Udom hali ni shwari

Udom hali ni shwari

Ilonza

Senior Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
119
Reaction score
13
Mheshimiwa prof kikula amefikisha mgomo wa wanafunzi udom coed kikomo baada ya kuhaidi kutimiza madai yao.sijui atatimiza au changa la macho?.
 
Aminia Pro. Kikula anaweza kuweka mambo shwari nakumbuka enzi alipokuwa UCLAS alikuwa anaweza zima moto
 
Back
Top Bottom