Udini Wizara ya Elimu

Udini Wizara ya Elimu

Status
Not open for further replies.
Wakuu nasikia na huko NSSF kwa dau ni juzi tu waliajiriwa wafanyakazi 23 nasikia 20 kati yao walikuwa waislamu.Afadhali na huko Elimu kwa NSSF ni balaaa.Nasikia jengo zima makao makuu ni salam haleikum tuu.Huyo dau aombewe asipate kazi sehemu nyingine kwani atapanda udini huko>
 
Muongo na Mnafiki wewe mkubwa katika taasisi zenye Transparancy ya ajira ni NSSF ukiomba unaitwa kwenye INTERVIEW inaitwa kwenye Ukumbi unaletwa mtihani wa written ukipita hapo unaenda kwenye ORAL.

huu wa written unasimamiwa na watu wasomi kama kutoka Chuo kikuu cha Dar-es-Salaam.ni Shirika pekee ambalo atleast kila aombaye kazi anapata nafasi ya kusikilizwa au kuonwa uwezo wake kwanza kwa maandishi halafu Oral.naomba data za hao watu 23 ilikuwa lini na wapi ilifanyika INTERVIEW hiyo?huwezi kujiwekea post tu hapa kwa chuki zako za kidini.

UTARATIBU HUU ULITAKIWA TAASISI ZOTE ZIIGE ILI WATU WAONESHE UWEZO WAO.
 
kuna amani au uoga tu ndio maana bado tunaibiwa tu na hawa mafisadi.
kuna amani gani ikiwa mimi nakosa dawa hospitali na ninajua aliyekula pesa ya kununulia dawa hizo na sina cha kumfanya,
kuna amani gani ikiwa mimi na mifugo yangu tunatumia maji yenye sunu na aliyetiririsha sumu hiyo mtoni namjua na siwezi kumfanya kitu,
kuna amani gani ikiwa mwanangu anakosa kiti cha kukalia shuleni[kama shule ipo]na ilhali najua serikali bado inanunua mashangingi ya anasa ambayo hayana tija,na siwezi kufanya kitu,
mifano ipo mingi ya uonevu tunaofanyiwa wananchi lakini hatufanyi kitu sio kwa sababu tumeridhika,bali tunaogopa tu
Kama umenisoma vizuri ndiyo maana nimesema tuna amani na ni tabia yetu..kwani pamoja na shuruba na taabu zote hizi bado hatuchachamai kuonyesha kutoridhishwa kwetu, na ndiyo maana nasema sisi ni watu wa Amani kwani pamoja na mabaya yote tunayofanyiwa tumekaa kimyaaaa!!! sasa kama si utamaduni wa Amani ni nini? Lakini naamina ipo siku watu watasema it is enough!!!!
 
Hesabu mwenyewe na utupe hesabu. Kumbuka 75% niliandika ni wabunge wakristo wa TZ bara. Nilifanya hivyo kwa sababu wao wana ZEC Nasi tuna yetu. Zingatia kuwa nilangalia Wabunge na sio baraza la wawakilishi.
Sema kati ya Wabunge wa kuteuliwa Wakristo wangapi na Waislamu wangapi? Hawa wenye majimbo, ni wananchi wamewachagua hivyo hakuna biasness hapo na hakuna haja ya kukoment.
 
The guys are serious in business and they want us to believe that there is nothing going wrong. Something is not well here,we have to be alert.
 
Muongo na Mnafiki wewe mkubwa katika taasisi zenye Transparancy ya ajira ni NSSF ukiomba unaitwa kwenye INTERVIEW inaitwa kwenye Ukumbi unaletwa mtihani wa written ukipita hapo unaenda kwenye ORAL.

huu wa written unasimamiwa na watu wasomi kama kutoka Chuo kikuu cha Dar-es-Salaam.ni Shirika pekee ambalo atleast kila aombaye kazi anapata nafasi ya kusikilizwa au kuonwa uwezo wake kwanza kwa maandishi halafu Oral.naomba data za hao watu 23 ilikuwa lini na wapi ilifanyika INTERVIEW hiyo?huwezi kujiwekea post tu hapa kwa chuki zako za kidini.

UTARATIBU HUU ULITAKIWA TAASISI ZOTE ZIIGE ILI WATU WAONESHE UWEZO WAO.

wewe ni kama nani?
 
Udini ulioko NSSF haujawahi kutokea TZ, huko ni bandika bandua. Dau ni kiboko ya maneno. Nadhani analipa fadhila maana hata yeye licha ya kuwa msomi- ni Kitwana Kondo alimpeleka kwa Rais wakati ho kuwa mnasema waislamu hatujasoma haya huyu hapa amesoma ndo akapata huo U MD wa NSSF. Kwa hiyo anapanda udini ile mbaya- hata productivity imepungua sana maana yeye aangalia udini kabla ya sifa zingine.

Angalia Dr Idrisa alipokuwa ACB alikuwa kila siku analeta vimemo vya kuaajiri waislamu tu, leo anasema tupunguze wafanyakazi kesho yake analeta majina ya waisalmu kutaka waajiriwe. Hawa DRs wanatisha. Kanda 2 analijua sana ila anabisha tu, ningemuona mkweli kama angekubali kuwa ni kweli ila vigezo vinazingatiwa.

Fanya utafiti katika nafasi za chini TANESCO wauzaji wa LUKU wengi ni waislamu ni ajali au ni makusudi?
 
wakatoliki acheni kulalama. Mbona nyie mlibebwa enzi ya Nyerere na wengine hawasemi.

Kutesa kwa zamu.
 
Mimi nauliza huvi mbona mleta mada haji hapa kujibu hoja, watu wanabishana yeye kakaa kimya huko, ameuwasha moto then anashindwa kuuzima. Hebu tufanye mambo yenye maana udini hauna maana jamani. Tumeishi miaka mingi bila mitafaruku. Watu walivumilana kwa nini kipindi hiki. Kwani huko kwenye scholarship si pia huwa wanaangalia vigezo? Sasa anajuaje kama hao wengine hawakuwa na vigezo na waliopata wanavigezo? Tubadilike jamani tusihi kwa amani, upendo na utulivu kama zamani
 
Mwisho wa JK n mmbaya.Hakemei jamii na udini ulokubuhu.Ingekuwa waislamu ndo wa kwanza kutoa waraka wao nadhani angeshangilia ila kwa kuwa ni wa wakristu basi anataka wakae wazungumze.Ni upuuzi wakati yeye ndo aloshindwa kuthibibi wimbi kuu la udini na yeye ndo anapandikiza udini kila pembe.Ashindwe kwa jina la yesu
 
Hao wasomo walopewa kazi ya kusaili nao walikuwa waisilamu(Dr. Assad) unategemea nini na huenda walipewa maswali na majibu kabla.Hawa waislamu Kina dau wanajulikana hata walipokuwa UDSM walikuwa wanawapa wanafunzi waislamu maswali na kina kapuya>chuo cha morogoro ndo balaa wanataka kila mtu atoke na first class!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wana Jf mbona hawo akina nani sasa wanaona uchungu eti wizara ya elimu ina bagua dini, walikuwa wapi enzi za akina Bwana mgonja na wengine shule nyingi zilijengwa kwa akina wakiristo, scholoarship kwa akian hao tu hata wizara ya fedha ilitawaliwa na akina hao infact wizara na tasisi zote za serikali zilikuwa chini yao, hata leo temeblea wizara zote ana tasisi zote hususan TRA wenye cheo na nafisi nyeti ni wakina hao, kama muislamu ana nafisa hapo bisi yeye ni mesaja au cleaner.Haya wanajamii je huu ni haki?

I can prove you wrong in most points(I say points and not facts for a purpose). So I just ask you one question. Do you stand by your words 100%? Ili nikipangua points zako na kukuonyesha ume exaggerate usizuge.
 
Hold on kwanza Diva. Hapa you are getting emotional. Una ushahidi gani watu wanadhani muislamu hawezi kuongoza? Je Mkullo ni kihio or not? Na je viongozi wanao tuhumiwa kuwa na elimu feki ni wakiislamu pekee? Una taka kusema hakuna viongozi wa Kikristo ambao elimu zao zime hojiwa?

Mwanafalsafa, nimekuwa nikiangalia strings za attack against Muslim leaders nikaikuta na hiyo ya Mkullo. Inawezekana nimekuwa bit emotional. Kilichonishangaza ni mtu kudai eti Mkullo hana Bachelor degree so hawezi kupata MBA... Sikuamini kama mtu anaweza kusema kitu kama hicho. Sikuamini kuwa kuna watu wanadhani kigezo cha kupata MBA au shahada ya pili yeyote ni bachelor tuu. Nilidhani ni selective argument kumbagua Mkullo kama anavyoandamwa Dr Dau na sasa Maghembe na Dihenga. Wanaitwa hata alhaji na ilhali hawajaenda Hijja ( just to prove a certain unsound argument)... Anyway, back to Mkullo, amefanya ACCA papers akamalizia na CPA. ACCA ni professional qualification inaheshima Uingereza na duniani ya Uhasibu, nazo ndizo zilimpa njia ya kufanya MBA. Kw hiyo sio kihiyo. Wapo wataalamu wazuri tu wa uhasibu (na fani zingine) wa njia hiyo TZ na duniani...
 
Hivi haya mawazo finyu ya UDINIyanatoka wapi watanzania wenzangu????Hivi kwa nini kama watu wa dini moja wana uwezo na wana sifa za kufanya kazi na ni waadilifu wasipewe hiyo kazi???
 
This did not just happen by chance, it was deliberate! Yaani waislam kukaa wizara moja namna hii msije mkadhani ni random selection, huu ni mpango mahsusi.

Sijafanya uchunguzi kuona kama pia kuna Wakristo katika wizara nyingine, yawezekana wapo lakini haitakuwa nyeti. Watakuwa wamewekwa kwa lengo la ku-counter, kama jibu la kujihami siku Wakristo wakilalamika waislam kukaa wizara ya elimu, lakini kimsingi wizara watakayopewa (kama ipo) haitakuwa na maslahi ya moja kwa moja kwa kikundi au mtu kama ilivyo wizara ya elimu.

Kikwete anacheza! Umwinyi wao ndio uliowafanya wasipeleke watoto shule na siyo Wakristo waliowazuia. Wamshukuru sana Nyerere (Mkristo)kwa kuamua kutaifisha shule za makanisa na kuzifanya za serikali vinginevyo leo tungekuwa tunampata mmoja katika ishirini.

Wafanye lolote lakini wajue Yesu ni Mungu na kamwe hajawahi kushindwa vita!
 
Hao wasomo walopewa kazi ya kusaili nao walikuwa waisilamu(Dr. Assad) unategemea nini na huenda walipewa maswali na majibu kabla.Hawa waislamu Kina dau wanajulikana hata walipokuwa UDSM walikuwa wanawapa wanafunzi waislamu maswali na kina kapuya>chuo cha morogoro ndo balaa wanataka kila mtu atoke na first class!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

ULITAKA APEWE CHIJORIGA AMBAYE Mkristu mwenzako NUNGWI alileta habari hapa hapa JF kuwa Chijoriga alipata digrii yake kwa kuvua chupi.pitia mjadala wa Mzumbe na malecturer feki.Nungwi aliweka wazi kila kitu cha Chijoriga.DR.Assad ni katika wasomi wachache Tanzania imebahatika kuwa nao.inaoneka wewe uko NSSF ukiwa na chuki na bosi wako DR.DAU(phD).kama kazi imekushinda nenda ukafanye kazi kwa Kakobe.
 
Last edited:
This did not just happen by chance, it was deliberate! Yaani waislam kukaa wizara moja namna hii msije mkadhani ni random selection, huu ni mpango mahsusi.

Sijafanya uchunguzi kuona kama pia kuna Wakristo katika wizara nyingine, yawezekana wapo lakini haitakuwa nyeti. Watakuwa wamewekwa kwa lengo la ku-counter, kama jibu la kujihami siku Wakristo wakilalamika waislam kukaa wizara ya elimu, lakini kimsingi wizara watakayopewa (kama ipo) haitakuwa na maslahi ya moja kwa moja kwa kikundi au mtu kama ilivyo wizara ya elimu.

Kikwete anacheza! Umwinyi wao ndio uliowafanya wasipeleke watoto shule na siyo Wakristo waliowazuia. Wamshukuru sana Nyerere (Mkristo)kwa kuamua kutaifisha shule za makanisa na kuzifanya za serikali vinginevyo leo tungekuwa tunampata mmoja katika ishirini.

Wafanye lolote lakini wajue Yesu ni Mungu na kamwe hajawahi kushindwa vita!
ANZA NA OFISI YA WAZIRI MKUU.MIZENGO PINDA,AKISAIDIWA NA WAZIRI PHILIPH MALMO-BUNGE,TAMISEMI YUKO KOMBANI,AKISAIDIWA NA NAIBU WAZIRI TAMISEMI-MWANRY katibu mkuu na naibu katibu mkuu wakristu.katibu wa bunge Mkristu.
 
Mwanafalsafa, nimekuwa nikiangalia strings za attack against Muslim leaders nikaikuta na hiyo ya Mkullo. Inawezekana nimekuwa bit emotional. Kilichonishangaza ni mtu kudai eti Mkullo hana Bachelor degree so hawezi kupata MBA... Sikuamini kama mtu anaweza kusema kitu kama hicho. Sikuamini kuwa kuna watu wanadhani kigezo cha kupata MBA au shahada ya pili yeyote ni bachelor tuu. Nilidhani ni selective argument kumbagua Mkullo kama anavyoandamwa Dr Dau na sasa Maghembe na Dihenga. Wanaitwa hata alhaji na ilhali hawajaenda Hijja ( just to prove a certain unsound argument)... Anyway, back to Mkullo, amefanya ACCA papers akamalizia na CPA. ACCA ni professional qualification inaheshima Uingereza na duniani ya Uhasibu, nazo ndizo zilimpa njia ya kufanya MBA. Kw hiyo sio kihiyo. Wapo wataalamu wazuri tu wa uhasibu (na fani zingine) wa njia hiyo TZ na duniani...

Salva RWEYEMAMU hana digrii ana masters ya Mass Media.aliyekuwa waziri mkuu Sumaye ana masters lakini hana Digri.
KITUKO ZAIDI Mbunge Martha Mlata kidato cha nne ana masters.ACCA ni zaidi ya MBA.MKULO kaikamata 1974.
 
Wakuu nasikia na huko NSSF kwa dau ni juzi tu waliajiriwa wafanyakazi 23 nasikia 20 kati yao walikuwa waislamu.Afadhali na huko Elimu kwa NSSF ni balaaa.Nasikia jengo zima makao makuu ni salam haleikum tuu.Huyo dau aombewe asipate kazi sehemu nyingine kwani atapanda udini huko>

usituletee unafiki wa kusikia, njoo na ushahidi.hapa sio mahala pa kuleta udaku njoo na facts.Julius Nyaisanga,Charles Hillary n.k wakianza kutangaza redioni waanza na Assalam Alaikhum ndugu wapenzi wasikiliza.waambie waanze na Haleluya.ushindwe na ulegee mzushi wee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom