Udini Wizara ya Elimu

Status
Not open for further replies.

Hii yaani sasa naona unazidi kudhihirisha dementia..he he he..Vurugu si mlitumia pale Mwembechai na 'haki' yenu mkapatiwa ? Mwe!
 

1.wacha kutoa info za upande mmoja
kwa nini ujasema TZ nzima na umechagua bara peke yake au kwa ajili ZNZ wote ni waisilamu.

lazima uwelewe kuwa kwamba bara vijijini kuna wakristu wengi kama ilivyo ZNZ waislamu ni karibu wote.
pia lazima ujue mikoa ya mwambao waislamu ni wengi

2. kuhusu elimu
bara kuna shule nyingi ambazo ziliwachwa na wakoloni wazungu ambao wengi wao ni wakristu, makanisa pia yana shule nyingi
mikoa ya pwani waarabu ambao ni waislamu hawakuacha shule
kutokana na sababu hizi wazee wakristu wengi wameenda shule kuliko wazee wa waislamu, na kwa ajili TZ watu wana rithi dini hii inafanya watoto wakristu wawe wengi kwenye vyuo.
hi trends itabadilika baada ya mda mrefu waislamu wakitilia mkazo elimu na si vinginevyo.
Tatizo ni kubwa sana kwa ajili mpaka sasa hivi waislamu wengi hawatilii mkazo elimu hususan maeneo ya ZNZ na Tanga ambapo mabinti wengi bado wanaolewa mapema na wanaume wanaoa mapema.

Tatizo hili linatakiwa lishuhulikiwe na sheikh mkuu na aweke pingamizi kwamba mtu haruhusiwi kuwa maalimu mpaka amalize form six na masheikh wote lazima wawe na utaalamu wa ziada (udaktari, uwalimu na nk) kama ilivyo kwa wakatoliki.
sasa hivi vijana wengi maeneo ya Tanga wakimaliza darasa la saba wanaanza kwenda madrasa sana na mwishowe kuwa maalimu na hata masheikh baadae.
ukiangalia kwa upande wa wakatoliki mapadri wanasoma mda mrefu sana.
TATTIZO HILI LITKUWA LA MDA MREFU SANA KAMA KUTAENDELEA KUWA NA MASHEIKH AMBAO HAWAJASOMA.

"WATZ TUPENDANE. DINI HAZINA MPANGO WOWOTE. KUENDELEA KUABUDU UISLAMU NA UKRISTU NI KUENDELA KUWATUKUZA WAKOLONI, NA NDIO MAANA WAKRISTU WANAWATUKUZA WAZUNGU NA WAISLAMU WANAWATUKUZA WAARABU"
 
Hii yaani sasa naona unazidi kudhihirisha dementia..he he he..Vurugu si mlitumia pale Mwembechai na 'haki' yenu mkapatiwa ? Mwe!


umeibukia huku????

Unataka uletewe yaliyotokea Mwembechai??? Fungua Thread yake upewe ukweli usidanganye watu hapa .

Angalia thread inasemaje , haisemi yaliyotumiwa Mwembechai.

Jee na hayo yaliyotokea kanisa lako Dodoma jee tuambie ilikuwa nini????

Lete Data ulizoulizwa huko juu....

Endelea na hiyo ignore list yako.....
 
Last edited:
Hapa umenena, na tungekuwa na utamaduni wa kujadili hoja kwa mtindo huu basi tusingegawanyika hapa JF. JF imeharibika kiasi kwamba hakuna anayetaka kutumia "LOGIC" na kuliangalia suala kwaundani.

Topic hii ni defu na inahistoria ndefu sana. Nilazima iangaliwe kwa mapana na marefu kabla ya kutoa hitimisho za haraka.

Ukweli mimi napata kichefu chefu hasa ninaposoma zile hoja za sinia members. Hicho ni cheo kikubwa, haifai mtu kutoa pumba. Turudi kwenye square 1 kama tunahaja hiyo, kama haakuna tutacheza mpira bila Refa.
 
ni kampeni ndugu zangu,wanayoyasema hawa hayawani shura ya maimaam pia kina maghembe na jk wanayasimamia,wizara imepewa hao watu maksudi ili waweze kuwapandisha waislam kwa maksudi,kama wanampa mtu mwenye sifa sio mabaya,but kama ni kwa kigezo cha dini kwakweli JK mwakani hatumtaki na uwezo huo tunao kwani nia ipo tayari,
 

Ok,

Kwanza sijaona neno ajira kwenye hiki kipisi chako cha COPY & PASTE. Nadhani akili yako imechanganyika na samadi.

Pili, labda utueleze hiki kipisi chako kinarelevance gani na mada tunayoijadili:

Tatu, kama kingereza kinakupiga hapo nilipo-pigia mstari panasomeka hivi: chenga hapa nukuu yako inakupa jibu kuwa religious imbalances (kama zipo au zilikuwepo) zimetokea kihistoria na hazina mahusiano na makusudio ya mtu yeyote.

Hii sentensi umeileta wewe mwenyewe, Miss Stupidity, I doubt kama unaelewa manake..lol


Hii sijui ume- copy kutoka wapi maamuma wewe..Hebu tueleze hii inahusiana vipi na mada tunayoiongelea? lol, makubwa haya! Jamani hebu iteni ambulance ya Mirembe tafadhalini...!

Ukiona wamarekani wanaanza kuandika hayo ujue wameshaona moshi utokeako. Nyie laleni tu na kutumia kalamu vibaya bila kufahamu ni nani aliyeleta amani hii kwa kuvumilia kuitwa mjinga kwa miaka zaidi ya 40.

Mh, kwa hiyo Mmerekani leo amekuwa wa maana? Hizo habari za moshi sijui mvuke unapoteza muda wako na kutumalizia bandwidth maana unaongelea vitu visivyokuwepo.

Tafadhali isome vizuri hii na uielewe. Usikurupuke!

Nasoma vitu ikiwa kuna clear advantage ya kuvisoma, otherwise nawaachia watu wenye akili mdebwedo kama wewe.


Matakwa ya kisilamu nilidhani ni kuhakikisha wanakuwa wanyenyekevu na kumcha Mungu ili wairithi akhera, lakini kumbe sivyo. Pole najielekezea mwenyewe kwa kuelewa uislamu kuliko waislamu wenyewe!


As far as I know most of arranged religions are undemocratic let alone allah!
 
Kwasababu si wizara zote tulizoungana. Kuna baadhi ya wizara huwezi kuajiriwa Bara na ukahamishiwa ZNZ.
 

Zawadi Ngoda
Naomba ujibu hili swali la Mwanafalsafa, maana naona umeliruka kama hujaliona!
 
Mambo ya dini huwa hayanisumbui sana ila naamini pia kuwa toka Kikwete aingia madarakani waislamu wamepewa nafasi nyingi za juu kuliko wakristu....yaani appointments nyingi zilizofanywa kwa kipindi cha hivi karibuni ni za waislamu.

Ila haina tatizo sana kwa kuwa si rahisi kushindana na Kristu...
 
Hebu wasomaji wa JF, angalieni maana sioni point ya kujibu zaidi ya matusi. Mimi sikulelewa hivyo, isitoshe nimetoka kwenye Ramadhani hivi juzi tu.

Tafadhali andika tena point, yako nikujibu vinginevyo unapoteza wakati tu.

Muone dakatari wa akili kwanza akupatie tiba ndipo utanielewa.
 


Sijakuelewa bro,lengo lako ni nini hasa katika hii post?
 

Watu wanadhani dini ni jina. Wanasahau kuwa dini ni imani. Kuna watu tumesoma nao wana majina ya kusomea, wengine walibadili dini na wakabaki na majina yao. Kuna mmoja nakumbuka alikuwa anaitwa NTASHIMIKILO NYANGATA......... Unaweza ukabuni dini yake??? Kwa taarifa yanu alikuwa mkristu. Jamani dini si JINA bali IMANI ya mtu binafsi. Generali Ulimwengu ni wa dini gani..???? Asipokueleza yeye mwenyewe utajuwa..????? ACHENI JAZBA, JADILINI KWA HOJA NA SI MAJINA
 
wenzangu wenye dini na msio na dini,jambo muhimu hapa ni kuenda shule na kujizatiti kufight kiproffesionally,hapa tujione kama watanzania tunaojenga nchi yetu, anyway Sheikh sherriff amechange hope wengi pia watachange!!
 
umesahau kuwa naibu mwingine wa wizara hii anaitwa Gaudensia Kabaka

nafikiri mawazo yako yanaweza kuwa yana ukweli lakini yanaonyesha yanatoka kwa mtu mwenye element za udini,laiti nafasi nyingi za kiserikali katika taasisi zake zote kuanzia wizara mbalimbali,kurugenzi na mamlaka mbalimbali chini ya wizara hizo zingeangaliwa kwa jicho lako hilohilo ulilotumia kuangalia wizara ya elimu ningekuwa miongoni mwa watu ambao wangekupa hongera kwa kufanya utafiti wa mwaka 2009.

toa boriti kwenye jicho lako ndipo utoe kibanzi kwenye jicho la mwenzio the so called biblia takatifu luka 6:41-42 and mathayo 7:15-23
 
Safari ya Jk kuisilimisha nchi itaishia pabaya, it is just a matter of time! Learn from Somalia, Nigeria and elsewere! Lisemwalo lipo na kama halipo linakuja. Kila mara watu wanamtahadharisha kupitia vyombo vya habari kuhusu udini ambao aliuanzisha mwenyewe kupitia Ilani ya Uchaguzi, 2005 hasa alipodai kuwa "atatafuta ufumbuzi wa Mahakama za Kadhi" na baadaye kuuendeleza udini huo kwa kuwapika akina Membe (ambaye sio mbaya kama akianza kuvaa kibaraghashia) wachomekee hoja za OIC bungeni ili kutimiza ndoto yake hiyo ya usilimishaji! Kama angekuwa smart basi angetafuta "kufumbua na kuanzisha Mahakama za Kikatoliki, Kiprotestanti, Kihindu, n.k." Yeye alifikiri kuwa amani ya Tanzania imekuwepo kwa sababu, kama alivyowahi kuropoka Prof. Lipumba, eti "watanzania ni watu wa amani!" Mungu ampe maisha marefu ili aje ashuhudie ubaya wa matunda ya juhudi zake!"
 

Gongagonga na Zawadi, mnajua tofauti ya dini ya mtu na udini?
maelezo yenu ni sumu mbaya sana katika jamii yetu. huku mitaani wakristu na waislamu tunaishi vizuri sana sijui kwa nini mnaandika upupu usio na utafiti wowote ACHENI JAMANI, UDINI TANZANIA HII HAUPO!!!!!
 
mbona mmechelewa sana kujua kuwa serikali inayoongozwa na jk ni ya kidini..mi nlishagundua zamani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…