I Ilonza Senior Member Joined Jan 11, 2011 Posts 119 Reaction score 13 Jan 20, 2011 #1 Mheshimiwa prof kikula amefikisha mgomo wa wanafunzi udom coed kikomo baada ya kuhaidi kutimiza madai yao.sijui atatimiza au changa la macho?.
Mheshimiwa prof kikula amefikisha mgomo wa wanafunzi udom coed kikomo baada ya kuhaidi kutimiza madai yao.sijui atatimiza au changa la macho?.
M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 7,922 Reaction score 3,618 Jan 20, 2011 #3 lazima atimize
locust60 Senior Member Joined Oct 1, 2008 Posts 101 Reaction score 12 Jan 20, 2011 #4 Aminia Pro. Kikula anaweza kuweka mambo shwari nakumbuka enzi alipokuwa UCLAS alikuwa anaweza zima moto
Aminia Pro. Kikula anaweza kuweka mambo shwari nakumbuka enzi alipokuwa UCLAS alikuwa anaweza zima moto