Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Hizo unazoita point za kafulili zikikutana na mtaalam wa uchumi akazichambua, utakuja kuona jamaa aaliandika pumba tupu.
Kingine cha muhimu zaidi. Shida ya hii nchi ni ccm. Imejaa wezi, mafisadi, na wahujumu uchumi.
Ndio maana hawataki michakato na chaguzi za wazi. Sababu wanajua siku wakitoka madarakani ndio siku mirija yao itakatwa.