UDOM: Hizi hapa hoja 15 nzito alizozipangua David Kafulila

Alicho dadavua huyu Kafulila ni pumba tupu.
Wanasiasa wawe na uhalisia.
Punguzeni kodi za TRA, tozo za Taasisi nyingi za serikali ambazo zina msimamo wa kutoza tozo zaidi ya TRA, mazingira tata ya kodi za ajira.

Wanasiasa wana fikira finyu kwamba wanaweza kuutoza mtaji wa mfanyabiashara, fikira ambazo ni mufilisi.
 
Pumba zipi hapo?
 
Hii ni brain ya Taifa
 
Mwamba sana
 
Mwamba
 
Kuna kitu anatafuta! leo JF imejaa nyuzi zinazomhusu. Nadhani anatoa ajira pia. Mkakati mbovu sana
 
Imenyooka
💪💪💪💪💪
 
Kufulila hivi una IDs ngapi humu.
 
Zao letu la upinzani hilo! CCM hawana cha kujivunia hapo! Kafulila huwa namkubali huyo bwana mdogo, upstairs yuko vizuri sana!
 
Nimeanza kusoma tu nikaona umetolewa mfano wa South Korea nikaishia hapo hapo.

Wale jamaa wako na discipline kwenye mambo yao, hakuna ufisadi wa kipuuzi kama hapa kwetu, wao wanaweza fanya lolote la maendeleo kwa sababu wako serious.

Huyu Kafulila anajua vizuri serikali anayoifanyia kazi kila mtendaji anashindana na mwenzie kuiba, sababu wanajua hawawajibishwi.

Aache kutumia mifano isiyoendana na uhalisia kwenye hizi fafanuzi zake.
 
Kafulila ni mtu smart sana
 
Hongwra sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…