Udini wa kutisha UDOM!

Status
Not open for further replies.
Na baadaye JK ataanzisha war lords kibao kama Somalia si unajua tena serikali za kiislam lazima uwe na war lords ili ufanikiwe. Sijui upande wa kanda ya magharibi atamweka nani.....

Itakuwa ni vizuri sana kama wale walionzisha kuuana kule Kenya, nako si kuna Mahakama ya Kadhi? na ma warlord wa kiIslam ndio walianzisha kuuwana! na wale walioanzisha kuuwana kwa kimbari kule Rwanda na Burundi, si wote walikuwa ni ma warlords wa kiIslam? au sio?
 

Yaani kama vile ulikuwepo vile .... kabla hawajalipua ubalozi wa marekani na kuua watanzania na wakenya wasio kuwa na hatia yoyote, walianzia Somalia huko na jihad zao zisizokuwa na mwisho.

Aibu tupu kweli toka kwa war lords. Hivi kanda ya magharibi war lords atakuwa nani?
 
Yaani vile umetokea tu na kikombe chako cha kahawa, picha yako inachukuliwa na kisha kulinganishwa na data base ya wauzuliaji wengine ili kuona kama kuna mapirates toka Somalia au la.

Mapirates wakijulikana tu, yanayofuatia ni historia.

Teh teh teh!
 
mtoa mada alikua udini
kwani prof Mlacha anapanga mishahara ya watu jamani?
mishahara ya vyuo vikuu ipo wazi jamani haibaguliwi na haipangwi na kiongozi wa chuo kama magazeti au redio zetu
inalipwa na hazina kaka
na ina scale zake ambazo zipo wai kabisa
 
kaka acha kukurupuka kwa mara nyingine tena au labda nabishana na walewale wa vijiwe hilo sina uhakika nalo

nalolifaham mishahara ya vyuo vikuu inajulikana na kila mtu anae husika na haipangwi na kiongozi wa chuo kama unavyodhani
ndo mana nilikwambia rejea mwanzo wa thread hii tulisha jadili scales za mishahara za walim wa vyuo vikuu...usikurupuke mtaalam
 

Mmmh! Msafara wa nyani kaingia komba.
 
Kuna habari kwamba ukichoka sana na ukapata kitu kama mlenda vile huwa inasaidia sana kurudisha heshima nyumbani,ni kweli au uongo?
 
ambao sio walimu huwa wanalipwa kwa scale ya PGSS kaka ambao wanaitwa administrative staff
 
Mkapa akiwa Raisi alitoa chuo cha Tanesco Morogoro kuwa Chuo Kikiuu cha Kiislam
pia vile vile alitoa Magamba sekondary kuwa kuwa Chuo Kikuu cha Tumaini (SEKUCo) sebastia kulowa university college
 
kati ya rafiki zangu waliokimbia hapo Udom wanadai kuwa hakuna marupu rupu mengine na hii inatokana na chuo kuwa kichanga. Yaani unasubiri mwisho wa mwezi kwa mwisho wa mwezi na hakuna pia nyumba kwa watumishi hasa hawa wa nazi za chini, lbda mtoa mada atuambie kuwa yeye ni lecturer au supportive staff?
 
naona hii mada kuna watu wanaiburuza au kutojua namna ya kumsaidia huyu ndugu,UDINI ameuona kwa namna gani?hajasema!Je kuwa na uongozi wa juu waislamu ndo udini?mimi nakataa japo mimi mkristo,kwani udini ni matendo ya UDINI je ni yapi hayo?mishahara hapangi VC wala CACO etc,ni govt scales.Kama watu wanakimbia chuo je yupo aliedai udini ndo umemwondoa?mi nadhani ni udogo na uchanga wa chuo,na location pia,huko lectures hawana madeal meengi ukizingatia watu hawana hela kihivyo,so nani atakuconsult kam njini Dar?na kama hela nyingi zinaelekezwa ktk ujenzi marupurupu mengine lazma yawe down.tusubiri na kumonitor mwelekeo na maendeleo yake,ila udini sina uhakikautaingizwaje hapo.Kama kushutumu ukabila mimi ningeanzia UDSM kwa Mukandala Prof kwani kule ndo kunanuka uendeleo
 
Home of great sinkers! sasa na huyo Mkapa nae muislam? hivi udini ni kuwa na viongozi wa 3 wa juu waislamu? kwa hiyo UDSM nako kuna udini?

Mleta mada ndio mdini kwani inahitaji uwe mdini ili kujua mdini!

Mleta mada ameomba information kwa watu walio udom, hajaleta udini wowote hapa!!! labda kwa kuomba information zaidi dnio limekukwaza wewe mdini
 
du kama hali ipo hivyo hakuna ubishi


Ni bora mkaweka na Ardhi,UDSM, SUA na Mzumbe, manake watanzania wa kizazi hiki mnaongoza kwa kujitisha wenyewe na kuogopa. Acheni watu wafanye kazi kutokana na sifa bila kuangalia dini au kabila.

Manake mkitatua la dini mtakuja na kabila manake mlishasema kuhusu wachagga hapa.
 
Kwa nini hii awamu ya nne ya uongozi wa nchi hii imeleta sana mijadala ya dini na ukabila?? Tuanzie bosi wa Board of External Trade, IGP Said Mwema, Hon. Hawa Ghasia, Idrisa Rashidi, Prof.Kapuya, Dr. Asaad wa Accounting Depatment UDSM ni mboard member wa NSSF na Chairman wa NBC, Ramadhani Dau, Dr. Idrisa Kikula wa UDOM (siri nzito), Mustafa Mkulo, na wengine wengi.

Ni vema kuteua kiongozi kukutokana na elimu, ujuzi na uwezo wa kazi. Suala la kuona pengine sisi ni minority, only 20% na hivyo basi akipatikana ana kaelimu kanafanania basi tunatumia kigezo cha elimu na si uwezo. Tunajidanganya!!
 
kama hao viongozi ni radicals muslims hicho chuo hakiwezi kwenda kokote kwani uislam na shule za kidhungu ni vitu viwili tofauti (refer Nigerian moslem "Teleban, Alqaida"), hao jamaa walishatamka kabisa kuwa elimu hiyo si sahihi kwa waislamu, lakini kama ni waislamu wa majina chuo kitafiaka mbali kwani ni lazima watakuwa bega kwa bega na watu wa shule[/QUOTE]

kaka ukisema kuwa waislam na na elimu ya kidhungu kama usemavyo unakosea kwani uislam umeimarisha kuwa muislam anatakiwa asome huikumanisha asoeme hicho kidhungu au hayo mafunzo ya kiislam unatakiwa usome elimu yoyote yenye manuafaa sawa kaka.
 

Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi wako mzuri. Ni kweli hiki kitu cha point (credit moja kugawanywa kwa idadi ya authors ndo kinawafanya wahadhiri wengi kuwaibia wanafunzi kazi zao, yaani wanapublish kazi za wanafunzi bila majina ya wanafunzi wao waliohangaika kufanya huo utafiti. Yapasa utaratibu huu TZ ubadilishwe.
 

Tusijidanganye. Ingawa scales zinapangwa na serikali kuu, viongozi wa sehemu wanakofanyia kazi watendaji wana mchango mkuu. Hawa ndio wanaoandika ripoti kuhusu utendaji kazi wa mhusika. Ripoti hiyo inachangia kwa kiasi kikubwa kupanda cheo kwa mtu. Serikali kuu haina namna ya kupima utendaji wa mtu bila kupitia viongozi wake.

Amandla.........
 
Sasa Watu inabidi wame makini sana kuhusu suala hili na pia itakuwa imara sana kama watu wa dini zote wakiwa na watu wasio na Dini
 
nashukuru kwa michango yenu, lengo hasa la mada lilikuwa kuomba kujua ukweli kuhusu habari ilyokuwa kwenye gazeti moja la kila siku la mtanzania, kuwa mtoa maoni alindika kuhusu ubaguzi wa kidini katika taasisi kubwa kama udom. nakiri kuwa mimi sijawahi kufika udom na wala sina uhakika wa haya. la maana ni kuwa niliguswa na shutuma hizo, na mahali pekee pa kupata ukweli ni hapa jf. mada hii imesomwa na watu zaidi ya 2000, kwa maana ni kuwa huko udom wanajua kuwa hilo la udin tayari nis hutuma kwao, aidha ni wadini au si wadini ujumbe umewafikia, kama si wadini nawapa pole, la hasha kama tuhuma hizi ni za kweli wanapaswa sasa waache hii tabia, wakijua kuwa siku zote taifa hili linashikamana kwa misingi tofauti na udini.

kuna watu hapa wameandika kuwa mbona kule st augustine university ni wakristo, au morogoro muslim nk, tunachokemea kwa nguvu zote ni udini na ukabila katika vyuo vya kitaifa yaani state universities, udini au ukabila ukivamia kwenye taasisi hizi tutakuwa somalia ingine.

ushahidi wa udini haupo ila ninachofurahia meseji itakuwa imewafikia WALENGWA.

BRAVO JF
 

Na awamu hiii hii imetuletea vihiyo wakristo Nchimbi, Nagu, Kamala, Mathayo na kukumbatia mafisadi wakristo Mramba, Mgonja, Yona, Liyumba, Lowassa, et al
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…