Udini Wizara ya Elimu

Udini Wizara ya Elimu

Status
Not open for further replies.
Ivi mtu unakuja na data kua asilimia 75% ya wabunge ni Wakristo...tuongee ukweli wabunge si wanachaguliwa na hao wananchi? bora hata ungesema wabunge wa kuteuliwa!!! yaani nashindwa kuelewa wapi credibility ya JF ilipokwenda!
 
Lipumba is right. Watanzania ni watu wa Amani. Nadhani Buchanan wewe ndiyo ambaye huyaangalii mambo kwa umakini na undani wake. Kama sio sisi Watanzania ndiyo watu wa Amani ni mambo mangapi ambayo serikali inatufanyia na hata hatuingii barabarani kutembea kwa amani kuonyesha kutoridhishwa kwetu? Hii ni kwa sababu ya utamaduni wetu, utamaduni wa kutokupenda vurugu na vita. Hii hailetwi na siasa au chama cha siasa, ni tabia yetu Watanzania, sisi watu wa amani jamani. Imagine watu wa Bulyanhulu walivyofukiwa, watu wa Nyamongo walivyokuwa exposed na maji machafu, watu wa Loliondo walivyochomewa nyumba zao, bei ya umeme kupanda kwa asilima 4 (3 ya REA and 1 ya EWURA), serikali kuongeza kodi kwenye mafuta na wageni kusamehewa (katika kila lita 1 ya petroli au diesel tunalipa fuel levy (road levy) Tshs200/= wakati waharibifu wa kubwa wa barabara mining componies wanalipa USD200000/= kwa mwaka ambay ni sawasawa na lita kama 1mill, wakati matumizi yao kwa mwezi ni zaidi ya lita 10million), etc,etc. Zote hizi hatujawahi kupiga kelele. Mafuta bei yake juu, lakini kodi kwa serikali na taasisi zake ni karibu shs700 kwa lita isipokuw kwenye mafuta taa tu ambayo ni shs52 kwa lita. Kwa ujumla wake hatupendi vurugu na ndiyo maana tumekaa kimya mpaka sasa... La sivyo "Niger Delta" ni cha mtoto.
 
Lipumba is right. Watanzania ni watu wa Amani.

kuna amani au uoga tu ndio maana bado tunaibiwa tu na hawa mafisadi.
kuna amani gani ikiwa mimi nakosa dawa hospitali na ninajua aliyekula pesa ya kununulia dawa hizo na sina cha kumfanya,
kuna amani gani ikiwa mimi na mifugo yangu tunatumia maji yenye sunu na aliyetiririsha sumu hiyo mtoni namjua na siwezi kumfanya kitu,
kuna amani gani ikiwa mwanangu anakosa kiti cha kukalia shuleni[kama shule ipo]na ilhali najua serikali bado inanunua mashangingi ya anasa ambayo hayana tija,na siwezi kufanya kitu,
mifano ipo mingi ya uonevu tunaofanyiwa wananchi lakini hatufanyi kitu sio kwa sababu tumeridhika,bali tunaogopa tu
 
Amani ya Tanzania kwa kiasi kikubwa imeletwa na waislam kwa kuvumilia na kutolalamikia hilo..

Do you seriously mean to say Muslims "call the shots" when it comes to keeping peace and tranquility in Tanzania? Hebu fafanua hii kauli yako.

Vinginevyo hakuna aliyewalazimisha "kuleta amani". Nyie fanyeni fujo na ugaidi wenu mnaofundishwa misikitini halafu muone.

Watu wengi tunasubiri sababu ya kuwakong'oli vilivyo kama yaliyotokea Mwembechai. Nadhani hilo la Mwembechai lilikuwa somo kubwa sana kwenu maana hamuishi kuimba "Mauaji ya Mwembechai" "Mwembechai hiki" "Mwembechai kile" kwenye kila jukwaa.
 
ufuatao katika Bunge:
"Fr. Peter Smith (1992) acknowledges that Muslims lag far behind in education. A similar observation is made by Professor Malekela (1993:26). Malekela (1983) found that 78.5 per cent of secondary students were Christian and only 18.6 per cent Muslim. Likewise the 1994 US Report on Human Rights in Tanzania acknowledges the significant disadvantages facing Muslims in education and employment. It also notes the existence of widespread Muslim resentment in the country. More importantly however, the Report says religious imbalances in Tanzania are a result of historical circumstances rather than deliberate discrimination (US Department of State, 1995). .​


Huwa napata kichefuchefu kumwona mwislamu wenye elimu ngau ya kuweza kusurf kutojitambua na kutoeleza tatizo ni nini?

1. Watoto wa kiislam huwa wanashinda wapi? madrasa au chekechea?
2. Shule ngapi za kiislam zinafanya vizuri kwenye elimu ya secondari hapa tz?
3. Je waarabu waliowaletea dini walianzisha shule ngapi? au walichukua tu watumwa na kuwaachia mzigo wa dini? kulinganisha na wazungu walioanzisha seminary kibao
4. Mbona seminary za kikristo haziko strictly kuwa nani asome hizo shule na ndio maana leo tuna viongozi wengi wa kiislamu waliosoma seminary?
5. Kuna vyuko vikuu vingapi vya kiislam na wanafundisha nini? vyuo vya kikristo wanafundisha elimu sawa na UDSM, Mzumbe n.k, chuo kimoja cha kiislam kinafundisha islamic law!!!

Sasa ikiwa wewe mwenye elimu ngau ya kusurf na kupost maoni yako HUTAKAA NA KUSEMA , NDUGU ZANGU WAISLAMU TATIZO NI SISI!!​

HATA KAMA LEO MKAPEWA UONGOZI WOOOTE NA NGAZI ZOTE HAPA NCHINI, KATIKA REAL WORLD YA GLBALISATION AND COMPETITION BADO HAMTAWEZA KU-COMPETE, HII ITAWAFANYA MUWE VIONGOZI MKIONGOZWA NA WENYE ELIMU!!!​

GLOBAL STAGE HAINA UDINI, INA FACTS, INA WHAT YOU CAN DO, HII SIRI MKIELEZANA NDIO MTAAMKA TUTAONA SHULE ZENU ZINAN'GAA NA SIO KUWA CHAFU NA ZINAZOTAPISHA KAMA HIVI SASA!​

UNAFIKIRI NINI KWA MZAZI WA KIISLAM KUMPELEKA MTOTO WAKE SHULE ANAYOJUA MWAKA JANA ILIKUWA YA MWISHO! HAPA HAKUNA KITU NI UJINGA TU!!!!!!!!​
 
du......noma lakini haya yapo pamoja na kwamba tunasema nchi haina udini wala ukabila......msisahau ukabila upo kwa kiasi kikubwa kuliko hata udini...............wachaga idara zote za fedha na mashirika nyeti wameshikilia na hagusi mtu hata kama una sifa.................data tunazo tukiamua tutazimwaga ili ijulikane....................
Mkuu kama ulivyosema hiyo ilikuwa ni zamani siku hizi, anafanya huyu bwana peke yake. Huo ni mkakati maalumu ulioratibiwa vizuri sana wala hakuna bahati mbaya. Na wahitimu wote inahakikishwa wanapata kazi serikalini. Fanya utafiti katika miaka mitano iliyopita utaona 90% ya graduates waislamu wa vyuo vikuu wamepata kazi serikalini. Wakikosa huko basi kuna mashirika yafuatayo yatawachukua. Huko sifa ya kwanza lazima uwe mwislamu
1. NSSF ya Ramadhan Dau
2. TANESCO ya Idrissa
3. TTCL ya yule kijana injia alikuwas acting CEO na sasa huyu Mzenji
 
huko mtaani kwako either hakuna wenye kufuatilia mambo inawezekana ni wale wa simba na yanga au hawana mwamko kabisa na upeo wa jinsi nchi yao inavyoendeshwa.....ukisema hamna udini unakufuru.....waislau na wakristo kuishi vizuri haina maana kuwa udini haupo ila ni ustahilivu wa watz walionao..........................
Gongagonga na Zawadi, mnajua tofauti ya dini ya mtu na udini?
maelezo yenu ni sumu mbaya sana katika jamii yetu. huku mitaani wakristu na waislamu tunaishi vizuri sana sijui kwa nini mnaandika upupu usio na utafiti wowote ACHENI JAMANI, UDINI TANZANIA HII HAUPO!!!!!
 
hali halisi ni kuwa waislamu wanashinda kwenye madarasa hivyo inashangaza kuona watu wanaokimbia shule wanakuwa wa kwanza kupata ajira....................
Kanda2
Hiki ni kituko! Unaweza kuniambia umejuaje kwamba hao waliokuwa shortlisted ni wakristo? Au kwa kuwa hawaitwi akina Mohammed, Athuman, Khamis, Ahmed, Zainab, Aziza, etc?!! Kwanini usifikiri kuwa ni waislamu au wapagani wasioamini hizo dini mbili (ukristo na uislam)? Nina rafiki zangu wengi wenye majina ya "kizungu" (English names) na wenye majina ya kiarabu (Arabic names) ambao ni Atheists, kwa watu kama utakuwa hujawatendea haki kuwapandikizia dini wasizoamini kama ulivyofanya hapo juu! Nafikiri ni vema ukaomba radhi kwani naamini kwa 100% hauwajui hao watu na ulichofanya ni kinyume na misingi ya dini yoyote unayoamini wewe!
 
This is very low to be discussed in this way by JF members...the so called ''Great thinkers''
 
Nafikiri sote ni watanzania, hatuhitaji kutambuana kwa dini. Iweje leo akipata Muislam iwe nongwa? Kama kuna kukiukwa kwa kanuni basi ziwekwe wazi. Ilani ilitengenezwa na CCM (Angalia orodha ya waliotengeneza tena wakati mwenyekiti ni Rais Mstaafu Benjamin Mkapa) Nahisi kuna kuoza kiasi kwa kiasi fulani kwa mawazo yetu. Hivi huyu Gaudensia Kabaka yupo wizara gani?
 
kama unazo toa hizo data acha kunongona kijahidina.Hatutaki kuteta tunataka kuweka nchi yetu vizuri.
 
du......noma lakini haya yapo pamoja na kwamba tunasema nchi haina udini wala ukabila......msisahau ukabila upo kwa kiasi kikubwa kuliko hata udini...............wachaga idara zote za fedha na mashirika nyeti wameshikilia na hagusi mtu hata kama una sifa.................data tunazo tukiamua tutazimwaga ili ijulikane....................
Bora umeyasema wewe, maana tungeyasema wengine wangesema unaona huyu mtu ni matatizo matupu. Na ndio maana huko nyuma niligusia suala la wanawake.

Samahani, nilikuwa msikitini. Sasa nimerudi na nitajibu hoja zenu haraka iwezekanavyo.

Matatizo yetu ni mengi katika hili, tokea Jinsia, ukabila, dini na walemavu (ikiwa pamoja na Albino). Yanayotokea kwa Albino hivi sasa si mageni. Tatizo hatujayapa kipao mbele matatizo yahusuyo makundi yanayoonekana kuachwa na gari moshi. Tukiyaangalia haya ndio tunawezaq kujivuna na Amani iliyopo, kuwa ni ya kudumu.

Tatizo lililopo sasa hivi, ukizitoa hizo takwimu utaitwa mara una ukabila mara una udini n.k. Na hutakuta hata siku moja watu wenye kuaminika humu JF kutoa hizo takwimu. Eti watakwambia hazipo. Alikueleza nani? Takwimu zipo lakini zinaleta aibu ndugu zanguni. Na ni lazima tuziseme na kuzishughulikia.

Tuna shiria la takwimu la serikali linazo hizo takwimu, ila zinauzwa ili waweze kujiendeleza. Ukitaka nenda huko utapata takwimu zote. Hakuna ugumu wowote ule wa kujua eti wizara ya elimu ina wafanya kazi wangapi, na kati yao wakristo ni wangapi na wislamu ni wangapi. Mwaka 2001 walipitisha sensa jeshini, na kujua ni makabila gani yanaongoza kwa wingi huko.

Intergration, Tanzania imefeli, na tukitaka kuondoa udini na ukabila ni lazima tuimarishe kitengo hiki.
 
Gongagonga na Zawadi, mnajua tofauti ya dini ya mtu na udini?
maelezo yenu ni sumu mbaya sana katika jamii yetu. huku mitaani wakristu na waislamu tunaishi vizuri sana sijui kwa nini mnaandika upupu usio na utafiti wowote ACHENI JAMANI, UDINI TANZANIA HII HAUPO!!!!!
Muulize muanzishaji wa THREAD HII hilo swali.
 
Huyu JK ni kuhakikisha hapiti mwakani! Kwanza huko Ikulu naona ame-overstay! Wakristo tukimwongezea JK miaka mingine mitano tumeliwa, huyu ni Rais wa waislamu pekee, ndio maana ameyaweka mambo ya kiislamu kwenye Ilani ya Uchaguzi, 2005, ameruhusu mijadala ya Kadhi na OIC bungeni na hatimaye kuamua kuunda Mahakama za Kadhi! Mpaka hapo hamjashtuka tunapelekwa wapi? Oh, wake up pls!

Nakupa heko Bwana Buchaman;

Sio kwamba umetoa hoja nzuri, La , bali kwa kuwa umeacha unafiki na kuwa mkweli kuonyesha hisia zako.

Watu wengi hapa wanazunguka huku na huko wanajifaragua wanaleta post za kizushi, zisizo na mantiki, utasikia upendeleo, mara udini, mara tunasilimishwa!!! yote hao Halasi, upuuzi mtupu.

Kinachowakera watu kwa nini JK muislam ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sasa bora wewe umesema wazi kuwa hicho ndo kinachokukera!!!, Looh! kweli wagalatia mna matatizo makubwa ya Udini na ubaguzi.

Tunachushukuru ni kwamba haya yote mnayoyafanya matuzidishia imani na nguvu katika dini yetu kwani haya kwetu mungu alikwishatubainishia kuwa mtafanya haya, kinachotokea ni kutimia kwa Andiko.

JK mungu akupe nguvu, afya, na hekima tele uendelee kuingoza tanzania. Simama thabiti katika haki hata kama makafiri watachukia.

JK 2010 atapeta kwa kishindo, hata mkisambaza nyaraka millioni 40. Kanisa kamwe hamtatawala tena nchi hii.
 
Inashangaza sana jinsi mambo mengi yalivyobadilika hapa JF. JF ilivyo sasa ni tofauti kabisa na tulivyokuwa enzi zile za Jamboforums, at least wakati ule tuliweza kujadili mambo na serikali ikastuka na kuyafanyia kazi baadhi ya mambo. Hali ni tofauti kabisa siku za karibuni, siku hizi JF ni upupu kwa kwenda mbele na baadhi ya wanachama makini wanaanza kuchoshwa taratibu na mwenendo huu.Inasikitisha.

Kuna miito kadhaa imetolewa na baadhi yha watu kuwa kuna watu wametumwa kuihujumu JF kwa michango yao ilojaa udini na total lack of commonsense or/and logic, tena kwa kusudi kabisa, watu hao wanajulikana na wengi wao wamejiunga mwaka huu 2009 na malengo yao yanajulikana. Kwa upande mwingine wa sarafu mimi nadhani hata dawati la moderation limeingiliwa. Na watu wengi walisha-highlight mapungufu na hakuna jibu linalotolewa na hakuna hatua inachukuliwa. Binafsi nilisha highlight hapa tatizo la kukwanyua posts za watu baselessly. Sikupata response yeyote badala yake huyu mod nguli Painkiller kwa akili zake zisizo na commonsense zinavyoimtuma akaamua kuifunga thread! Na kwa bahati mbaya kwenye hii thread posts zangu kadhaa zimeondoshwa. Kufuatia uhuni huu na hujma za kijinga zinazofanyika humu JF zinanikumbusha kutumia muda wangu vizuri badala ya kuwa part of this mockery 'great thinking'.
 
Acheni kuzungumza upumbavu......njooni na data hapa.
Ni wanafunzi wangapi wamepata schorlaships??????na kati yao hao
wangapi ni waislamu????????
Unataka data.Angalia tovuti ya bodi ya mikomo.cheki list ya overseas students wanaopata scholarships zinazoratibiwa na wizara ya elimu ya nchi za.CHINA,Algeria, Urusi, India, Cuba, Australia,nk.utapata jibu.
 
Acheni kuzungumza upumbavu......njooni na data hapa.
Ni wanafunzi wangapi wamepata schorlaships??????na kati yao hao
wangapi ni waislamu????????
jamani ukiona watu wanaanza kuzungumzia jambo hili ujue ni karibuni tu tutaka mwalimu arudi ili kutufundisha uzalendo. nakumbuka miaka yote waislamu ndo walikuwa wanalalamika kunyimwa fursa. nasi tuliwapa majina mbalimbali. leo sie wenyewe tunakula matapishi yetu,...ni aibu. salva aliandika makala nzima akiwa rai kuonyesha udini wa jk katk kuchagua mabalozi na mawaziri. hii inaweza kuleta dhana mbaya kwamba alhaji hafai kuongoza wizara hata akiwa profesa. acheni hizo..
 
Wizara ya Elimu inayoongozwa na Alhaj Jumanne Maghembe (MB) akisaidiwa na Hajjat Mwantum Mahiza (MB) hivi karibuni kumekuwa na malalamiko ya upendeleo hususan katika ugawaji wa Scholarship za kwenda kusoma nje. Katibu mkuu wa wizara hii ni Alhaj Khamis Dihenga

Jamaa yangu wa karibu wizarani kanitonya kuwa jamaa wana mkakati wa kusomesha vijana wao wengi iwezekanavyo eti wameonewa sana na sasa ni zamu yao.

Kimsingi hakuna tatizo waislamu kupata nafasi hizo, lakini hata kama kuna mkristo kazidi sifa bado anakatwa ili nafasi apewe muislamu hapo ndio tatizo langu lilipo.

Jamani hili taifa lnakwenda wapi sasa haya mambo kwa si ya kuya zarau kuna njama za kuisilimisha nchi hii.

Mimi namshangaa JK iweje wizara moja aweke waislamu watupu? kuna kitu kinapikwa hapa tuwe macho
no data no right to speak...hivi ktk baraza la mawaziri waislamu ni wangapi? watendaji wa serikali ni wangapi waislamu? wakuu wa miko? wakuu wa wilaya? haya ni mawazo mgando tukianza kutazamana kwa dini zetu...watu nyie ni hatari sana kwa maisha ya duniani...
 
Wagalatia ni watu hatari sana hapa Tanzania. Kila kitu wapewe wao na akipewa mwingine basi nongwa.

Tunataka haki zetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom