KERO UDOM hawajalipa deni kwa wanafunzi wenye malipo yaliyozidi (overpayment)

KERO UDOM hawajalipa deni kwa wanafunzi wenye malipo yaliyozidi (overpayment)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Wantuwawenga

New Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
2
Reaction score
0
UDOM wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa tatu sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa.

Na Mahafali tulishafanya tangu tarehe 6 na 7 mwezi wa 12 sasa lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo fedha.

UDOM msichojua ni kuwa baadhi yetu tunategemea hizo fedha
 
Pesa ya serikali ni ngumu sana kurudi ikisha enda ime enda. Labda private mngelipwa chap
 
Hiyo mikopo sio hata ya kulilia🥶Yan hapo baadae hawajakutana na NHIF, PAYE, bado loan from CRDB, or NMB or Finca, NSSF, sacoss🤣na Heslb 15% of your salary take home 310k lipa Deni mangi 100k bAki 210k toa Unga, Mchele mafuta 150k na other expenses, 🤣🥶100k jaza mafuta gari
 
Si uende utawala ukapeleke malalamiko yako dogo unafikiri kukimbilia mitandaoni ndio solutions??

Usikute overpayment yenyewe haizidi laki mbili.
 
Back
Top Bottom