Ishu si TAX base ndogo,kiwango cha TAX kinawekwa kwa kuzingatia hali ya uchumi wa nchi,sasa anataka waweke TAX base kubwa kwa uchumi huu wakupandishana midadi IKULU?,ishu ni mifumo mibovu ya ukusanyaji wa mapatato,60% ya wanao paswa kulipa kodi kubwa wanalipa almost 40% tu,nina utafiti katika hili na ushahidi wa kutosha,na hii inatokana na mapengo makubwa katika TAKUKURU ambayo haina uhuru wa kuwabana mapapa kwa sababu wanashirikiana na waliowateua katika kuhujumu uchumi ,mifano ipo yakutosha.
Miaka 65 TRA inatumia kauli "UKIUZA TOA RISITI,UKINUNUA DAI RISITI" wapo mentaly fit kweli?
Samia alisikika akimwambia Ghalib kwamba "Hatuta kusumbua" baada ya kuchangia 10B mwaka jana.
the fact is the country is on the burning mode,viongozi wana vichwa na ubongo kutimiza kusudi la uumbaji tu.
TRA inauwezo wa kukusanya 60T per annum,lakini haiwezi kwa sababu Ofisi ya RAIS,Makamu na WAZIRI MKUU zinahusika katika kukwamisha haya.