kwa sababu wewe umetumia kigezo kwamba Magufuli hajafunga Internet kama alivyofanya Rais wa Zimbabwe, kwa PREMISE hiyo UKAHITIMISHA KWAMBA Magufuli siyo Dikteta. Kwanza tu hiyo logic yako ina shida. kwa sababu tu hajafungia Internet, maana yake unataka kusema kwamba SIFA YA KUWA DIKTETA NI KUFUNGIA INTERNET. NA KWA SABABU MAGUFULI HAJAFUNGIA INTERNET MPAKA SASA, BASI SIYO DIKTETA. NA AKIFUNGIA KESHO BASI NDIO ATAKUWA DIKTETA. Udikteta wa Rais unapimwa kwa vigezo vingi.

OK, tuendelee. Tumeona kwamba marais mbalimbali waliwahi kufanya hayo na hata zaidi ya hayo, lakini siyo kwa combination hiyo ya Magufuli. Magufuli amefanya mengi kwa wakati mmoja, na amefanya mengine ya ziada. Magufuli anafanya hayo tena kwa hamasa kubwa
 
Yaan wewe udikteta kwako ni kufunga tu mtandao wa internet.Hebu rudi uandike upya hichi ulichoandika maana inaonekana hujui unachokizungumzia.
 
Binafsi sijawahi kumchukia Mh; Rais. Magufuli kwakweli na nampenda sana tena sana.
 
Unasema hakuna rais aliyewahi kupiga marufuku vyama vya upinzani kufanya mikutano wakati tayari kuna rais alivipiga marufuku kabisa vyama vya upinzani kwa miaka mingi tu!

Come on man!

Halafu, hivi kwa nini hivyo vyama vya upinzani na vyenyewe havijafungua kesi ya kikatiba kupinga huo ujinga?

Yaani na vyenyewe vimekubali tu kuburuzwa utadhani havijui katiba inasemaje! SMH.

Kuhusu bunge live....mara hii tushasahau kuwa kwa miaka mingi tu hata TV tulikuwa hatuna?

Ni nani aliyetawala kwa muda mrefu na TV hatukuwa nazo lakini sasa watu wanataka awe mtakatifu?????
 
Back
Top Bottom