KaziIendelee
JF-Expert Member
- Oct 30, 2013
- 327
- 229
Baada kukaa chuoni kwa wiki na nusu hivi,sasa nimeshamaliza kazi yangu ya kuchunguza ukuaji wa kitaaluma,na changamoto zake.Nilichokiona hapa ni majengo mazuri yaliyobeba wengi wasiojituma lkn mwisho wa siku wanapata degree,Tanzania tunaenda wapi?.Wanachuo wa UDOM hasa wasichana,kitabia si shwari,Mhe. Mkapa kemea hili na mikakati ya kupambana na ukahaba UDOM uwekwe wazi.