this did not just happen by chance, it was deliberate! Yaani waislam kukaa wizara moja namna hii msije mkadhani ni random selection, huu ni mpango mahsusi.
sijafanya uchunguzi kuona kama pia kuna wakristo katika wizara nyingine, yawezekana wapo lakini haitakuwa nyeti. Watakuwa wamewekwa kwa lengo la ku-counter, kama jibu la kujihami siku wakristo wakilalamika waislam kukaa wizara ya elimu, lakini kimsingi wizara watakayopewa (kama ipo) haitakuwa na maslahi ya moja kwa moja kwa kikundi au mtu kama ilivyo wizara ya elimu.
Kikwete anacheza! Umwinyi wao ndio uliowafanya wasipeleke watoto shule na siyo wakristo waliowazuia. Wamshukuru sana nyerere (mkristo)kwa kuamua kutaifisha shule za makanisa na kuzifanya za serikali vinginevyo leo tungekuwa tunampata mmoja katika ishirini.
wafanye lolote lakini wajue yesu ni mungu na kamwe hajawahi kushindwa vita!
no research no right to speak!!. Kama hujafanya uchunguzi kwanini ulalame?again umesema yesu hajawahi kushindwa vita, mbona alisubiwa msalabani kwa imani yako?kama yeye ni mungu alishindwa kuzivuia viumbe vyake visimsulubu?mungu gani anasalimu amri kwa wanadamu? Soma vizuri biblia.