sasa mkuu hilo ni hitimisho ya ripoti uliyoandika baada ya utafiti ulioufanya au ni utangulizi?
Hawa watu wanaboa sana na maneno yao wakati vyuo vyao hakuna kitu
Ninaomba Mungu kuwe na inter college examinations tuone kama UDSM wana uwezo wa kufanya mitihani ya Udom maana Udom tunaona Udsm wanafaidi sana lkn hatuongei
Watu tunakutana Nao Btp hata Log book hawajui halafu wanatamba tu.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Baada kukaa chuoni kwa wiki na nusu hivi,sasa nimeshamaliza kazi yangu ya kuchunguza ukuaji wa kitaaluma,na changamoto zake.Nilichokiona hapa ni majengo mazuri yaliyobeba wengi wasiojituma lkn mwisho wa siku wanapata degree,Tanzania tunaenda wapi?.Wanachuo wa UDOM hasa wasichana,kitabia si shwari,Mhe. Mkapa kemea hili na mikakati ya kupambana na ukahaba UDOM uwekwe wazi.
Big or small lies are liesBaada kukaa chuoni kwa wiki na nusu hivi,sasa nimeshamaliza kazi yangu ya kuchunguza ukuaji wa kitaaluma,na changamoto zake.Nilichokiona hapa ni majengo mazuri yaliyobeba wengi wasiojituma lkn mwisho wa siku wanapata degree,Tanzania tunaenda wapi?.Wanachuo wa UDOM hasa wasichana,kitabia si shwari,Mhe. Mkapa kemea hili na mikakati ya kupambana na ukahaba UDOM uwekwe wazi.
Baada kukaa chuoni kwa wiki na nusu hivi,sasa nimeshamaliza kazi yangu ya kuchunguza ukuaji wa kitaaluma,na changamoto zake.Nilichokiona hapa ni majengo mazuri yaliyobeba wengi wasiojituma lkn mwisho wa siku wanapata degree,Tanzania tunaenda wapi?.Wanachuo wa UDOM hasa wasichana,kitabia si shwari,Mhe. Mkapa kemea hili na mikakati ya kupambana na ukahaba UDOM uwekwe wazi.
UDOM ni bomu kama vile lilivyo Mzumbe full ujinga mtupu hakuna product ya maana inazalishwa hapo bali kudhalilisha watoto wa watu wakitoka hapo wanajiona ni wasomi kumbe hamna ktu hakuna wanalolijua kichwani. Baadhi ya waajiri wanasema wazi wazi mfano WORLD VISION TANZANIA (WVT) wanasemaga kwenye matangazo yao ya kazi kuwa UDOM Graduates should not apply for this post.

jenga cha kwako DOMO LIMEKUSHUPAZA KA NGOMA et ksa udom mara mzumbe,,,,,,,,,,,,,,,af ww unaonekana una wivu na hv vyuo hahahahahahahaha,,,,,,,,,,,,,,,,,,huruma sana .