UDOM kimenuka.

UDOM kimenuka.

Serikali ya wanafunzi kutoa tamko saa kumi jioni kama hakuna dalili ya kufanya mitihani.

Poleni sana, nafikiri uko humanities, kinachonishangaza hapa ni kwamba baadhi ya mitihani inayoendelea sasa huku education walimu wa kozi husika ni wa humanities.

Sasa sijui inakuwaje huko wanagoma wakati huku mtihani unaendelea kama kawaida.
 
Iliwahi kutokea Mlimani back in days mbona serikali walifyata.
 
Hii nchi lazima kugoma tuuu, kesho sitashangaa wakilipwa mafao yao!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom