Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 940
- 401
Ninoma sana, kusu mikopo ya special diploma. .
Wasomi wa Udom, hîki chuo kifungwe maana wasomi wake bure kabisa, hapo Udom unasomea Crystal field theory.
Udom nili chuo la hovyo sana kupata kutokea kusini mwa jangwa la sahara,kuanzia mianafunzi ya pale mpaka miviongozi yao.
yah kwa mtazamo wako ila kumbuka watu wamepata kazi kupitiya chuo hichi na maisha yanasonga