KaziIendelee
JF-Expert Member
- Oct 30, 2013
- 327
- 229
Baada kukaa chuoni kwa wiki na nusu hivi,sasa nimeshamaliza kazi yangu ya kuchunguza ukuaji wa kitaaluma,na changamoto zake.Nilichokiona hapa ni majengo mazuri yaliyobeba wengi wasiojituma lkn mwisho wa siku wanapata degree,Tanzania tunaenda wapi?.Wanachuo wa UDOM hasa wasichana,kitabia si shwari,Mhe. Mkapa kemea hili na mikakati ya kupambana na ukahaba UDOM uwekwe wazi.
baada kukaa chuoni kwa wiki na nusu hivi,sasa nimeshamaliza kazi yangu ya kuchunguza ukuaji wa kitaaluma,na changamoto zake.nilichokiona hapa ni majengo mazuri yaliyobeba wengi wasiojituma lkn mwisho wa siku wanapata degree,tanzania tunaenda wapi?.wanachuo wa udom hasa wasichana,kitabia si shwari,mhe. Mkapa kemea hili na mikakati ya kupambana na ukahaba udom uwekwe wazi.
sasa mkuu hilo ni hitimisho ya ripoti uliyoandika baada ya utafiti ulioufanya au ni utangulizi?
Kazi tunayo hii ni mojawapo ya magonjwa sugu nchi hii 'kukurupuka' pengne ulikua na hoja ya msingi lakini hujakaa ukatulia ndo maana umeleta huu utumbo hapa!! Jipange mkuu
Fanya kazi usitegee malipoAlikutuma nani ufanye huo utafiti? na je anakulipa? kwa iyo kwa iyo wiki uliyosema umegundua wanafunzi wanafaulu kwa kubebwa, tupe ushahidi basi kipi kimekufanya useme ivyo, usiwe unakurupuka bhana apa kuna ma great thinker
Ni rahisi kuuita utumbo,ila Udom ni mahali sahihi palipobeba watu ambao wengi hupata shahada wa ambazo si sahihi kwao.
Fanya kazi usitegee malipo