UDOM bado

UDOM bado

Hawa watu wanaboa sana na maneno yao wakati vyuo vyao hakuna kitu

Ninaomba Mungu kuwe na inter college examinations tuone kama UDSM wana uwezo wa kufanya mitihani ya Udom maana Udom tunaona Udsm wanafaidi sana lkn hatuongei

Watu tunakutana Nao Btp hata Log book hawajui halafu wanatamba tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wewe unaomba intercolleges xamz????,mkuu mtaani huku ni mchakamchaka wa pesa tu
 
Baada kukaa chuoni kwa wiki na nusu hivi,sasa nimeshamaliza kazi yangu ya kuchunguza ukuaji wa kitaaluma,na changamoto zake.Nilichokiona hapa ni majengo mazuri yaliyobeba wengi wasiojituma lkn mwisho wa siku wanapata degree,Tanzania tunaenda wapi?.Wanachuo wa UDOM hasa wasichana,kitabia si shwari,Mhe. Mkapa kemea hili na mikakati ya kupambana na ukahaba UDOM uwekwe wazi.

bila shaka unasoma UNIVERSITY OF MILEMBE(UOM) ...!
 
Baada kukaa chuoni kwa wiki na nusu hivi,sasa nimeshamaliza kazi yangu ya kuchunguza ukuaji wa kitaaluma,na changamoto zake.Nilichokiona hapa ni majengo mazuri yaliyobeba wengi wasiojituma lkn mwisho wa siku wanapata degree,Tanzania tunaenda wapi?.Wanachuo wa UDOM hasa wasichana,kitabia si shwari,Mhe. Mkapa kemea hili na mikakati ya kupambana na ukahaba UDOM uwekwe wazi.
Big or small lies are lies
you-lie-i-hate-liars.jpg
 
Huyu jamaa alipokaa akahs pia kajenga hoja
Alikwenda kutembea Udom akisubiri matokeo ya Div 5 alipotembelea thietre kapata net ya bure kaamua kupost hapa pumba.

Hoja yake haina flow, mara mkapa mara udom, mara research mara majibu wizarani..bado ...lol

I 've been there several times lakn hata kuwaona malaya mnaosema wamejipanga barabaran sijawai ona. Unasema college zote mmmh, mpka kule health? Na Edu? Na info?

Brother umebugi jipange ujitoe jamii forum. Kaa kwanza FB uzoee social networks then uje Jf
 
Huyu jamaa mbona hasemi yeye kasoma chuo gani!!??
Naamini akitaja chuo, wenye chuo chao watamkana fasta, teh teh teh!!!
 
'UOM'-UNIVERSITY OF MILEMBE! du,ngoja waje watetee hili! mi simo.
 
UDOM ni bomu kama vile lilivyo Mzumbe full ujinga mtupu hakuna product ya maana inazalishwa hapo bali kudhalilisha watoto wa watu wakitoka hapo wanajiona ni wasomi kumbe hamna ktu hakuna wanalolijua kichwani. Baadhi ya waajiri wanasema wazi wazi mfano WORLD VISION TANZANIA (WVT) wanasemaga kwenye matangazo yao ya kazi kuwa UDOM Graduates should not apply for this post.
 
Baada kukaa chuoni kwa wiki na nusu hivi,sasa nimeshamaliza kazi yangu ya kuchunguza ukuaji wa kitaaluma,na changamoto zake.Nilichokiona hapa ni majengo mazuri yaliyobeba wengi wasiojituma lkn mwisho wa siku wanapata degree,Tanzania tunaenda wapi?.Wanachuo wa UDOM hasa wasichana,kitabia si shwari,Mhe. Mkapa kemea hili na mikakati ya kupambana na ukahaba UDOM uwekwe wazi.

Sasa sisi tufanye nini?anzisha chuo cha kwako ndio uboreshe iyo taaluma unayodai hamna au nenda kawaambie TCU ayo uliyoyachunguza mi naona ushuzi tu kila siku udom hv mara udom vile jengeni vyuo vya kwenu ,,,,,,,,
 
UDOM ni bomu kama vile lilivyo Mzumbe full ujinga mtupu hakuna product ya maana inazalishwa hapo bali kudhalilisha watoto wa watu wakitoka hapo wanajiona ni wasomi kumbe hamna ktu hakuna wanalolijua kichwani. Baadhi ya waajiri wanasema wazi wazi mfano WORLD VISION TANZANIA (WVT) wanasemaga kwenye matangazo yao ya kazi kuwa UDOM Graduates should not apply for this post.

jenga cha kwako DOMO LIMEKUSHUPAZA KA NGOMA et ksa udom mara mzumbe,,,,,,,,,,,,,,,af ww unaonekana una wivu na hv vyuo hahahahahahahaha,,,,,,,,,,,,,,,,,,huruma sana .
 
Yani research yako umeifanya ndani ya muda wa wiki mbili na nusu tu?haya ebu tuambie ulitumia methodoligies gani mkuu katka research yako.
 
UDOM ni bomu kama vile lilivyo Mzumbe full ujinga mtupu hakuna product ya maana inazalishwa hapo bali kudhalilisha watoto wa watu wakitoka hapo wanajiona ni wasomi kumbe hamna ktu hakuna wanalolijua kichwani. Baadhi ya waajiri wanasema wazi wazi mfano WORLD VISION TANZANIA (WVT) wanasemaga kwenye matangazo yao ya kazi kuwa UDOM Graduates should not apply for this post.

usiingize mzumbe kwenye ujinga kama huu..sijasoma mzumbe lakini nawaheshimu sana graduates wa pale.
 
Unatakiwa kuelewa kuwa unapotoa conclusion ya jambo lolote lazima uwe umefanya uchunguzi wa kutosha..sio wa week mbl.kawaida chuoni kujua matokeo ya kila mtu ni impossibe ...hvo conlusion yako ni uongo,pili hiyo ni society kubwa hvo tegemea kukutana na tabia za kila aina kama ukahaba,wizi nk.siimini kama wasichana wote udom ni makahaba labda kama hufahamu maana ya neno hilo..............ucpende sana kuropoka ili uonekana wajua ..mungu alikupa akil uzitumie kufikiri,ucfikiri kwa kutumia maka**o bw
 
jenga cha kwako DOMO LIMEKUSHUPAZA KA NGOMA et ksa udom mara mzumbe,,,,,,,,,,,,,,,af ww unaonekana una wivu na hv vyuo hahahahahahahaha,,,,,,,,,,,,,,,,,,huruma sana .

Wewe Blessings hapo juu, Mti wenye matunda huwa hauishi kupigwa majiwe. Inaonesha Udom na Mzumbe vinawanyima usingizi sana e. Unaposema product za udom ni hovyo basi kama wewe si mchawi huenda ni msukule, tena kizuu kabisaa! Chuo hakimjengei mtu competence, hao mawaziri zigo na viongozi mazigo wa nji hii wamesoma Udom? Tumia akili sio kuropoka tu unalolijua wewe, graduands mizigo wapo kila chuo kikuu, hata katika shule wanafunzi si sawa kiuwezo licha ya kuwa darasa moja, mkondo mmoja.
 
Huu ujinga wa kupayuka maneno ya kipuuzi na bado unadhania we ni msomi tena unafanya had Research ukiisha,nafikiri Tanzania tutafika hatua nyingi kubwa zaid kimaendeleo!
 
haters makes me famous because they spread my name...... mpo hapo mashemejiii......
 
Back
Top Bottom