UDOM imetoa notice ya malipo

UDOM imetoa notice ya malipo

Direct cost unalipa yote ila ada utalipa kiasi ambacho heslb hawajakulipia..mfano umepata asilimia 100 then hutolipa ada ila direct cost utalipa yote na kama umepata asilimia 80% then utatakiwa umalizie hiyo 20% ndo usajiliwe na unaweza ukalipa 10% kwa kila semister...
 
Vp kuhusu batch zingine zitatolewa kwel? Msaada jaman TCU c wema kabisa wanaweza kutupiga AZ WEA!
 
Batch zingine zitafata maana Udom ni chuo kikubwa na hakiwezi kuchukua watu wachache so vuta subira
 
Direct cost ni kwa ajili ya hostel, bima ya afya na michango mingine ya chuo...ila tution fees ni ada ya course husika
 
Wadau tuhakikishieni hizi AC no. Tunataka lipa., cc. Wahusika. Avatar mok.
Au tupeni link.
 
Last edited by a moderator:
Direct cost ni kwa ajili ya hostel, bima ya afya na michango mingine ya chuo...ila tution fees ni ada ya course husika

oi, inakuaje kwa sisi wenye bima ya afya ya taifa "NHIF" tutalazimika kuchangia "medical capitation" chuoni?.
 
mkuu kwa kutukana uko poa xn au umekulia kwenye vilabu vya pombe tena za kienyej?
 
mkuu kwa kutukana uko poa xn au umekulia kwenye vilabu vya pombe tena za kienyej?

ofcoz yes hujakosea,una jengine?na huo uandishi wako wa kuandika xana badala ya sana itakua na ww ni food wanakutest vzr,maana mwanaume rijali haandiki uandish huo
 
Back
Top Bottom