Dreadnought JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 2,876 Reaction score 3,942 Jun 16, 2014 #21 Tky said: Serikali ya wanafunzi kutoa tamko saa kumi jioni kama hakuna dalili ya kufanya mitihani. Click to expand... Poleni sana, nafikiri uko humanities, kinachonishangaza hapa ni kwamba baadhi ya mitihani inayoendelea sasa huku education walimu wa kozi husika ni wa humanities. Sasa sijui inakuwaje huko wanagoma wakati huku mtihani unaendelea kama kawaida.
Tky said: Serikali ya wanafunzi kutoa tamko saa kumi jioni kama hakuna dalili ya kufanya mitihani. Click to expand... Poleni sana, nafikiri uko humanities, kinachonishangaza hapa ni kwamba baadhi ya mitihani inayoendelea sasa huku education walimu wa kozi husika ni wa humanities. Sasa sijui inakuwaje huko wanagoma wakati huku mtihani unaendelea kama kawaida.
DaMie JF-Expert Member Joined Mar 24, 2010 Posts 684 Reaction score 171 Jun 17, 2014 #22 Twilumba mie mzima. Salamu zimefika. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
DaMie JF-Expert Member Joined Mar 24, 2010 Posts 684 Reaction score 171 Jun 17, 2014 #23 Tky Mi nk CNMS Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,796 Jun 17, 2014 #24 Iliwahi kutokea Mlimani back in days mbona serikali walifyata.
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 4,998 Jun 17, 2014 #25 Hii nchi lazima kugoma tuuu, kesho sitashangaa wakilipwa mafao yao!!!! Sent from my iPhone using JamiiForums app
Hii nchi lazima kugoma tuuu, kesho sitashangaa wakilipwa mafao yao!!!! Sent from my iPhone using JamiiForums app