Udini Wizara ya Elimu

Status
Not open for further replies.

no research no right to speak!!. Kama hujafanya uchunguzi kwanini ulalame?again umesema yesu hajawahi kushindwa vita, mbona alisubiwa msalabani kwa imani yako?kama yeye ni mungu alishindwa kuzivuia viumbe vyake visimsulubu?mungu gani anasalimu amri kwa wanadamu? Soma vizuri biblia.
 
Ukweli ni kwamba uwezo wa kuongoza haungalii kama wewe ni dini gani unless unatumia dini kuongoza ama hata ufanisi wa kazi,kuwa well qualified kwa kazi ama uongozi haakuangalii ni dini gani,hio si mojawapo ya qualifications certainly kwenye process ya kupima ufanisi... Mambo mengine umeelezea vyema tu isipokuwa ungekuwa neutral ingekuwa vyema zaidi...Kauli kama hizo unazochomekea ndio zinazidisha chuki za kidini.
 

Pia mjombwa wangu anaitwa Shaaban Mwizarubi, je ni Mwislamu? Watoto wa mdogo wangu wanaitwa: Avelina (Mkristo), Immaculate (Non-Christian), Dave (non-Christian), Telesphor (non-Christian), Blandina (non-Christian), Agnes (non-Christian), Geogrey (non-Christian), Clavery (non-Christian). NB: All these names are Christian but not all name bearers are Christians! For instance, among the eight children (above), only one is a Christian!
 
Acheni ushamba na upofu b4 akina membe walikuwa wakiongoza wakiristo wengi wengi 2,ila waislamu wali2lia hakuna aliyesema ubaguzi wa dini coz sifa za kuongoza walikua nazo though walifanya upendeleo kwa saana 2 mpaka wa2 wakaamini dat waislamu wako nyuma kielimu bt sasa wako muslims mnapiga domo MNACHOTAKA MPEWE NINYI FAVOUR ZA BURE, hiko kitu HAkUNA! Mwenye sifa na vigezo ndoatapewa hata mkiwa ninyi ni wengi o cc,mbona last year waliopata scholarshp wengi ni christians mlickia muslimz wakileta mambo ya ajabu? ACHENI KUCHOCHEA VURUNGU MNACHOTAKA HASA NI NINI? KUWENI WAZI MSIPITIE VICHOCHOroni
na jakaya anatimiza wajibu wake kama raisi hii ni serikali ya kidemokrasia wananchi wanatakiwa kupewa haki zao za msingi mojawap ni haki katika kuabudu,xo mahakama ya kadhi ni katk haki ye2 ya msng n co udini kama msemavyo,je unataka 2cpewe haki yetu?, then NINYI NDIO WENYE UDINI.
 
hayajaanza leo.... sisi tulikosa sholarship wakati Bilal ni KM elimu ya juu

hapo hujarudi kwenye historia ya tanzania ambapo tuna marais watano ( Joni woKa, Bilali, Sefu, Sheni, nk), na wote ni waislamu, ingetokea hivi kwa wakristu, basi wazee wa uamsho wangekua wanakunya kwenye vip-left kwa protests

Ujinga mtupu nchi yetu............. and nionavyo mimi tunazaa a very bad gap simply because of weak and myopic leaders
 
Hii thread ni 2009 jamani watu wameifufua tena kweli udini umezidi sasa
 
Nataka cku nione zanzibar rais ni mkristo.co kila wakati wao 2.
 
Dini ni imani uliyonayo moyoni na sio iliyopo mdomoni!Mtu mwenye dini kikwelikweli moyoni,mdomo wake siku zote ni wa kujenga!Mtu ambaye anashabikia udini mdomoni,moyoni hamna kitu!Kwa nini tutenganishwe na dini?Mimi leo nikiingia kanisani,wewe msikitini na kesho tukijenga nchi kuna ubaya gani?Tuache kupandikiza chuki kwa vizazi vijavyo,nadhani mnaiona Nigeria ilivyo sasa!TUNAJENGA NYUMBA MOJA,YA NINI KUGOMBEA FITO.
 
Upuuzi wa NSSF umehamia Wizara ya Elimu tena!!! Anyway ngoja tuone sinema hii mpya sijui itaishia wapi manake sterling bado anakomaa usiku na mchana.
 
hakuna siri kuwa mkakati uliopo ni kuhakikisha nchi inasilimishwa bila watu kujua. Nchi hii ni kama kokoro kubwa ambalo wavuvi wamekaa pande mbili za kokoro. Wanalivuta polepole kuelekea kwenye nchi ya kidini ili siku moja iweze kuendeshwa kwa mujibu wa sharia za mtume. Ila wabongo hususan christian are merely sleeping while their colleagues are working in a positive direction to their religion. Waislamu tuishi kitanzania tuache mambo ya dini . Muache hiyo roho mbaya. Tuache uhuru tuliuufurahia miaka 50 iliyopita. Kuamini na kuabudu popote mtu atakapo. Kushabikia na kutoa zawadi kwa vijana wenu wanaooa au kuolewa na wakristo na kuwasilimisha siyo jambo la heri . Hakika afanye hivyo mahali pake ni jehanamu
 
Nataka cku nione zanzibar rais ni mkristo.co kila wakati wao 2.


Thubutuu! ni danganyika tu akina josee watatawala.


Huko, hakuna mfumo kristo tafadhali kuna mfumo gani vile kule zanzibar? alafu aje kuruhusu msosi mchana mwezi mtukufu?
 
hivi huyo kadhi kazi yake ipi au mtaanzisha mtaala mpya wa ukadhi hapa taz. Kinachoshangaza kama kweli ukdhi ni wa kidini kwanini msiuendeshe kwa stahili ya vyombo na tasisi nyingine za dini mteuane muendeshe huo ukadhi acheni kuingiza ukadhi kwenye katiba kwa nguvu
 
WebRep


currentVote


noRating
noWeight














acha unafiki kama tukiongelea udini katika elimi basi wakristo wanaongoza ebu nenda NECTA alafu uone udini ulivo,angalia waislam wangapi wanapewa mikopo ya elimu ya juu then ndo u comment
 

Ndo ile kamati ya maaskofu wa TEC
 
HIVI CCM AKILI YA KUKAA HADI SAA 6 UNUSU WANAITOA SAYARI GANI. KWA TAARIFA YAO MWEZI 1 ULIOPITA NILIKUWA S'WANGA MUNCIPAAHUKO CCM HAINA CHAKE. CCM WAACHE KUFANYA KAMPENI NAWASHAURI WAJIANDAE KUIBA KURA. NDIO NI LAZIMA IWE KWASABABU UKIZUNGUMZIA HABARI ZA CCM NI LAZIMA UWE MWENDAWAZIMU HASA KTK KIPINDI CHA BAADA YA UCHAGUZI WA NDANI WA CCM. WATU WAMEJERUHIWA VIBAYA NA WANAAPA WALAH CCM SSM WAVURUMUSHWE MAWE POPOTE PALE WALIPO HAWANA ADABU KWA TABIA YA KUWEKANA NA RUSHWA ZA MCHANA KWEUPE Hatahivyo, UVCCM wametakiwa kukaa mbali na uchaguzi huo kwakuwa kwasasa hawana picha nzuri kwa jamii kutokana na kile kinachoendelea katika chaguzi zao. Ningweza kuandika mengi.Lakini nina 'hang-over' ya mkutano wa Lumumba.Kumekucha![/QUOTE]
 
Acheni kuzungumza upumbavu......njooni na data hapa.
Ni wanafunzi wangapi wamepata schorlaships??????na kati yao hao
wangapi ni waislamu????????
Transparency is the most important thing. kama katibu mkuu anafanya kazi nyeti kama hii peke yake ni hatari!! anaweza kujaza majina ya ndugu zake watupu au waislamu watupu.
 

kaaazi kwelikweli.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…